Featured Kitaifa

DKT. NCHEMBA ATETA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA SACE NCHINI ITALIA

Written by mzalendoeditor
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Italia (SACE), Bi. Alessandra Ricci, Mjini Rome, ambapo ameishukuru Italia kwa kutoa dhamana ya mkopo wa kujenga Reli ya Kisasa (SGR), kipande cha Kwanza na cha pili kuanzia Dar es Salaam, Morogoro, Dodoma hadi Makutupora mkoani Singida, ambavyo ujenzi wake umekamilika na treni kuanza kutoa huduma kuanzia Dar es salaam hadi Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Rome, Italia)

About the author

mzalendoeditor