Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

grandpashabet

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

betsmove

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

Gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

meritking giriş

meritking

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

türk porno

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat güncel

jojobet

matbet

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

bets10

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

milanobet

milanobet

pokerklas

pokerklas

Uncategorized

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE KWA MWAKA 2025

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasha Mwenge wa Uhuru kuashiria uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 02 Aprili 2025.

….

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zitaendelea kusimamia kwa dhati na kwa haki misingi ya demokrasia na kuhakikisha wananchi wanatumia haki yao ya kikatiba ya kushiriki uchaguzi kwa uhuru, kwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi na kuchagua viongozi wenye sifa wanaowataka katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka  2025.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akizindua Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani. Ametoa wito kwa wananchi wote hususan vijana kuwa waangalifu na watu wasioitakia mema nchi kwa kuepuka kutumiwa vibaya kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani. 

Makamu wa Rais amesema Wadau wote wa uchaguzi, hususan vyama vya siasa wanahimizwa na kukumbushwa kuwa wana wajibu mkubwa katika kuhakikisha kuwa uchaguzi unafanyika katika hali ya amani na utulivu, kwa kuendesha kampeni zenye staha na kuzingatia Sheria na miongozo mbalimbali ya uchaguzi. Ameongeza kwamba Uchaguzi Mkuu unafanyika kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 42(2) na 65, Sheria ya Uchaguzi Na. 1 ya Mwaka 2024 pamoja na  Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 na Sheria ya Uchaguzi ya Zanzibar Na. 4 ya mwaka 2018.

Halikadhali Makamu wa Rais  ameagiza Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kutoa ushirikiano  wa hali ya juu kwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa, ili waweze kutekeleza jukumu la kizalendo walilokabidhiwa la kuhakikisha kuwa wanawafikia wananchi na kuwapa taarifa sahihi kuhusu sera, mipango, miradi na mikakati ya Serikali katika kuwaletea Maendeleo.

Vilevile Makamu wa Rais amesema Mbio za Mwenge pamoja na mambo mengine zitaangazia masuala ya lishe bora, mapambano dhidi ya rushwa, mapambano dhini ya VVU na UKIMWI, mapambano dhidi ya dawa za kulevya pamoja na mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria.

Makamu wa Rais amesema wazo la kukimbiza mwenge wa uhuru nchi nzima na kila mwaka lilitolewa na Vijana wa TANU katika kikao chao kilichofanyika tarehe 26 Juni, 1964. Lengo kuu likiwa ni kutekeleza kwa vitendo azma ya Baba wa Taifa ya kuhamasisha umoja, upendo, amani na ujenzi wa Taifa kwa kuhamasisha maendeleo. Tangu wakati huo, mwenge umekuwa ukikimbizwa katika maeneo mbalimbali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo  kupitia mbio hizo hamasa kubwa imetolewa ili kuendelea kudumisha amani, na kujenga uzalendo, umoja na mshikamano. Katika kipindi chote hicho, mbio za mwenge zimekuwa na mafanikio makubwa yanayosadifu maono ya waasisi wa Taifa letu.

Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2025 zinabeba kauli mbiu isemayo “Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu” ambayo inalenga kuwakumbusha na kuwasisitiza Watanzania wote kutumia kikamilifu haki yao ya kikatiba ya kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu.

Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2025 unatarajiwa kukimbizwa kwa muda wa siku 195, katika Mikoa 31 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo Serikali itafikisha ujumbe kwa wananchi na kuhamasisha utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo kwa kutembelea, kukagua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi ya maendeleo.

Uzinduzi wa Mbio za Mwenge kwa Mwaka 2025 umehudhuriwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Dotto Biteko, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azzan Zungu, Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhandisi Zena Said,  Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu, Viongozi wa Mahakama, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Viongozi wa Dini, Viongozi wa Vyama vya Siasa pamoja na Wananchi kutoka maeneo mbalimbali.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani kwaajili ya kuzindua Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 leo tarehe 02 Aprili 2025.

default

Kikundi cha Watoto wa Halaiki wakifanya maonesho mbalimbali wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 iliyofanyika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 02 Aprili 2025.

Wakimbiza Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2025 wakiingia katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani tayari kwa kuanza zoezi la kukimbiza Mwenge wakati wa Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwaka 2025 uliyofanyika Kibaha mkoani Pwani tarehe 02 Aprili 2025.

default

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Shirika la Elimu  Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 02 Aprili 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasha Mwenge wa Uhuru kuashiria uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 02 Aprili 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Mwenge wa Uhuru kiongozi wa Mbio za Mwenge kwa Mwaka 2025 Bw. Ismail Ali Ussi mara baada ya kuzindua Mbio hizo katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani tarehe 02 April 2025

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Viongozi na Wananchi mbalimbali mara baada ya Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 02 Aprili 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2025 Bw. Ismail Ali Ussi wakati wa Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa Mwaka 2025 katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani leo tarehe 02 Aprili 2025.

About the author

Alex Sonna