Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati aliposhiriki Swala ya Eid iliyofanyika kiwilaya Mtaa wa Maghalani, Kata ya Ruangwa Mkoani Lindi Machi 31, 3 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati aliposhiriki Swala ya Eid iliyofanyika kiwilaya Mtaa wa Maghalani, Kata ya Ruangwa Mkoani Lindi Machi 31, 3 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki Swala ya Eid ya Eid iliyofanyika kiwilaya kwenye Mtaa wa Maghalani, kata ya Ruangwa, Mkoani Lindi Machi 31, 3 2025.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainabu Telac akishiriki swala ya Sikukuu ya Eid iliyofanyika kiwilaya kwenye Mtaa wa Maghalani, kata ya Ruangwa, Mkoani Lindi Machi 31, 3 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ruangwa, Ibrahim Ndoro (kulia) na Mkuu wa ilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma baada ya kushiriki swala ya Eid iliyofanyika kiwilaya kwenye Mtaa wa Maghalani, kata ya Ruangwa, Mkoani Lindi Machi 31, 3 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)