marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

casibom giriş

jojobet

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

imajbet

vdcasino

marsbahis

ganobet

bets10 giriş

jojobet

holiganbet

wbahis

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

grandpashabet

marsbahis

restbet

artemisbet

artemisbet

kavbet giriş

mislibet

betra

kavbet

aresbet

jojobet

betasus giriş

holiganbet

kulisbet, kulisbet giriş

betkare, betkare giris

betparibu

bekabet, bekabet giris

jojobet

Superbetin giriş

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

perabet

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

onlybet giriş

betebet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

ultrabet

Gamdom

grandpashabet giriş

egebet

betsmove

mavibet

egebet

betsmove

tophillbet

netbahis giriş

casibom

royalbet

bibubet

https://pasands.com/

يلا شوت

hantavirus token

restbet

kumar siteleri

kralbet giriş

Grandpashabet Güncel Adres

tümbet

tümbet giriş

tümbet

tümbet giriş

parmabet

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet

artemisbet giriş

parmabet

parmabet giriş

mislibet

parmabet

vdcasino

marsbahis

sweet bonanza

jojobet güncel giriş

yakabet

marsbahis

vdcasino

aviator

bets10

bets10 giriş

Featured Kitaifa

NELSON MANDELA, TMA NA HURBERT KAIRUKI KUFANYA UTAFITI KUHUSU MABADILIKO YA TABIA NCHI YANAVYOATHIRI AFYA YA AKILI

Written by Alex Sonna

 

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Prof. Maulilio Kipanyula (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini Dkt. Ladislaus Chang’a (kushoto) wakisaini makubaliano ya mashirikiano Machi 31,2025 jijini Arusha.

…..

Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela ( NM-AIST) imesaini makubaliano ya ushirikiano na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) katika masuala ya utafiti na sayansi kwenye maeneo mbalimbali yanayohusu mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi, ikiwemo namna mabadiliko hayo yanavyoathiri afya ya akili kwa kushirikisha Chuo Kikuu cha Hurbert Kairuki.

Hayo yamesemwa Machi 31, 2025 jijini Arusha na Makamu Mkuu wa Taasisi Prof. Maulilio Kipanyula ambaye ni Mwenyeji wa Warsha ya Jopo la Kimataifa la Sayansi na Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabia ya Nchi kwa uratibu wa Kituo cha Umahiri cha WISE-Future kwa kushirikiana na TMA.

Alieleza kuwa, NM-AIST na TMA imekubaliana kushirikiana katika maeneo makuu matatu ikiwemo utafiti katika masuala ya hali ya hewa na mabadiliko ya tabia ya nchi, kuwajengea uwezo wataalamu wa TMA kupitia mafunzo ya muda mfupi pamoja na kuendeleza Teknolojia na Ubunifu, kupitia matumizi ya teknolojia kidigitali ikiwemo Akili Mnemba ( AI).

“Sisi kama Taasisi ya kikanda tunafurahi sana kuwa sehemu ya tukio hili , ambalo limetupa fursa ya kutoa mchango wetu kwenye taarifa ya tathmini ya hali ya hewa na mabadiliko ya tabia ya nchi duniani” Prof. Maulilio Kipanyula.

Kwa upande wake  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya hali ya Hewa Nchini (TMA) Dkt. Ladislaus Chang’a,ametoa wito kwa wananchi kuendelea kufuatilia na kuzingatia taarifa zinazotolewa na Mamlaka hiyo hususani tahadhari ya hali mbaya ya hewa.

“Mambo makubwa yaliyofanyika hapa ni kuhakikisha wataalamu kutoka Tanzania, Afrika na ukanda wa nchi zinazoendelea wanashiriki kwa wingi katika kazi za kisayansi katika masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi” alisema Dkt. Ladislaus Chang’a Kaimu Mkurugenzi Mkuu

Dkt. Chang’a alisema kuwa, makubaliano ya ushirikiano na NM-AIST ni kuchagiza na kuongeza ufanisi na tija katika huduma za hali ya hewa kupitia matumizi ya teknolojia ya kisasa ikiwemo akili mnemba ,Sayansi, Teknolojia na ubunifu.

Warsha ya Jopo la Kimataiafa la Sayansi na mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabia ya Nchi , imeshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wanafunzi wa shahada ya uzamili na uzamivu katika masuala ya mazingira na biolojia, Msalaba Mwekundu na NEMC.

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Prof. Maulilio Kipanyula (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini,Dkt. Ladislaus Chang’a (kushoto) wakionyesha hati za makubaliano mara baada ya kusaini Machi 31,2025 jijini Arusha.

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Prof. Maulilio Kipanyula (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini Dkt. Ladislaus Chang’a (kushoto) wakisaini makubaliano ya mashirikiano Machi 31,2025 jijini Arusha.

Makamu Mkuu wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Prof. Maulilio Kipanyula (kushoto) akipokea Jarida la Tathmini ya Hali ya Hewa Nchini kwa Mwaka 2024.0 kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya TMA Prof. Jaji Mshibe Ali Bakari ( Kulia ) katika Warsha ya Jopo la Kimataifa la Sayansi na Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Tabia ya Nchi Machi 31,2025.

Wadau waliohudhuria Warsha ya Jopo la Kimataifa la Sayansi na Mabadiliko ya Hali ya Hewa na tabia ya nchi wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwakilishwa na Wataalam Machi 31,2025 Jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Bodi ya TMA Prof Jaji Mshibe Ali Bakari ( katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela wakati wa Warsha ya Jopo la Kimataifa la Sayansi na Mabadiliko ya Hali ya Hewa na tabia ya nchi Machi 31,2025.

About the author

Alex Sonna