marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

imajbet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

interbahis

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

jojobet

jojobet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

marsbahis

matbet

sekabet giriş

imajbet

pusulabet

herabet

herabet

Featured Kitaifa

KAYA 980 KUUNGANISHWA NA MTANDAO WA GESI ASILIA – TPDC

Written by Alex Sonna

 

📌 Serikali kupitia TPDC imetenga Shilingi Bilioni 5.3 kwa ajili ya mradi huu
 
📌 Gesi asilia ni rafiki wa mazingira, nafuu na salama
 
📌 Wananchi wa Kata ya Mnazi Mmoja, Lindi wapewa elimu kuupokea mradi 

 
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)  limeendelea kutekeleza kwa vitendo Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa kuanza utekelezaji wa mradi wa usambazaji gesi asilia majumbani  katika eneo la Kata ya  Mnazi Mmoja na Mingoyo Mkoani Lindi.
 
Hayo yamesemwa na Meneja Mradi wa Usambazaji wa Gesi Asilia Majumbani Mha. Tumaini Daniel katika mkutano wa hadhara na wanachi wa  mtaa wa Muungano kata ya Mnazi Mmoja mkoani Lindi.
 
Mha. Tumaini ameeleza kuwa “ serikali kupitia TPDC imeendelea kutenga fedha za usambazaji wa gesi asilia majumbani ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/25 kiasi cha shilingi bilioni 5.3 kimetengwa kwa ajili ya usambazaji wa gesi asilia katika mikoa ya Lindi (Mnazi Mmoja) na Pwani (Mkuranga).
 
Aidha,kwa upande wa hatua ya utekelezaji wa mradi, Mha. Tumaini amebainisha kuwa hadi sasa utekelezaji wa mradi huo umefikia asilimia 38.18 na mradi unatarajiwa kukamilika mwezi Juni, 2025. 
 
‘‘Mradi huu ni sehemu ya utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Nishati safi ya kupikia (2024-2034) na unahusisha ujenzi wa mtandao wa usambazaji wa gesi asilia kwa nyumba 980 (Nyumba 529 za Mkuranga – Pwani na nyumba 451 Mnazi Mmoja – Lindi). Mtandao wa bomba utakuwa na urefu wa kilomita 47.86, ukiwa ni kilomita 22.9 mkoani Lindi na 24.96 mkoani Pwani’’.
 
 Kuhusu unafuu wa gharama za gesi asilia ya kupikia, Mha. Tumaini alitoa wito kwa wananchi kuitumia gesi hii ipasavyo pindi mradi utakapo kamilika kwani nishati ya gesi asilia ni gharama nafuu, rafiki wa mazingira, inaokoa muda na inapatikana wakati wote hivyo basi kwa faida hizo serikali  haitegemei kuona wananchi wakiendelea na matumizi ya kuni na mkaa ambazo zinachangia katika uharibifu wa mazingira na uchafuzi wa hali ya hewa.
 
Akiongea na wananchi wa mnazi mmoja, Afisa Maendeleo ya Jamii  Bw. Oscar Mwakasege ameeleza kuwa, pamoja na utekelezaji wa miradi mbalimbali, TPDC itaendelea kushirikisha wananchi katika utekelezaji wa shughuli zake kupitia majukwaa mbalimbali ya elimu kama mikutano ya hadhara, vyombo vya habari, makongamano, warsha pamoja na michezo.  
 
‘‘Tangu kuanza kwa mradi wa usambazaji wa gesi asilia  majumbani kata ya mnazi mmoja , TPDC imekua ikishirikisha wananchi  kupitia mikutano ya hadhara, elimu kupitia vyombo vya habari  na elimu ya nyumba kwa nyumba ili kujenga uelewa wa mradi kwa wananchi ikiwa ni pamoja na kuimarisha ulinzi na usalama wa miundombinu  pamoja na  kutambua fursa zinazoambatana na mradi kama vile ajira.  Zoezi la utoaji elimu ni endelevu na kila hatua ya mradi wananchi hushirikishwa’’. Ameeleza Oscar. 
 
Wananchi wa Mtaa wa Rahaleo A na Rahaleo B Kata ya Mingoyo Manispaa ya Lindi  wakipatiwa elimu juu ya mradi unaoendelea wa usambazaji wa gesi asilia ya kupikia majumbani.
 
Kwa upande wake, Diwani wa kata ya mnazi mmoja Mhe. Said Mohammed Mchinjita aliishukuru TPDC kwa kuendelea kusambaza gesi asilia mnazi mmoja pamoja na kuwajibika kwenye shughuli za maendeleo ikiwemo kutoa fedha za ujenzi wa ofisi ya serikali ya Mtaa wa Ruaha-Kata ya mnazi mmoja. 
 
Aidha, Diwani alitoa rai kwa wananchi kuendelea kutoa ushirikiano kwa wataalamu pamoja na kuimarisha ulinzi na usalama  wa mali na vifaa vya wakandarasi ili mradi huu ukamilike kwa wakati.
 
Aidha, wananchi wameendelea kuipongeza TPDC kwa kuchochea soko la ajira ambapo kupitia miradi yake wananchi wamekua wakinufaika na fursa za ajira ambazo zimewapa kipato cha kuendesha maisha yao.
 
Bi. Hawa Fumau Dadi mkazi wa Mtaa wa Mnazi mmoja ambaye ni mnufaika wa ajira kwenye mradi wa gesi majumbani ameishukuru TPDC kwa kutekeleza mradi huu kwani umetoa fursa za ajira za muda mfupi ambazo zinawasaidia wananchi  kupata fedha za kukidhi mahitaji ya kila siku. 
 
‘‘Nashukuru kwa kupata kazi katika mradi huu wa TPDC katika mtaa wa Muungano mnazi mmoja, tunashukuru tumepata ajira inayotuwezesha kupata fedha za kuendesha maisha ya kila siku, hivyo wananchi tusilale tukae tayari na kuweka mazingira wezeshi ya kuupokea mradi kama kuwa na jengo la jiko’’ alisema Bi.Hawa. 
 
Serikali kupitia TPDC itaendelea na jukumu la kuhakikisha wananchi wanapata nishati safi ya kupikia kwa kutenga fungu la fedha kwenye bajeti yake ya maendeleo ya kila mwaka.
 
TPDC TUNAWEZESHA

About the author

Alex Sonna