slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

madridbet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

perabet

Featured Kitaifa

WMA YAANIKA MAFANIKIO YAKE MIAKA MINNE YA RAIS SAMIA

Written by Alex Sonna

 

AFISA Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA),Bw. Alban Kihulla,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa taasisi hiyo  katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita leo Machi 25, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, jijini Dodoma.

AFISA Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA),Bw. Alban Kihulla,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa taasisi hiyo  katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita leo Machi 25, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

KATIKA  kipindi cha miaka minne ya serikali ya awamu ya sita,Wakala wa Vipimo (WMA),imepanga  kuhakiki Vipimo 3,923,652 vitumikavyo katika Sekta mbambalimbali nchini na imefanikiwa kuhakiki vipimo 3,668,149 sawa na asilimia 94 ya lengo. 

Hayo yamesemwa na Afisa  Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA),Bw.Alban Kihulla,wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa taasisi hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Machi 25, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, jijini Dodoma.

“Kati ya vipimo hivyo vilivyohakikiwa, vipimo 102,969 vilikutwa na mapungufu ambayo yalirekebishwa na kuruhusiwa kuendelea kutumika na vipimo 5,607 vilikataliwa kutumika baada ya kuonekana na mapungufu ambayo hayarekebishiki.”amesema Bw.Kihulla

Aidha amesema kuwa katika kuunga mkono kampeni ya matumizi ya nishati safi ya kupikia, Wakala imefanya  ukaguzi na uhakiki wa vipimo kwenye mitungi ya gesi ili kuhakikisha kuwa wanunuzi wa gesi wanapata kiasi sahihi kulingana na thamani ya fedha wanayolipa kwa ajili ya huduma hiyo.

Amesema kuwa katika eneo hilo, Sheria ya Vipimo Sura 340 inawataka wauzaji wote wa mitungi ya gesi kuwa na mizani zilizohakikiwa na Wakala wa Vipimo, ili mnunuzi ajiridhishe na uzito wa gesi anayonunua.

“Nitoe rai kwa wauzaji wote wa gesi nchini, kuhakikisha wanatumia mizani zilizohakikiwa na WMA kwenye biashara ya gesi. Lakini pia niwaombe sana wanunuzi wa Nishati hiyo kuhakikisha kiasi cha gesi wanachopokea kwenye mitungi kupitia Mizani hiyo iliyohakikiwa na WMA”amesema 

Hata hivyo amesema kuwa Wakala imeendelea  kujenga na kukarabati majengo ya ofisi zake ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi, lakini pia kuwawezesha watumishi wanaotoa huduma hizo kuwa katika mazingira mazuri ambayo yataboresha utendaji wa watumishi hao.

Katika kipindi cha miaka minne Wakala imejenga majengo mapya ya ofisi katika Mkoa wa Mara na Simiyu. Vile vile ujenzi wa ofisi hizo umefanyika katika Mkoa wa Dodoma kwa kujenga Ofisi zinazotumika kama ofisi za Wakala wa Vipimo Makao Makuu.

Amesema kuwa utekelezaji wa ujenzi wa jengo ambalo sasa linatumika kama ofisi za Wakala wa Vipimo Makao Makuu ulianza Julai, 2022 na kukamilika March, 2025. Jengo hilo lina ghorofa nne, Vyumba 60 vya ofisi, kumbi 2 za mikutano na Maabara mbili.

” Jengo la WMA Makao Makuu lipo eneo la Medeli Mkoani Dodoma na limejengwa kwa gharama ya Billion 6.99 fedha zilizotokana serikali yetu inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.”amesema 

Hivyo amesema kuwa  kukamilisha kwa ujenzi wa jengo hilo, Wakala wa Vipimo imejipanga kuendelea kuboresha mazingira ya ofisi kwa kujenga ofisi mpya katika Mikoa ya Lindi, Songwe, Ilala (Dsm) na Arusha kwa kutumia mapato ya ndani.

Pia amesema kuwa  Wakala imefanikiwa kuhakiki idadi kubwa ya matenki ya magari yabebayo vimiminika shughuli ambayo inafanywa kupitia kituo kikubwa cha uhakiki wa vipimo cha Misugusugu.

Amesema kuwa Kituo hicho ni moja ya vituo vya kisasa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ambacho kinauwezo wa kupima matenki ya malori 60 kwa siku.

” Ongezeko la idadi ya matenki ya malori yaliyohakikiwa yamepelekea kurahisisha kiasi kikubwa cha mafuta kuondoka kwenye maghala na kiasi cha mafuta yanayosafirishwa kwenda nje ya nchi na mikoa mbalimbali kuondoka kwa haraka kwakuwa magari yanatumia muda mfupi katika uhakiki wake.”amesisitiza

Amesema kuwa muda mfupi unaotumika katika uhakiki wa matenki ya malori ya kusafirishia mafuta umepelekea kukua kwa biashara na kuondoa malalamiko kwa wadau ukilinganisha na muda mwingi uliokuwa unatumika awali.

“Katika kipindi cha Mwaka 2021 hadi Februari, 2025 Kituo cha Misugusugu kimefanikiwa kuhakiki tenki 21,746 ambapo, tenki hizi ndizo hutumika kusafirisha shehena ya vimiminika toka Bandari ya Dar es Salaam na kwenda mikoani au nchi za nje kama vile Zambia, Rwanda, Malawi, Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.”amesema 

Hata hivyo amesema kuwa pamoja na uwepo wa kituo kikubwa cha upimaji wa matenki ya malori katika eneo la Misugusugu Wakala ina vituo saidizi katika mkoa wa Mtwara, Iringa, Mwanza na Mkoa wa Kivipimo Ilala.

Aidha amesema kuwa WMA  inaendela kutoa huduma za uhakiki wa kiasi cha mafuta (Jamii ya Petroli na Mafuta ya Kula) yanayoingia nchini kupitia bandari za Dar es salaam, Tanga na Mtwara. 

“WMA imefanikiwa kuhakiki jumla ya lita 30,645,930,571 za mafuta kwa meli 546 zilizowasili nchini, kukiwa na ongezeko la meli 136 mwaka 2021/22 hadi meli 174 hadi kufika Februari,2025. Ongezeko hilo limetokana na maboresho yaliyofanywa na Serikali katika utoaji wa huduma na miundombinu ya bandari. “amesema 

Pia amesema kuwa  maboresho hayo yalijumuisha kusimika mita za kisasa katika Bandari za Dar es Salaam, Tanga na Mtwara na kupelekea kuongezeka kwa ujazo wa mafuta yaliyohakikiwa kufikia jumla ya lita 30,645,930,571, ambapo lita 13,888,897,421 kwa ajili ya matumizi ya ndani (local) na lita 16,757,033,150 zilisafirishwa nje ya nchi. 

Amesema kuwa taarifa na takwimu zinazopatikana kutokana na uhakiki wa vipimo na usimamizi wa matumizi sahihi ya vipimo katika biashara ya mafuta unaofanywa na WMA, zinatumiwa na taasisi mbalimbali za Serikali katika kufanya maamuzi. Taasisi zinazonufaika na taarifa hizo.

About the author

Alex Sonna