Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AWASILI WINDHOEK NCHINI NAMIBIA

Written by mzalendoeditor

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya uapisho wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah

Picha namba 00. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya uapisho wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah tarehe 21 Machi, 2025. Sherehe hizo pia zitambatana na maadhimisho ya miaka 35 ya Uhuru wa nchi hiyo ambapo Mhe. Rais Dkt. Samia amealikwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe hizo Jijini Windhoek

About the author

mzalendoeditor