Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

betpuan

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

slot siteleri

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betpark

bets10

jojobet

holiganbet

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10 sorunsuz giriş

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

imajbet

holiganbet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AFUNGUA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA VETA

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza, Joshua Kingu mwanachuo kutoka Chuo cha VETA Kipawa jijini Dar es salaam, fani ya Mekatroniki alipotoa maelezo kuhusu mfano wa kiwanda unaotumika kufundishia,  alipotembelea banda la maonesho la Chuo hicho kabla ya   kufungua Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Utoaji wa Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini  na Miaka 30 ya VETA. Kwenye Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Machi 18, 2025. 

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini watoe mafunzo yanayozingatia mahitaji halisi ya soko la ajira.

“Mahitaji ya soko la ajira tutayajua kwa kufanya tafiti za mara kwa mara kwa ushirikiano kati ya Serikali, sekta binafsi, na mashirika ya kimataifa.”

Ametoa wito huo leo (Jumanne, Machi 18, 2025) katika Maadhimisho ya miaka 30 ya Uanzishwaji wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) yaliyofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, Dar es Salaam.

Amesema katika zama hizi zenye kasi ya maendeleo ya teknolojia, ni muhimu kwa VETA kuendelea kujiimarisha kukabiliana na mabadiliko ya teknolojia duniani.

“Toeni mafunzo ya ufundi stadi yanayoendana na mabadiliko ya teknolojia, mafunzo hayo yajumuishe ujuzi wa teknolojia za kisasa zinazochochea uzalishaji wenye tija.”

Akizungumza kuhusu umuhimu wa Elimu ya Ufundi Stadi, Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa takwimu za Shirika la Kazi Duniani (ILO) zinaonesha kuwa takribani asilimia 70 ya ajira zote ni ajira binafsi na kwa watu wenye elimu ya ufundi stadi hasa kwenye sekta za kilimo, ujenzi, usafirishaji, na huduma za kijamii.

“Kwa upande wa nchi yetu, takwimu za ajira zilizozalishwa kati ya mwaka 2020 na 2024 zinafikia Milioni 7 ambapo ajira binafsi katika sekta isiyo rasmi imeajiri watu milioni 6.1 sawa na asilimia 87.1 ambapo wengi wao wana elimu ya ufundi stadi, na sekta rasmi imeajiri watu 907,873 (asilimia 12.9) ambapo wengi wao ni wale wenye elimu ya juu”.

Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – TAMISEMI na Wizara ya Viwanda na Biashara wahakikishe ujenzi wa vyuo 65 vya ufundi unakamilika haraka.

Waziri Mkuu amesema ukamilishwaji wa vyuo hivyo vinavyojengwa na Serikali unalenga kutimiza dhamira ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuwawezesha Watanzania kiujuzi.

“Ujenzi wa vyuo hivi ukikamilika, VETA itakuwa na vyuo 145 katika ngazi ya Mikoa yote 26 na Wilaya zote nchini. Vilevile, katika vyuo 80 vilivyopo, vyuo 30 vilikamilishwa katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita (6). Tuna kila sababu ya kumpongeza Rais wetu kwa kazi kubwa anayowafanyia Watanzania.”

Kadhalika Waziri Mkuu ameitaka VETA ihakikishe inatangaza fursa za mafunzo zilizopo ili vijana haswa wa vijijini waweze kuzitumia. “Inawezekana kabisa kuwa, wapo vijana katika maeneo mbalimbali nchini haswa ya vijijini ambao hawana taarifa ya fursa za mafunzo zilizopo.”

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa VETA, CPA Anthony Kasore amesema  taasisi hiyo imejizatiti katika kuboresha mafunzo na kwamba wataendelea kutoa ujuzi ili kuhakikisha Taifa linakuwa na watu wenye ujuzi.

Pia, CPA Kasore ametumia fursa hiyo kuishukuru Serikali kwa kuwekeza katika eneo la kutoa ujuzi eneo ambalo litawawezesha Watanzania wengi kujikwamua kiuchumi.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kikataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Utoaji wa Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini na Miaka 30 ya VETA, Machi 18, 2025. Kutoka kushoto ni Waziri wa Elimu, Syansi na Teknolojia, Profesa Adolf  Mkenda, waziri wa Viwanda na Biashara, Selemani Jafo, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dennis Londo, na kulia ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akiongozwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda kuingia ukumbi wa mikutano wa Kituo cha Mikutano cha Kikataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Utoaji wa Elimu ya Mafunzo ya Udundi Stadi inchini na Miaka 30 ya VETA, Machi 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza, Joshua Kingu mwanachuo kutoka Chuo cha VETA Kipawa jijini Dar es salaam, fani ya Mekatroniki alipotoa maelezo kuhusu mfano wa kiwanda unaotumika kufundishia,  alipotembelea banda la maonesho la Chuo hicho kabla ya   kufungua Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Utoaji wa Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini  na Miaka 30 ya VETA. Kwenye Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Machi 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Abdallah Mohammed , Mkurugenzi wa  Vyuo na Mafunzo, Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar kuhusu hotipoti iliyotengenezwa kwa kutumia mti alipotembelea banda la manesco la  mamalaka hiyo  kabla ya kufungua Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Utoaji wa Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini na Miaka 30 ya VETA. Kwenye Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Machi 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Fay Fashion Tanzania, Gregory (kushoto) kuhusu bidha mbalimbali zinazotengenezwa na  kampuni hiyo alipotembelea banda la maonesho la kampuni hiyo kabla  ya kufungua Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Utoaji wa Elimu ya Mafunzo ya Ufundi  Stadi inchini na Miaka 30 ya VETA. Kwenye Kituo cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Machi 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye ukumbi wa mikutano wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Utoaji wa Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini  na Miaka 30 ya VETA, Machi 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Utoaji wa Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi nchini na Miaka 30 ya VETA, kwenye Kituo cha  Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Machi 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

About the author

Alex Sonna