Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

gameofbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark güncel giriş

porno izle

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

pashagamingg

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

betsat güncel giriş

jojobet

holiganbet

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

bets10 sorunsuz giriş

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

imajbet

holiganbet

Featured Kitaifa

TBS YAJIVUNIA MAFANIKIO YAKE KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MINNE YA RAIS SAMIA

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Ashura Katunzi, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa shirika hilo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita leo Machi 18, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Ashura Katunzi, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa shirika hilo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita leo Machi 18, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

KATIKA  kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limetenga kiasi cha TZS bilioni 2.7 kwa ajili ya kuimarisha ofisi saba za kanda.

Hayo yameelezwa leo Machi 18,2025 jijini Dodoma na Mkurugenzi Mkuu wa TBS  Dkt. Ashura Katunzi,wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa shirika hilo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita.

Amezitaja kanda hizo kuwa ni Arusha, Mwanza, Mtwara, Dar es Salaam, Dodoma, Kigoma na Mbeya pamoja na ofisi za mipakani (Tunduma, Kasumulo, Horohoro, Holili, Tarakea, Namanga, Bandari ya Mwanza, Uwanja wa Ndege wa Mwanza, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, Sirari, Kabanga, Rusumo, Mutukula, Bandari ya Bagamoyo, bandari ya Mbweni, bandari ya Dar es Salaam, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere – Dar es Salaam na Bandari ya Tanga.

“Tumetenga kiasi cha fedha hizo  shilingi bilioni 2.7 kwa ajili ya kuimarisha ofisi zake saba za kanda pamoja na ofisi za mipakani. Lengo ni kuhakikisha bidhaa hafifu zinadhibitiwa kabla ya kuingia sokoni na kuhakikisha watumiaji wanapata bidhaa bora na salama.”amesema Dkt. Katunzi

Dkt.Katunzi amesema kuwa TBS ilipima  sampuli 118,059 na kufanya ugezi wa vifaa 36,808 ili kuhakikisha bidhaa zinazoingia sokoni zinakidhi viwango vya ubora.

“Tunatekeleza majukumu yetu kwa ufanisi mkubwa kwa lengo la kuhakikisha usalama wa bidhaa, kulinda afya za walaji na kuchochea biashara. Mafanikio haya yamepatikana kwa kusogeza huduma karibu na wananchi, kuwezesha biashara, kuboresha mifumo ya TEHAMA, na kuimarisha maabara za Shirika, “amesema Dkt. Katunzi

Pia amesema ili kusogeza Huduma Karibu na Wateja TBS imeanzisha ujenzi wa maabara mpya katika mikoa ya Dodoma na Mwanza ili kuhudumia wananchi wa Kanda ya Kati na Kanda ya Ziwa.

“Hatua hii itaongeza ufanisi wa huduma za uthibitishaji wa viwango kwa bidhaa za ndani na kuimarisha ukaguzi wa bidhaa kutoka nje,” amesema.

Hata hivyo Dkt. Katunza amesema katika miaka minne iliyopita, TBS imefanikiwa kuandaa viwango 1,823 katika sekta mbalimbali ikiwemo chakula, uhandisi, kemikali, na mazingira. Viwango hivi vinawasaidia wafanyabiashara na wazalishaji kuzalisha bidhaa zinazokidhi mahitaji ya soko la ndani na la kimataifa.

Pia, jumla ya leseni za ubora 2,402 zilitolewa kwa wazalishaji, ambapo kati ya hizo, 1,066 walikuwa wajasiriamali wadogo waliopata huduma bure kupitia mpango wa serikali.

“Serikali inatenga zaidi ya shilingi milioni 350 kila mwaka kusaidia wajasiriamali wadogo kupata nembo ya ubora bila malipo,” amebainisha 

Aidha, Dkt Katunzi ameongeza kuwa katika kuhakikisha bidhaa zinazosambazwa sokoni zinakidhi viwango, TBS imesajili jumla ya maeneo 31,592 ya uzalishaji, usambazaji, na uuzaji wa chakula na vipodozi. Shirika pia limekagua shehena 18,588 za bidhaa na magari 162,160 kutoka nje ya nchi ili kuhakikisha bidhaa duni haziingii sokoni.

“TBS ina jukumu kubwa la kuhakikisha Tanzania haiwi jalala la bidhaa hafifu,” alisema na kuongeza “Ukaguzi huu unalenga kulinda afya za wananchi na kuimarisha ulinzi wa mazingira.”

Ameeleza kuwa TBS imeendesha mafunzo kwa wazalishaji wa bidhaa 5,052 ili kuwawezesha kuzalisha bidhaa zinazokidhi viwango. Pia, kwa kushirikiana na SIDO kupitia Mradi wa Qualitan, shirika limefunza wazalishaji wa bidhaa za chakula 1,000 katika mikoa 10.

“Elimu ya viwango ni nyenzo muhimu kwa wazalishaji wetu ili waweze kushindana katika masoko ya ndani na nje,” amesisitiza Dkt. Katunzi

Hata hivyo amesema kuwa kwa kuongeza ufanisi wa Maabara Maabara za TBS zimepata ithibati ya kimataifa na zina vifaa vya kisasa kama vile mashine ya hydrostatic pressure test, automatic conductor resistance tester, na solar simulator.

“Katika Afrika Mashariki na Kati, Tanzania ndiyo nchi pekee yenye mashine ya solar simulator, ambayo hupima paneli za jua bila kutegemea mwangaza wa jua wa moja kwa moja,” amesema

Amesema TBS imeboresha mifumo yake ya TEHAMA kwa kuunganisha huduma zake na Mfumo wa Dirisha Moja la Huduma (TeSWS).

“Mfumo huu unawawezesha wafanyabiashara kupata vibali na kuthibitisha ubora wa bidhaa kwa haraka zaidi,” alisema mkurugenzi wa TEHAMA wa shirika hilo.

Pia amesema kuwa TBS inashiriki katika kuhakikisha vifaa vya nishati safi vinakidhi viwango vya kitaifa ili kupunguza uzalishaji wa gesi chafu na kulinda mazingira.

“Tunaendelea kununua vifaa vya kisasa vya maabara kwa ajili ya kuhakikisha vifaa vya nishati safi vinavyouzwa sokoni vina ubora wa hali ya juu,” alisema mkurugenzi wa viwango wa shirika hilo.

Dkt.Katunzi amesema kuwa Mnamo mwaka 2023, TBS ilitunukiwa tuzo ya Mdhibiti Bora Barani Afrika kwa kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi mkubwa. Pia, TBS imekuwa taasisi ya kwanza katika SADC kupata ithibati ya mifumo ya udhibiti wa bidhaa kwa kiwango cha kimataifa.

“Tuzo hizi ni uthibitisho kuwa TBS inatekeleza majukumu yake kwa viwango vya kimataifa,” alisema mkurugenzi mkuu wa shirika hilo.

TBS itaendelea kuweka mikakati ya kuboresha huduma zake kwa lengo la kuchochea maendeleo ya viwanda na biashara nchini. Kwa kuzingatia viwango vya kimataifa, Tanzania inazidi kujenga mazingira bora kwa wawekezaji, wafanyabiashara, na walaji wa ndani na nje ya nchi.

“Tunajivunia mafanikio haya na tunaahidi kuendelea kushirikiana na wadau wote katika kuhakikisha bidhaa bora zinapatikana sokoni,” alisema Mkurugenzi Mkuu wa TBS, “ameeleza Dkt. Katunzi

About the author

Alex Sonna