marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet giriş

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

bets10

pusulabet giriş

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

superbetin

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

celtabet

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

eminevim

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

betsat

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

slot siteleri

herabet

Featured Kitaifa

KAMATI YA BUNGE YA AFYA, UKIMWI YAIPONGEZA BARRICK BULYANHULU KUZINGATIA KANUNI ZA AFYA

Written by Alex Sonna
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imefanya ziara ya kikazi katika mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu na kupongeza jitihada zinazofanywa na mgodi kujali afya za wafanyakazi wake na jamii nzima ya vijiji vinavyozunguka mgodi huo.
 
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Hassan Mtenga akiongea baada ya kuhitimisha ziara hiyo amesema Kamati imeridhishwa kwa jinsi mgodi unavyotekeleza programu za afya za ndani na nje hususani katika kupambana na UKIMWI, Malaria, Kifua Kikuu na magonjwa mengineyo yanayoweza kusababishwa na shughuli za uzalishaji mgodini.
 
“Katika wasilisho lenu tumeona ni jinsi gani kampuni ya Barrick iko mstari wa mbele kulinda afya za wafanyakazi wake na jamii nzima ya maeneo yanayozunguka mgodi na kwa jinsi inavyofanikisha miradi ya Afya kupitia fedha za Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) pia tumefurahi kusikia asilimia kubwa vya wafanyakazi katika migodi ya Barrick hapa nchini ni watanzania”,amesema Mtenga.
 
Kwa niaba ya Kamati, Mtenga ametoa pendekezo kwa Mgodi wa Barrick kuangalia uwezekano wa kuchangia Mfuko wa Taifa wa UKIMWI, pendekezo ambalo uongozi wa Mgodi umesema utalifanyia kazi kwa kushirikiana na Serikali ya Mkoa na Wilaya kupitia Kamati za Maendeleo ya jamii.
 
Kwa upande wake Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa, amesema uendeshwaji wa migodi ya Barrick ambayo ina ubia na Serikali kupitia kampuni ya Twiga Minerals ni wa weledi mkubwa na viwango vya kimataifa, uwazi ,unazingatia sheria za nchi na ni kielelezo cha uwekezaji wa kupigiwa mfano katika sekta ya Madini nchini.
 
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha, amepongeza Mgodi wa Barrick Bulyanhulu kwa kuhakikisha wakati wote unafanya kazi kwa ushirikiano mkubwa na Serikali sambamba na kufanikisha miradi mikubwa ya maendeleo katika mkoa hususani katika sekta za elimu, afya, maji na ujenzi wa miundo mbinu ya barabara.
 
Awali akitoa taarifa kwa Kamati hiyo, Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu, Victor Lule amesema kuwa mgodi umekuwa mstari wa mbele kuendesha programu za kudhibiti maambukizi ya UKIMWI na Malaria kwa wafanyakazi wake pia umeimarisha zahanati ya mgodi kuhakikisha inatoa huduma bora na za kisasa wakati wote.
 
Lule ameongeza kuwa mbali na kuimarisha huduma za ndani ya Mgodi pia mgodi umekuwa mstari wa mbele kuboresha kituo cha afya cha Bugarama na kupeleka kampeni ya kupambana na Malaria ijulikanayo kama Zero Malaria kwenye vijiji vinavyozunguka Mgodi kwa kupuliza dawa za kuua mazalia ya mbu na kuwagawia wananchi vyandarua vyenye dawa.
 
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TACAIDS, Dkt. Catherine Joachim ametoa ushauri kwa Mgodi kuendesha programu za tohara kwa wanaume na dawa za kuzuia maambukizi mapya ndani na nje ya mgodi na kuongeza kuwa licha ya kuwepo madawa ya kufubaza virusi vya UKIMWI bado kuna maambukizi mapya yanaendelea kujitokeza na sehemu mojawapo hatarishi kupata ugomjwa huo ni maeneo ya migodini.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakitembelea Zahanati ya mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakitembelea Zahanati ya mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakitembelea Zahanati ya mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakitembelea Zahanati ya mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI wakitembelea Zahanati ya mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Afya, UKIMWI Mhe. Hassan Mtenga akizungumza wakati ziara ya kikazi ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI katika mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Afya, UKIMWI Mhe. Hassan Mtenga akizungumza wakati ziara ya kikazi ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI katika mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Afya, UKIMWI Mhe. Hassan Mtenga akizungumza wakati ziara ya kikazi ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI katika mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa akizungumza wakati ziara ya kikazi ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI katika mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu

 Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu, Victor Lule akizungumza wakati ziara ya kikazi ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI katika mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu
 Mkuu wa Mahusiano ya Jamii na Mazingira Mgodi wa Barrick Bulyanhulu, Agapit Paul akizungumza wakati ziara ya kikazi ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI katika mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati ziara ya kikazi ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI katika mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati ziara ya kikazi ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI katika mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati ziara ya kikazi ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI katika mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita akizungumza wakati ziara ya kikazi ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI katika mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu

 

 

About the author

Alex Sonna