slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

madridbet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

perabet

Featured Kitaifa

SERIKALI: ELIMU YA FEDHA KUYAFIKIA MAKUNDI YOT

Written by Alex Sonna
Mkazi wa Manispaa ya Musoma, Bw. Athuman Khalid (mlemavu wa kusikia) akiishukuru Serikali kwa kuwafikia kundi la wasiosikia kuwapa elimu ya masuala ya fedha kwa kuwa itawakomboa kiuchumi wakati wa mafunzo yaliyotolewa na Wizara ya Fedha, pamoja na Taasisi nyingine ikiwemo Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, NSSF, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), TCB, NMB, CRDB na NBC, yaliyofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara, katika picha hiyo yupo pia Mkalimani Bi. Dainess Wilson, akitafsiri lugha ya alama.
Na. Josephine Majura WF, Mara
 
Serikali inatambua umuhimu wa kuhakikisha kwamba makundi yote maalumu, yakiwemo watu wenye ulemavu wa kusikia (viziwi), wanawake, vijana, na wazee, wanapata elimu ya fedha nchini ili waweze kujikwamua kiuchumi. 
 
Hayo yameelezwa na Afisa Usimamizi wa Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya , wakati wa mafunzo kwa watu wenye ulemavu wa kusikia yaliyofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara.
 
“Elimu hii inalenga kuyawezesha makundi haya kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi, kuwajenga uwezo wa kusimamia rasilimali zao, na kuboresha maisha yao kwa ujumla”, alisema Bw. Kibakaya.
 
Alisema kuwa katika utoaji wa elimu ya fedha katika makundi mbalimbali nchini, washiriki wamepewa elimu katika maeneo ya usimamizi wa fedha binafsi, uwekaji  akiba, mikopo, uwekezaji, bima, bima ya amana, kodi na kujipanga kwa maisha ya uzeeni.
 
Kwa upande wake mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo, Bw. Athuman Khalid (mlemavu wakusikia) alieleza furaha yake kwa kupata fursa ya kushiriki mafunzo ya elimu ya fedha.
 
“Kwa muda mrefu tulihisi kutengwa katika masuala ya fedha, lakini leo tumefikiwa na kupewa elimu kuhusu kupanga matumizi, kujiwekea akiba, kufanya uwekezaji na kutumia Taasisi rasmi kuchukua mikopo”, alisema Bw. Khalid.
 
Naye Mkalimani, Bi. Dainess Wilson, aliiomba Serikali kuendelea kutoa mafunzo endelevu kwa Wakalimani nchini ili kuboresha ujuzi na weledi wao katika kazi na kutoa huduma za utaalamu wa hali ya juu na kuongeza tija katika utendaji wao.
 
Wizara ya Fedha kwa kutambua umuhimu wa mchango wa Taasisi za Fedha Timu ya Wataalamu kutoka wizarani ambayo ipo mkoani Mara kwa ajili ya kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wa makundi mbalimbali imeambatana na Wataalamu kutoka  Taasisi nyingine za Serikali, ikiwemo Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS na  NSSF, pamoja na Taasisi za Kibenki ikiwemo, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Benki ya Biashara Tanzania (TCB), CRDB, NMB, NBC.
Mkazi wa Manispaa ya Musoma, Bw. Athuman Khalid (mlemavu wa kusikia) akiishukuru Serikali kwa kuwafikia kundi la wasiosikia kuwapa elimu ya masuala ya fedha kwa kuwa itawakomboa kiuchumi wakati wa mafunzo yaliyotolewa na Wizara ya Fedha, pamoja na Taasisi nyingine ikiwemo Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, NSSF, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), TCB, NMB, CRDB na NBC, yaliyofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara, katika picha hiyo yupo pia Mkalimani Bi. Dainess Wilson, akitafsiri lugha ya alama.
Afisa Usimamizi wa Fedha Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha Wizara ya Fedha, Bi. Elizabeth Mzava (kulia) na Afisa Mahusiano wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), wakimkabidhi zawadi ya fulana, Bi. Catheline Philipo, baada ya kujibu swali kuhusu maeneo salama ya kutunza fedha wakati wa mafunzo yaliyotolewa na Wizara ya Fedha, pamoja na Taasisi nyingine ikiwemo Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, NSSF, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), TCB, NMB, CRDB na NBC, yaliyofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara.
Afisa Usimamizi wa Fedha, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bw. Stanley Kibakaya, akitoa elimu kwa Bi.  Juliana John kwa njia ya kipeperushi ambacho kina taarifa mbalimbali kuhusu uwekaji akiba, wakati wa mafunzo yaliyotolewa na Wizara ya Fedha, pamoja na Taasisi nyingine  ikiwemo Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, NSSF, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), TCB, NMB, CRDB na NBC, yaliyofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara.
Mkalimani, Bi. Dainess Wilson, akitafsiri lugha ya alama mafunzo ya elimu ya fedha  kwa kundi la watu wenye ulemavu wa kusikia  walioshiriki mafunzo hayo yaliyotolewa na Wizara ya Fedha, pamoja na Taasisi nyingine za Serikali ikiwemo Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, NSSF, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), TCB, NMB, CRDB na NBC l, yaliyofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara.
Baadhi ya watoa huduma katika Taasisi za Fedha ikiwemo Benki ya NMB, CRDB, TCB, NBC pamoja na NSSF wakifuatilia mafunzo ya elimu ya fedha yaliyotolewa na Wizara ya Fedha, pamoja na Taasisi nyingine ikiwemo Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, NSSF, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), TCB, NMB, CRDB na NBC yaliyofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya elimu ya fedha, kundi maalumu la watu wenye ulemavu wa kusikia wakifuatilia elimu iliyotolewa na  Wizara ya Fedha, pamoja na Taasisi nyingine ikiwemo Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS, NSSF, Benki Kuu ya Tanznaia (BoT), TCB, NMB, CRDB na NBC, yaliyofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Musoma mkoani Mara.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WF, Mara)

About the author

Alex Sonna