Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

bets10

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

perabet

tipobet

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

Marmaris Tekne Turu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

holiganbet

Featured Kitaifa

RAIS MWINYI:TUSIPANDISHE BEI ZA BIDHAA ZA VYAKULA WAKATI WA RAMADHANI

Written by Alex Sonna

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara Mama lishe katika Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakati wa ziara yake kutembelea Soko hilo kuangalia mwenendo wa biashara na upatikanaji wa bidhaa, iliyofanyika leo 24-2-2025.(Picha na Ikulu)

………..

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuridhishwa  na upatikanaji wa Bidhaa za Vyakula na kuwataka Wafanyabiashara Kutopandisha Bei  wakati Ramadhani itakapoanza.

Rais Dkt.Mwinyi amesema hayo alipotembelea Masoko ya Jumbi , Mwanakwerekwe na Darajani  kuangalia Mwenendo wa Biashara  na Upatikanaji wa Bidhaa za Vyakula  kuelekea Mwezi Wa Ramadhani.

Aidha Rais Dkt.Mwinyi  ameeleza kuwa Serikali inajipanga kwa ajili ya Ujenzi wa Masoko mengine maeneo mbalimbali ili kila Mfanyabiashara afanye biashara  kwenye mazingira  rasmi .

Kuhusu Suala la  Usafi wa Masoko ameuagiza Uongozi wa Masoko hayo kutafuta njia Bora zaidi ya Uhifadhi wa Bidhaa za Wafanyabiashara ili Masoko kuwa safi wakati Wote.

Amezielekeza Taasisi zinazosimamia Masoko hayo kuhakikisha Upatikanaji wa  Huduma ya Maji  na Vipooza hewa katika Masoko yote pamoja  na kuimarisha Usafi.

Ziara hiyo ya Rais Dkt, Mwinyi ni ya Kwanza tangu kufunguliwa kwa Masoko Mapya ya Jumbi , Mwanakwerekwe na Ukarabati Mkubwa wa Soko la Darajani.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 24-2-2025, kuangalia mwenendo wa biashara na upatikanaji wa bidhaa katika soko hilo (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohamed.(Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa, alipowasili katika viwanja vya Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, akiwa katika ziara yake kutembelea soko la jumbi kuangalia mwenendo wa biashara na upatikanaji wa bidhaa katika masoko ya Jumbi,Mwanakwerekwe na Darajani, ziara hiyo iliyofanyika leo 24-2-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mfanyabiashara wa mbogamboga katika Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati wa ziara yake kutembelea Soko hilo kuangalia mwenendo wa biashara na upatikanaji wa bidhaa mbalimbali katika Soko hilo, ziara hiyo iliyofanyika leo 24-2-2025, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)   

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mfanyabiashara wa mbogamboga katika Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati wa ziara yake kutembelea Soko hilo kuangalia mwenendo wa biashara na upatikanaji wa bidhaa mbalimbali katika Soko hilo, ziara hiyo iliyofanyika leo 24-2-2025, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu).

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiuliza swali kwa Mfanyabiashara wa mchele Stella Job, katika Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, wakati wa ziara yake kutembelea masoko ya Mkoa wa Mjini Magharibi leo 24-2-2025, Soko la Jumbi,Mwanakwerekwe na Darajani. (Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiangalia bidhaa ya mchele wakati wa ziara yake katika Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 24-2-2025, kuangalia mwenendo wa biashara na upatikanaji wa bidhaa katika soko hilo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wafanyabiashara Mama lishe katika Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakati wa ziara yake kutembelea Soko hilo kuangalia mwenendo wa biashara na upatikanaji wa bidhaa, iliyofanyika leo 24-2-2025.(Picha na Ikulu)

 

About the author

Alex Sonna