RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua kitabu cha muongozi wa Zanzibar SUKUK,wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2025, (kushoto) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Zanzibar SUKUK, uzinduzi huo uliyofanyika leo 22-2-2025 katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI mbalimbali wa Serikali na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Zanzibar SUKUK, uliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2025.(Picha na Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuzindua Zanzibar SUKUK, hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua kitabu cha muongozi wa Zanzibar SUKUK,wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2025, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum. na CPA.Juma Amour Mohammed.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua kitabu cha muongozi wa Zanzibar SUKUK,wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2025, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum. na CPA.Juma Amour Mohammed na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua kitabu cha muongozi wa Zanzibar SUKUK,wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2025, (kushoto) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua App ya Zanzibar SUKUK,wakati wa hafla ya uzinduzi huo uliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-2-2025, (kushoto kwa Rais ) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Arafat A.Haji na (kulia kwa Rais) CPA Juma Amour Mohammed.(Picha na Ikulu)