Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

maxwin, maxwin giriş

maxwin, maxwin giriş

deneme bonusu

casibom giriş

betwoon

paşacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat güncel giriş

meritking

jojobet

pusulabet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

betpas

jojobet

timebet

jojobet

kavbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

holiganbet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin

maxwin

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

betkolik

jojobet

casibom

jojobet

kalebet

casibom

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

jojobet

betpark

meritking giriş

vdcasino

jojobet

kingroyal

Featured Kitaifa

MWANGA NA WAHIMIZWA KUJISAJILI VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO VYA FEDHA

Written by Alex Sonna
Afisa Mkuu kutoka Benki Kuu ya Tanzania, (BoT), Bi. Mwile Kauzeni, akitoa mada kuhusu masuala ya fedha na umuhimu wa kusajili vikundi vya kutoa huduma ndogo za fedha kwa wananchi na wanafunzi wa Kata ya Lembeni kwenye program maalum ya elimu ya fedha iliyotolewa katika ukumbi wa Shule ya Lembeni Sekondari Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro
Afisa Usimamizi wa Fedha katoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha – Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya, akifafanua  kuhusu masuala  ya mikopo salama na umuhimu wa kusajili vikundi vya kutoa Huduma Ndogo ya Fedha kwa wananchi na wanafunzi wa Kata ya Lembeni kwenye program maalum ya elimu ya fedha iliyotolewa katika ukumbi wa Shule ya Lembeni Sekondari Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro
Afisa Usimamizi wa Fedha katoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha – Wizara ya Fedha, Bw. Kelivin Kalengela akifafanua  kuhusu masuala  ya mikopo salama na umuhimu wa kusajili vikundi vya kutoa Huduma Ndogo ya Fedha kwa wananchi na wanafunzi wa Kata ya Lembeni kwenye program maalum ya elimu ya fedha iliyotolewa katika ukumbi wa Shule ya Lembeni Sekondari Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro.
Afisa wa Uendeshaji wa Mfuko Wa Uwekezaji wa Pamoja Wa Wekeza Maisha (UTT AMIS) Tawi la Arusha, Bw. Elias Nyakimura Muhoji, akitoa mada kuhusu masuala ya fedha na umuhimu wa kusajili vikundi vya kutoa huduma ndogo za fedha kwa wananchi na wanafunzi wa Kata ya Lembeni kwenye program maalum ya elimu ya fedha iliyotolewa katika ukumbi wa Shule ya Lembeni Sekondari Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro
Baadhi ya wajasiriamali na wananchi pamoja na wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari Lembeni, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, wakipata elimu ya fedha kwa njia ya filamu yenye maudhui kuhusu matumizi sahihi ya fedha, umuhimu wa kupanga bajeti na kuitekeleza, umuhimu wa kusajili vikundi vya huduma ndogo za fedha , utunzaji wa fedha binafsi, umuhimu wa kushirikisha familia na watu wa karibu kwenye masuala ya fedha na uwekezaji, umuhimu wa kukata bima ya biashara na mali nyingine, filamu hiyo imeandaliwa na Wizara ya Fedha ili kusambaza elimu ya fedha kwa njia rahisi ya burudani ili kuhakikisha wananchi wanapata uelewa wa masuala ya huduma za fedha.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WF, Mwanga)
Na Chedaiwe Msuya, WF, Mwanga
 
Vikundi vya Kijamii na Huduma Ndogo za Fedha katika Kata ya Lembeni Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, vimetakiwa kujisajili katika mfumo wa Wezesha Portal ambao umeanza kutumika tangu mwezi Oktoba, 2023, ili kurahisisha usajili kwa njia ya kidigitali  ambapo vikundi vinaweza kusajili bila kufika Ofisi za Halmashauri.
 
Akizungumza katika mwendelezo wa program ya elimu ya fedha kwa umma iliyotolewa kwa wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mwanga, Afisa Usimamizi wa Fedha katoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha – Wizara ya Fedha, Bw. Kelvin Kalengela, alisema ni muhimu watoa huduma ndogo za fedha wasajili na kupata leseni ya kutoa huduma hizo kwa wananchi kwa mujibu wa Sheria za Benki Kuu ya Tanzania.
 
‘’ Wito kwa Taasisi za huduma ndogo za fedha ni muhimu wasajiliwe kwa mujibu wa Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania, vilevile vikundi vyote vya huduma ndogo za fedha na vile vya kijamii ni lazima visajiliwe kwa mujibu wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ili viweze kunufaika na fursa mbalimbali za uwezeshaji kiuchumi zinazotolewa na Serikali’’. Alisema Bw. Kalengela
 
Bw. Kalengela aliongeza kuwa ni vyema vikundi vya kijamii na huduma ndogo za fedha vikaharakisha kujisajili kwenye mfumo wa Wezesha Portal kwa kufanya hivyo kutawasaidia kuunganishwa na fursa mbalimbali zilizopo kwenye mifuko na program za uwezeshaji wananchi kiuchumi pamoja na Taasisi za fedha zinazotoa mikopo kwa riba nafuu inayotolewa kwa vijana wajasiriamali na makundi maalum.
 
Vilevile Afisa Usimamizi wa Fedha katoka Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha – Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya alisema kuwa lengo la Programu ya Elimu ni kutoe Uelewa kwa Wananchi kuhusu masuala ya fedha na kuonyesha fursa zinazopatikana katika Sekta ya Fedha ikiwemo umuhimu wa kusajili vikundi vya huduma ndogo ya fedha kwa njia ya mfumo.
 
“ Programu hii ni ya Nchi mzima na Lengo la Wizara hadi kufikia Mwaka 2025/26 ni kuwafikia Wananchi asilimia 80 kwa kuwapatia Elimu ya Fedha na kutambua fursa zilizopo kwenye Sekata ya Fedha, kuna fursa kwa makundi yote”. Alisema Bw. Kibakaya
 
Nae Afisa Maendeleo ya Jamii, Bw. Samwel Daniel Kateri, ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Fedha kuweza kutoa elmu ya fedha katika Wilaya ya Mwanga kwa wananchi wake.
 
“Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Wizara ya Fedha kwa jitihada zake za kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wa Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro. Hatua hii ni muhimu katika kuimarisha uelewa wa wananchi kuhusu usimamizi wa fedha, uwekezaji, mikopo, na itawawezesha kufikia malengo yao ya kifedha ”.
 
Program ya elimu ya fedha inatolewa kwa wananchi jinsi ya kutumia fedha zao kwa njia bora na wana uwezekano mkubwa wa kuchangia maendeleo ya jamii. Kwa mfano, wanaweza kushirikiana katika miradi ya maendeleo ya kijamii kama vile ujenzi wa shule, hospitali, au miundombinu.

About the author

Alex Sonna