Baada ya uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) Mkoani Kilimanjaro wananchi wa Manispaa ya moshi leo Januari 30, 2025 wamejitokeza kwa wingi katika banda la Wizara ya Katiba na Sheria tayari kusikilizwa kwa changamoto zao za kisheria.
Kampeni hiyo itapita katika Hamalashauri zote za mkoa wa Kilimanjaro ampapo timu ya wanasheria kutoka Wizara hiyo itatoa huduma kwa muda wa siku tisa.