Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

MASHINDANO YA JAMUKAYA RAMADHAN CUP 2025 YAZINDULIWA RASMI

Written by Alex Sonna

Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George akizungumza huku ameshikilia kikombe kinachoashiria uzinduzi rasmi wa Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025.

Na Marco Maduhu & Kadama Malunde – SHINYANGA

MASHINDANO ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025, yamezinduliwa rasmi na Kampuni ya Jambo Group na yanatarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi Machi mwaka huu, katika kipindi cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Michuano hiyo inayojivunia kuunganishwa na tamaduni za kidini, itaendelea kuhamasisha umoja na mshikamano katika jamii, ikiwa na kauli mbiu ya mwaka huu: “Jamukaya Ramadhan Cup, hii ni Ibada, tuungane na tushiriki kwa pamoja.”

Uzinduzi huo umefanywa na Msimamizi wa Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George, ambaye amezungumza na waandishi wa habari leo, Januari 31, 2025.

Mashindano yameboreshwa zaidi kwa Mwaka 2025!

Akizungumza wakati wa uzinduzi, George amesema kuwa mashindano ya mwaka huu yatafanyika usiku kuanzia saa 4 katika uwanja wa Chuo cha Ualimu Shinyanga (Shycom), na yatatoa fursa ya kipekee kwa jamii kuungana na kufurahi pamoja wakati wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Msimamizi wa Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George akizungumza huku ameshikilia kikombe kinachoashiria uzinduzi rasmi wa Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025.

“Kutakuwa na timu 20 za mpira wa miguu zinazoshiriki, ikijumuisha timu 16 kutoka mwaka 2024, huku zawadi kwa mshindi wa kwanza ikiwa imeongezeka kutoka shilingi milioni 1 hadi shilingi milioni 5,” amesema George.

Kwa mujibu wa George, timu zinakaribishwa kujiandikisha kuanzia leo, huku kiingilio cha timu kikiwa sh. 300,000/= kwa timu za kawaida na sh. 500,000/= kwa timu za mashirika.

Kwa wananchi, viingilio vimepangwa kuwa sh. 1,000/=, na kila mtazamaji atapata kinywaji cha Jambo mlangoni.

Fursa za Kiuchumi na Umoja wa Jamii

Amesema mashindano haya hayataishia tu uwanjani, bali pia yataleta fursa kubwa kwa wajasiriamali wa Shinyanga.

Msimamizi wa Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George akizindua Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025

“Wajasiriamali wataweza kufanya biashara zao kwa kiingilio kidogo cha sh. 1,000, ambapo wataweza kuuza bidhaa mbalimbali kwa umma unaohudhuria mashindano,” ameongeza George.

Amefafanua kuwa, Jamukaya Ramadhan Cup pia inalenga kukuza afya na ustawi wa kijamii katika kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ambapo michezo itakuwa njia ya kuimarisha umoja na mshikamano katika jamii.

“Katika kipindi hiki cha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, wachezaji na mashabiki wataweza kupata nafasi ya kuburudika na kuungana kupitia michezo, huku wakijikita katika ibada na kumtumikia Mwenyezi Mungu,” amesema George.

Taa Angavu, Ulinzi na Usalama Upo!

Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano hayo, Jerry Julius, amesisitiza kuwa kamati imejipanga vyema kuhakikisha mashindano haya yanaendeshwa kwa ufanisi.

 “Mapungufu ya mwaka 2024 tumeyafanyia kazi na tumeboresha miundombinu, ikiwa ni pamoja na kuweka taa angavu zaidi uwanjani.

 Ulinzi na usalama pia umekumbukwa, na tutahakikisha kwamba mashabiki wanashuhudia michuano hii kwa furaha na usalama,” amesema Julius.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025, Jerry Julius 

Amesema kwa wale wanaotaka kushiriki, fomu za usajili za timu zipo Ofisi za Jambo FM (Ibadakuli – Shinyanga Mjini), au zinaweza kupatikana kwa kumpigia simu kwa namba 0629289448.

Viongozi wa Michezo Wapongeza Jamukaya Ramadhan Cup

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Shinyanga (SHIDIFA), Budete Njile, amepongeza Kampuni ya Jambo Group kwa kuandaa mashindano haya, akisema kuwa ni hatua nzuri ya kukuza vipaji vya vijana.

“Tunashirikiana na kampuni hii kuleta maendeleo na kukuza michezo katika jamii yetu, na tunatoa wito kwa wachezaji na mashabiki wote kujitokeza kwa wingi,” amesema Njile.

Naye mchezaji maarufu Emmanuel Daudi Momoro kutoka Timu ya Kitangili FC, ameelezea furaha yake kuhusu mashindano haya na kuahidi kwamba timu yake iko tayari kutwaa ubingwa mwaka huu.

Msimamizi wa Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George akizindua Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi Machi mwaka huu, katika kipindi cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Picha zote na Kadama Malunde & Marco Maduhu
Msimamizi wa Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George akizindua Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi Machi mwaka huu, katika kipindi cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Msimamizi wa Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George akizindua Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi Machi mwaka huu, katika kipindi cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Msimamizi wa Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George akizindua Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025
Msimamizi wa Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George akizindua Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025
Msimamizi wa Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George akizindua Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025
Msimamizi wa Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George akizindua Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025
Msimamizi wa Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George  na Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Jamukaya Ramadhan Cup 2025, Jerry Julius(kushoto) wakiwa wameshikilia kikombe kinachoashiria uzinduzi rasmi wa Mashindano hayo.
Msimamizi wa Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George  kiwa wameshikilia kikombe kinachoashiria uzinduzi rasmi wa Mashindano Jamukaya Ramadhan Cup 2025.
Msimamizi wa Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George  akiwa wameshikilia kikombe kinachoashiria uzinduzi rasmi wa Mashindano Jamukaya Ramadhan Cup 2025.

Msimamizi wa Chapa Jambo Group na Meneja Mkuu wa Jambo Media, Nickson George akizungumza wakati akizindua Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025

Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025, Jerry Julius akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Shinyanga (SHIDIFA), Budete Njile akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Shinyanga (SHIDIFA), Budete Njile akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Shinyanga (SHIDEFA), Budete Njile akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mashindano ya Jamukaya Ramadhan Cup 2025
Mchezaji kutoka Timu ya Kitangili FC, Emmanuel Daudi Momoro akizungumza wakati wa uzinduzi huo

About the author

Alex Sonna