Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

“MAFUNZO YA MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA YATUMIKE KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WANANCHI”

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bi. Beatrice Kimoleta akizungumza na washiriki wa mafunzo ya uandaaji wa mkataba wa huduma kwa mteja kutoka ofisi za wakuu wa mikoa, wakati akifungua mafunzo hayo mjini Morogoro yanayotolewa katika na Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-UTUMISHI katika ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA).

washiriki wa mafunzo ya uandaaji wa mkataba wa huduma kwa mteja kutoka ofisi za wakuu wa mikoa, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bi. Beatrice Kimoleta (hayupo pichani) wakati akifungua mafunzo hayo mjini Morogoro yanayotolewa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-UTUMISHI katika ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA).

Mwenyekiti wa mafunzo ya uandaaji wa mkataba wa huduma kwa mteja ambaye ni Katibu Tawala Msaidizi anayeshughulikia Utawala na Raslimaliwatu Mkoa wa Singida Bw. Steven Pancras, akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bi. Beatrice Kimoleta kufungua mafunzo hayo mjini Morogoro yanayotolewa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-UTUMISHI katika ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA).

Washiriki wa mafunzo ya uandaaji wa mkataba wa huduma kwa mteja kutoka ofisi za wakuu wa mikoa, wakimsikiliza Mwenyekiti wa mafunzo hayo ambaye ni Katibu Tawala Msaidizi anayeshughulikia Utawala na Raslimaliwatu Mkoa wa Singida Bw. Steven Pancras kabla hajamkaribisha Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bi. Beatrice Kimoleta kufungua mafunzo hayo yanayotolewa mjini Morogoro katika ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA).

 

Mkufunzi wa Mafunzo ya uandaaji wa mkataba wa huduma kwa mteja kutoka Ofisi ya Rais-UTUMISHI Bw. Noah Mkasanga akiwasilisha mada kwa washiriki wa mafunzo hayo, yanayotolewa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-UTUMISHI katika ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro.

Kaimu Katibu Tawala Msaidizi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bw. Elihuruma Nyella akiahidi kutekeleza maelekezo ya Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bi. Beatrice Kimoleta, mara baada ya mkurugenzi huyo kufungua mafunzo ya uandaaji wa mkataba wa huduma kwa mteja kwa watendaji wa ofisi za wakuu wa mikoa yanayotolewa katika ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi Bw. Ambwene Mwaifuge akiahidi kutekeleza maelekezo ya Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bi. Beatrice Kimoleta, mara baada ya mkurugenzi huyo kufungua mafunzo ya uandaaji wa mkataba wa huduma kwa mteja kwa watendaji wa ofisi za wakuu wa mikoa yanayotolewa katika ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA) mjini Morogoro.

Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bi. Beatrice Kimoleta akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya uandaaji wa mkataba wa huduma kwa mteja kutoka ofisi za wakuu wa mikoa, mara baada ya kufungua mafunzo hayo mjini Morogoro yanayotolewa katika na Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-UTUMISHI katika ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA).

Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bi. Beatrice Kimoleta akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya uandaaji wa mkataba wa huduma kwa mteja kutoka ofisi za wakuu wa mikoa, mara baada ya kufungua mafunzo hayo mjini Morogoro yanayotolewa katika na Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-UTUMISHI katika ukumbi wa mikutano wa Chuo Kikuu cha Kilimo (SUA).

Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMI

Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bi. Beatrice Kimoleta amewataka Makatibu Tawala Wasaidizi Sehemu ya Utawala na Rasilimaliwatu na Wakuu wa Vitengo vya Mwasiliano Serikalini kutoka Ofisi za wakuu wa mikoa nchini, kutumia ujuzi na maarifa watakayoyapata kwenye mafunzo ya uandaaji wa mkataba wa huduma kwa mteja ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi na kuongeza ufanisi kiutendaji.

Bi. Kimoleta ametoa wito huo akiwa mkoani Morogoro, wakati akifungua mafunzo ya uandaaji wa mkataba wa huduma kwa mteja kwa Makatibu Tawala Wasaidizi Sehemu ya Utawala na Rasilimaliwatu na Wakuu wa Vitengo vya Mwasiliano Serikalini wa ofisi za wakuu wa mikoa, ambayo yanatolewa na Ofisi ya Rais-TAMISEMI kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais-UTUMISHI. 

“Tunahitaji kuboresha namna ya kuwahudumia wananchi ili wasisite kufuata huduma na ndio maana tumewaiteni katika mafunzo haya ya kuandaa mkataba wa huduma kwa mteja kwa lengo la kuwajengea uwezo utakaowawezesha kutoa huduma bora kwa wananchi,” Bi. Kimoleta amefafanua.

Bi. Kimoleta amesisitiza kuwa, Serikali inaamini kwamba viongozi hao wakipatiwa mafunzo na kufanikiwa kutengeneza mikataba ya huduma kwa mteja watapata uelewa wa kutoa elimu kwa watumishi wengine ya namna ya kutekeleza mikataba hiyo, na hatimaye wananchi watanuifaika na uwepo wa mikataba hiyo kwa kupatiwa huduma bora.

Bi. Kimoleta ameongeza kuwa, maafisa wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini wa mikoa wanajukumu kubwa la kutoa elimu ya utekelezaji wa mikataba ya huduma kwa wateja, ili kuwawezesha watumishi wa umma kutekeleza majukumu yao na kuwawezesha wananchi kutambua wajibu wao pindi wanafuata huduma katika ofisi za Wakuu wa Mikoa.

Aidha, Bi. Kimoleta amesema kwamba Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa upande wake amewekeza sana Serikalini kwenye eneo la rasilimaliwatu, miundombinu na vitendea kazi, hivyo ni jukumu na watumishi wa umma nchini kumuunga mkono kwa vitendo Mhe. Rais kwa kuwahudumia wananchi kwa weledi, uadilifu na moyo wa uzalendo.

Kwa upande wake, Kaimu Katibu Tawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Bw. Elihuruma Nyella amesema wamepokea maelekezo ya mkurugenzi Beatrice Kimoleta, hivyo watahakikisha wananchi wanapata huduma bora kama zitakavyoanishwa kwenye mikataba ya huduma kwa mteja ya ofisi za wakuu wa mikoa nchini.

Naye, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi Bw. Ambwene Mwaifuge amesema kuwa, maafisa habari wanalo jukumu la kuitangaza mikataba ya huduma kwa wateja kupitia mikutano ya hadhara, mikutano ya dini na semina mbalimbali zitakazofanyika ndani ya mikoa ili mikataba hiyo itumike ipasavyo katika kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.

Mafunzo haya ya uandaaji wa mkataba wa huduma kwa mteja yanafanyika kwa siku nne, ili kuwajengea uwezo Makatibu Tawala Wasaidizi Sehemu ya Utawala na Rasilimaliwatu na Wakuu wa Vitengo vya Mwasiliano Serikalini wa ofisi za wakuu wa mikoa wa kuandaa mikataba ya huduma kwa wateja itakayokuwa ni chachu ya kuboresha utoaji wa huduma bora kwa wananchi.

About the author

Alex Sonna