Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

MHE. CHANDE AISHAURI SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KUJENGA MFUMO WA UNUNUZI WA UMMA

Written by Alex Sonna
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande akizungumza na Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar walipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma. Kamati hiyo ipo katika ziara kujifunza masuala ya ununuzi wa umma kutoka Mamlaka ya Ununuzi wa Umma nchini (PPRA).
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande akiongoza kikao kati yake na Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar ambayo imeitembelea Mamlaka ya Ununuzi wa Umma nchini (PPRA) kwa ajili ya kujifunza masuala ya ununuzi wa umma, jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande akimsikiliza Naibu Waziri wa Ofisi ya Raisi, Fedha na Mipango, Zanzibar, Mhe. Juma Makungu Juma wakati wa kikao kati yake na Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar ambayo imetembelea Mamlaka ya Ununuzi wa Umma nchini (PPRA) kwa ajili ya kujifunza masuala ya ununuzi wa umma, jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (kushoto), Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Mwanaasha Khamis Juma (wa pili kushoto) na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Zanzibar, Mhe. Juma Makungu Juma (wa pili kulia) wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ununuzi wa Umma nchini (PPRA), Bw. Dennis Simba, baada ya kikao kati yake na Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar ambayo Mamlaka ya Ununuzi wa Umma nchini (PPRA) kwa ajili ya kujifunza masuala ya ununuzi wa umma, jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande akiagana na  Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Zanzibar, Mhe. Juma Makungu Juma baada ya kikao kati yake na Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar ambayo imeitembelea Mamlaka ya Ununuzi wa Umma nchini (PPRA) kwa ajili ya kujifunza masuala ya ununuzi wa umma, jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ununuzi wa Umma nchini (PPRA), Bw. Dennis Simba baada ya kikao kati yake na Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar ambayo imeitembelea Mamlaka ya Ununuzi wa Umma nchini (PPRA) kwa ajili ya kujifunza masuala ya ununuzi wa umma, jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande, Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Mwanaasha Khamis Juma na Naibu Waziri wa Ofisi ya Raisi, Fedha na Mipango, Zanzibar, Mhe. Juma Makungu Juma wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar ambayo imekuja Mamlaka ya Ununuzi wa Umma nchini (PPRA) kwa ajili ya kujifunza masuala ya ununuzi wa umma, jijini Dodoma.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF -Dodoma)
Na Farida Ramadhani, WF – Dodoma

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande ametoa wito kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzaber kujenga Mfumo wa Ununuzi wa Umma kwa kutumia  wataalam wa ndani ili kusimamia kikamilifu fedha za Serikali zinazotumika katika ununuzi.

Alitoa wito huo jijini Dodoma alipokutana na kufanya mazungumzo na Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar iliyotembelea Mamlaka ya Ununuzi wa Umma nchini (PPRA) kwa ajili ya kujifunza masuala ya ununuzi wa umma kwa ujumla.

Alisema Mfumo huo pia utasaidia kurahisisha mchakato wa ununuzi pamoja na kuongeza uwazi wa zabuni kwa kujua thamani halisi ya fedha.

Aidha Mhe. Chande aliipongeza Kamati hiyo kwa kufanya uamuzi wa kuja kujifunza PPRA katika kipindi hiki ili kwenda kuboresha Muswada wa Sheria ya Ununuzi ambao utajadiliwa katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

“Haya ni maamuzi sahihi kwa sababu Taasisi za Umma ndio ambazo zinatumia bajeti kubwa katika ununzi wa umma kwa kuwa zaidi ya asilimia 70 ya Bajeti zetu zinakwenda kwenye ununuzi, kwa hiyo tunapoenda kupitisha Mswada wetu tuhakikishe Sheria imewekwa vizuri ili kuepuka changamoto”, aliongeza Mhe. Chande.

Aliwakaribisha kutembelea PPRA mara kwa mara kwa ajili ya kuendelea kujifunza zaidi na ikiwezekana waende jijini Arusha ambako kumesimikwa Mfumo wa Ununuzi ili waone uhalisia uliopo.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Mwanaasha Khamis Juma alisema kwa sasa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inafanya maboresho ya Sheria ya Ununuzi, hivyo kamati imeamua kuja kujifunza ili waweze kuishauri Serikali kikamilifu.

“Kama nilivyosema hapo awali, hii ni Kamati ya Bayeti na kazi yeke ni kupitisha Bajeti ya Serikali ambayo ndani yake kuna miradi na kwenye miradi kuna ununuzi, kwa hiyo tumeamua tuje tuone wenzetu wanafanyaje, Sheria zao zikoje, ili tuone namna bora ya kuishauri Serikali”, aliongeza Mhe. Mwanaasha.

Naye Naibu Waziri wa Ofisi ya Raisi, Fedha na Mipango, Zanzibar, Mhe. Juma Makungu Juma, alisema wamekuja kujifunza kwa sababu fedha nyingi za Taifa zinatumika katika ununuzi hivyo ni muhimu Serikali ihakikishe fedha hizo zinatumika vizuri.

Alisema kuwa wamekuja kuchukua uzoefu wa taratibu mbalimbali za ununuzi pamja na mafanikio kwa sababu taratibu hizo za zinatofautiana kati ya Tanzania Bara na Zanzibar pamoja na kujadili mafanikio na changamoto zilizopo katika masuala ya ununuzi.

About the author

Alex Sonna