Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

meritking

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

starzbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

grandpashabet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Featured Kitaifa

MSIGWA:MPAKA SASA ABIRIA ZAIDI YA MILIONI 1.5 WAMESAFIRI NA SGR

Written by Alex Sonna
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ,Bw.Gerson Msigwa, akizungumza na waandishi wa habari Katika stesheni ya Samia Suluhu Dodoma wakati akielekea Mkoani Morogoro ambapo anatarajia kuzungumza na Vyombo vya Habari kesho January 25,2025.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw.Gerson Msigwa,akielekea kupanda Treni  Katika stesheni ya Samia Suluhu Dodoma wakati akielekea Morogoro ambapo anatarajia kuzungumza na Vyombo vya Habari kesho January 25,2025
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw.Gerson Msigwa,akiwa ndani ya  Treni , akizungumza na wananchi mbalimbali wakati akielekea Mkoani  Morogoro ambapo anatarajia kuzungumza na Vyombo vya Habari kesho January 25,2025
 
Waandishi wa habari kutoka Vyombo mbalimbali wakiwa ndani ya Treni wakielekea Mkoani Morogoro tayari Kwa kazi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ,Bw.Gerson Msigwa,ambaye anatarajia  kuzungumza na Vyombo vya Habari kesho January 25,2025
Na Alex Sonna-DODOMA
SERIKALI  imesema mpaka sasa abiria milioni  1.5  wamesafiri  kwa kutumia treni ya abiria katika kiwango cha kimataifa (SGR) na hivi karibuni itaanza kusafirisha mizigo ambapo tayari  imeingiza mabehewa 264 na mengine 264 yapo bandarini na itakuwa na uwezo wa kusafirisha tani 10,000 kwa wakati mmoja.
Kutokana na hali hiyo imewahakikishia watanzania treni zipo za kutosha na mradi unaenda  vizuri na wataendelea kufurahia huduma za usafiri.
Hayo yameelezwa leo Januari 24,2025 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw.Gerson Msigwa,wakati akizungumza na waandishi wa habari Katika stesheni ya Samia Suluhu Dodoma  kuelekea Morogoro ambapo anatarajia kuzungumza na Vyombo vya Habari kesho January 25,2025
Bw.Msigwa amesema wanashukuru mradi wa SGR unaendelea kufanya kazi na treni zinazoendelea kufanya kazi kati ya Dodoma na Dar es salaam ambapo  matokeo yamekuwa makubwa na zinatoa  msaada mkubwa kwa watanzania.
Amesema takwimu mpaka sasa zinaonesha wamesafisha abiria milioni 1.5 ambapo wanasafirisha kwa wastani wa abiria 300,000 kwa mwezi mmoja.
“Treni zinaenda vizuri na zipo za kutosha kwa  mahitaji yote.Inawezekana kuna matukio ya kukosa tiketi lakini haina maana kwamba tuna upungufu tunaweza tukaona treni imejaa asubuhi pengine ya mchana ikawa imepungua kidogo ila jioni inakuwa imejaa,”amesema Msigwa
Amesema wameingiza vichwa vya treni 17, mabehewa ya abiria zaidi ya 78 mpaka 80 na mengine yanaendelea kuja.
Msigwa amesema kumekuwa na changamoto za hapa na pale lakini hazihusiani na ubora wa mradi ambapo  zinatokana na vitu vidogo vidogo.
Amesema changamoto ya umeme ilitokana  na umeme wa  gridi ya Taifa ila hawajapata changamoto yoyote kubwa ambazo zinaweza kuwarudisha  nyuma.
Pia amesema kwa upande wa kipande cha kwanza kutoka Dare salaam mpaka Morogoro na Dodoma kinaenda vizuri na watanzania wanaendelea kufurahia huduma.
Aidha,Msigwa amesema wanaendelea kukamilisha utaratibu wa kusafirisha mizigo kwani wameingiza mabehewa 264 ya kubeba mizigo na mengine 264 yapo bandarini na muda wowote yatashushwa kuanzia sasa.
“Kazi ya kujenga vipande vingine inaendelea na tunategemea itakapofika Tabora,Mwanza na Kigoma tutakuwa na mizigo mingi inayosafirishwa kwa njia ya reli hii.
“Naomba niwahakikishie watanzania kwamba mradi wao unakwenda vizuri matokeo ni makubwa na watanzania wanafurahia huduma na niwahakikishie Mheshimiwa Rais amedhamiria,”amesema Msigwa.
Msigwa amesema mradi huo utakaogharimu zaidi ya Sh trioni 23  lazima utakamilika kwa wakati.
Amesema mabehewa yanayokuja yatakuwa na uwezo wa kubeba mizigo tani 10,000 kwa wakati mmoja.

About the author

Alex Sonna