Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA DJIBOUTI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Djibouti Mhe. Ismail Omar Guelleh ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Mahmoud Ali Youssouf mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Januari, 2025.   

About the author

mzalendoeditor