Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

mavibet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

KUNDO AAGIZA MKANDARASI WA MRADI WA MAJI VWAWA-MLOWO KUSIMAMIWA

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, amegoma kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Vwawa-Mlowo uliopo Mkoani Songwe, unaotekelezwa na Mkandarasi Mzawa wa kampuni ya Current Construction Ltd ya Jijini Dar es salaam mpaka changamoto zilizopo zitakapo tatuliwa.

Mhandisi Kundo amesema kuwa, changamoto hizo ni pamoja na kazii kufanyika chini ya kiwango kilichokubaliwa.

Kufuatia hali hiyo, Mhandisi Kundo ameiagiza bodi ya Vwmwassa na RUWASA kuhakikisha kwamba wanamsimamia mkandarasi huyo, ili aweze kufanya marekebisho kwa kasoro zote zilizobainika.

Mhandisi Kundo amechukua uamuzi huo leo Januari 14, 2025 katika siku ya pili ya ziara yake ya siku mbili Mkoani Songwe, baada ya kusomewa taarifa ya maendeleo ya utekeleza kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vwawa-Mlowo (Vwamwassa), Mhandisi Clavery Casmir.

“Niko tayari kupewa majina mabaya, lakini kwa mradi huu siwezi kuweka jiwe la msingi mameneja wa Wilaya, hata mngekuwa mnatekeleza wenyewe, msingefanya kazi chafu kama hii,

“Hatuwezi kuona Rais analeta fedha zaidi ya shilingi bilioni 2 ili kutatua changamoto za wananchi, halafu mradi unakosa ubora na kuwa changamoto,hizo ni lazima ziondolewe kwanza, ndipo nitakuja kuuzindua rasmi,” ameongeza Mhandisi Kundo.

Mradi huo unahusisha kazi mbalimbali kama uchimbaji wa kisima cha maji eneo la Hasanga, ujenzi wa matenki mawili ya maji yenye ujazo wa lita 250,000 na 75,000, ulazaji wa mabomba yenye urefu wa mita 51,600, na ununuzi wa vifaa mbalimbali kama transifoma, jenereta, na pikipiki tano kwa ajili ya usimamizi.

“Serikali inaamua kuwapa wakandarasi wa ndani fursa ya kujenga uchumi wao, lakini wanapaswa kuhakikisha kazi zao zinakidhi viwango vilivyowekwa” amesema Mhandisi Kundo

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Bodi ya Vwamwassa, Simon Mboya, alikubaliana na hatua iliyochukuliwa na Naibu Waziri huyo na kuahidi kuwa suala hilo litawasilishwa kwenye vikao vya bodi kwa. maamuzi zaidi.

Mradi huo, ulianza Machi 2023, ulikuwa ukamilike Februari 2025, lakini changamoto hizo zimeweka shaka juu ya kukamilika kwa wakati Mradi huo, ambapo kukamilika kwa mradi huo kunatarajia kunufaisha zaidi ya wananchi 23,000 wa kata sita katika Wilaya ya Mbozi

About the author

Alex Sonna