Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

WAZIRI SIMBACHAWENE : GARI LA WAGONJWA LISITUMIKE KUBEBA MAGENDO

Written by Alex Sonna

Na. Mwandishi Wetu – Dodoma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene ameonya matumizi ya gari ya wagonjwa (ambulance) iliyotolewa na Serikali katika Kituo cha Afya cha Mtera lisitumike kubeba magendo badala yake itumike kwa ajili ya malengo yaliyokusudiwa

Waziri Simbachawene ametoa kauli hiyo leo Jumanne Januari 7, 2024
wakati wa hafla ya kukabidhi gari hiyo mara baada ya kufanya mkutano wa hadhara katika Kata ya Mtera , Kibakwe iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma ambapo amesema gari hiyo ni mali ya Serikali

” Msisitizo wangu gari hii ni ya wagonjwa ni mali ya Serikali muitumie kurahisisha utoaji huduma bora kwa wananchi na sio vinginevyo , Nataka kuona gari hii inatumiwa na watanzania wote ’ amesisitiza Mhe.Simbachawene

Amefafanua kuwa azma ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutoa gari hiyo ni kuhakikisha inasaidia kuwafikisha wagonjwa katika hospitali ya Rufaa kwa muda muafaka pale ambapo mgonjwa amepewa rufaa ya matibabu hususan akina Mama wajawazito.

‘‘ Tunataka tukiliona gari hili likiwa linatembea barabarani liwe limebeba mgonjwa au linaenda kumfuata mgonjwa’’ amesisitiza Mhe. Simbachawene

Amesema ujio wa gari hiyo katika kituo hicho ni mageuzi makubwa yanayofanywa na Serikali ambapo zaidi ya wananchi 14,000 katika Kata ya Mtera wanatarajiwa kunufaika kupitia gari hiyo.

Katika hatua nyingine, Mhe. Simbachawene amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kuhakikisha dereva atakayekuwa akiendesha gari hilo atoke karibu na Kituo hicho cha Afya ili gari hilo liweze kutoa huduma kwa wagonjwa mara tu pale dharula inapojitokeza

Aidha, Mhe.Simbachawene ametoa wito kwa akina mama wajawazito kuwahi katika vituo vya afya mara waonapo dalili za kuanza kwa uchungu ili kuepuka vifo visivyo vya lazima huku akiwasihi manesi kuwahudumia wagonjwa kwa upendo kama viapo vyao vinavyowataka

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, Mhe. George Fuime amesema atahakikisha wanafuatilia kwa ukaribu matumizi ya gari hilo ili liweze kuwa msaada kwa wananchi wote wa Kata ya Mtera na wilaya nzima ya Mpwapwa.

Kukabidhiwa kwa gari hilo kunaifanya Halmashauri ya Mpwapwa kuwa na jumla ya magari saba ya kubeba wagonjwa yanayohudumia vituo vya afya katika Halmashauri hiyo, ikiwa ni hatua kubwa ya uboreshaji wa afya ya msingi.

Wananchi wa Mtera wamemshukuru Mbunge wao Mhe.Simbachawene kwa kusaidia upatikanaji wa gari hilo la wagonjwa huku wakimuahidi kuendelea kufanya nae kazi kwa ushirikiano.

About the author

Alex Sonna