Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATOA MAGARI 10 KAMPENI YA MSLAC

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Damas Ndumbaro,akiwa ndani ya gari mara baada ya kuzindua  magari 10 kwa ajili ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria  ya Mama Samia (MSLAC) ili kuongeza kasi ya utoaji huduma hiyo kwa watanzania hafla iliyofanyika leo Disemba 20,2024 jjijini Dodoma.

Na Mwandishi Wetu, DODOMA

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa magari 10 kwa Wizara ya Katiba na Sheria kwa ajili ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria  ya Mama Samia (MSLAC) ili kuongeza kasi ya utoaji huduma hiyo kwa watanzania.

Akizungumza leo Disemba 20,2024 jjijini Dodoma kwenye hafla ya kukabidhi magari hayo, Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Damas Ndumbaro alimshukuru Rais Samia kwa namna anavyowawezesha kutekeleza program mbalimbali ikiwamo kampeni hiyo ambayo hadi sasa imefikia mikoa 11 ya Morogoro,Manyara,Singida,Mara,Simiyu.Ruvuma ,Shinyanga ,Iringa, Songwe,Dodoma na Njombe .

“Kwenye mikoa hii 11 tuliyofika tumebaini njaa na kiu ya haki kwa watanzania ni kubwa sana na sasa kupitia vitendea kazi hivi kampeni itafikia mikoa sita kwa wakati mmoja ili kukidhi kiu ya haki kwa watanzania,”alisema.

Aliongeza kuwa “Magari hayo dhumuni lake ni kusaidia watendaji wa Wizara pamoja na wadau wengine wanaoshirikiana nao kwenye kampeni hiyo ili kuwafikia watanzania katika kona zote za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kukidhi kiu yao ya kupata haki, elimu ya sheria na Katiba.”

Alitoa rai kwa madereva kutunza vizuri magari hayo ili kuwafikia watanzania wengi zaidi.

“Tuna kila sababu Katibu Mkuu na watendaji wako katika kampeni hii kufanya mikoa sita kwa wakati mmoja, tulikuwa awali hatuwezi kwasababu ya vitendea kazi, ili kukamilisha kuizunguka mikoa yote ifikapo Machi 2025,”alisema.

Alisema kwenye maeneo ambayo yamefikiwa na kampeni hiyo wameona kuna uhitaji wa kurudi tena hasa migogoro ya wakulima na wafugaji na vizuizini yaani kwenye magereza.

Awali, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Eliakim Maswi alisema magari hayo yamenunuliwa kwa fedha za serikali kwa ajili ya kazi maalumu.

Maswi alisema magari hayo yatasaidia pia watumishi wa Wizara hiyo kutekeleza majukumu yao ya kawaida  na kutoa masaada wa kisheria.

“Mabasi haya mawili yatatumika kubeba watumishi kwenye shughuli za kampeni tunapokwenda mikoani kutoa uelewa na uwezesho wa masuala ya kisheria,”alisema.

Alisema magari hayo yanatumia mafuta kidogo hiyo yatapunguza gharama za uendeshaji.

Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Damas Ndumbaro,akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari kwa ajili ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria  ya Mama Samia (MSLAC) ili kuongeza kasi ya utoaji huduma hiyo kwa watanzania hafla iliyofanyika leo Disemba 20,2024 jjijini Dodoma.

Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Damas Ndumbaro,akizindua  magari 10 kwa ajili ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria  ya Mama Samia (MSLAC) ili kuongeza kasi ya utoaji huduma hiyo kwa watanzania hafla iliyofanyika leo Disemba 20,2024 jjijini Dodoma.

Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Damas Ndumbaro,akiwa ndani ya gari mara baada ya kuzindua  magari 10 kwa ajili ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria  ya Mama Samia (MSLAC) ili kuongeza kasi ya utoaji huduma hiyo kwa watanzania hafla iliyofanyika leo Disemba 20,2024 jjijini Dodoma.

 

MUONEKANO wa   magari 10 yaliyokabidhiwa kwa Wizara ya Katiba na Sheria kwa ajili ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria  ya Mama Samia (MSLAC) ili kuongeza kasi ya utoaji huduma hiyo kwa watanzania hafla iliyofanyika leo Disemba 20,2024 jjijini Dodoma.

Waziri wa Katiba na Sheria Dk. Damas Ndumbaro,akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kupokea magari 10 kwa ajili ya Kampeni ya Msaada wa Kisheria  ya Mama Samia (MSLAC) ili kuongeza kasi ya utoaji huduma hiyo kwa watanzania hafla iliyofanyika leo Disemba 20,2024 jjijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara Wizara ya Katiba na Sheria Bw.Eliakim Maswi,akielezea jinsi magari hayo yatakayosaidia kutoa huduma kwa wananchi kwa haraka.

About the author

Alex Sonna