Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

mas

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Kitaifa

DKT. NCHEMBA ATETA NA SAUDI FUND SAUDI ARABIA

Written by Alex Sonna
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia (Saudi Fund for Development-SFD), Bw. Sultan Al-Marshad, baada ya kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kati ya Mfuko huo na Tanzania, akiwa na Mawaziri wenzake wa kisekta, Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum (hawapo pichani), Mazungumzo hayo yalifanyika Makao Makuu ya Mfuko huo Mjini Riyadh nchini Saudi Arabia, Kando ya Jukwaa la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika nchini humo.
 
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia (Saudi Fund for Development-SFD), Bw. Sultan Al-Marshad, baada ya kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kati ya Mfuko huo na Tanzania, akiwa na Mawaziri wenzake wa kisekta, Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum (hawapo pichani), Mazungumzo hayo yalifanyika Makao Makuu ya Mfuko huo Mjini Riyadh nchini Saudi Arabia, Kando ya Jukwaa la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika nchini humo.
 
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), (wa pili kulia), Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo (wa kwanza kulia) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia (Saudi Fund for Development-SFD), Bw. Sultan Al-Marshad, baada ya kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kati ya Mfuko huo na Tanzania, mazungumzo hayo yalifanyika Makao Makuu ya Mfuko huo Mjini Riyadh nchini Saudi Arabia, Kando ya Jukwaa la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika nchini humo.(Pich ana Kitengo cha Mawasiliano Serikalini- Riyadh-Saudi Arabia),
……………..
Na Benny Mwaipaja. Saudi Arabia
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), ameushukuru Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia (Sadi Fund for Development-SFD), kwa mchango wake katuika maendeleo ya Tanzania kupitia ufadhili wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta za maji, afya, nishati na ujenzi wa miundombinu ya barabasra.
Dkt. Nchemba ametoa shukrani hizo alipo kutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Saudi Fund, Bw. Sultan Al-Mashard, Kando ya Mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika Mjini Riyadh nchini Saudi Arabia.
Dkt. Nchemba aliyeambatana na Mawaziri wenzake wawili katika kikao hicho, akiwemo Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, alisema kuwa ushirikiano wa Saudi Arabia na Tanzania uliodumu kwa zaidi ya miaka 40 sasa, umekuwa wa mfano.
Aliitaja baadhi ya miradi iliyoleta mageuzi makubwa katika jamii ya Tanzania kuwa ni pamoja na ukarabati wa Mradi wa Maji mkoani Mara (Usd 15m), Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe (Usd 25m), na ujenzi wa Barabara za Vijijini Awamu ya Pili-Zanzibar (Usd11.4m).
Aliitaja miradi mingine kuwa ni Ukarabati na Upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja-Zanzibar (Usd 15m) na kushirikiana na wadau wengine kufadhili Mradi wa Ujenzi wa Njia ya Umeme wa msongo wa 220kV kuanzia Benako hadi Kyaka (Usd 105.4m). 
Katika Mazungumzo hayo, Dkt. Nchemba aligusia utekelezaji wa miradi mingine mikubwa ya kimkakati inayoendelea nchini Tanzania ukiwemo mradi wa Reli ya Kisasa SGR, ambao alisema utakapokamilika utakuwa kichocheo kikubwa cha biashara na Uchumi katika nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu.
Kwa upande wao. Waziri wa Viwanda na Biashasra, Mhe. Dkt. Selemani jafo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzaibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, walisema kuwa ushiriki wa Mfuko wa wa Maendeleo wa Saudi Arabia katika ujenzi wa miradi ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania utachochea maendeleo ya nchi.
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Saudi Fund, Bw. Bw. Siultan Al-Marshad, alisema kuwa Mfuko huo uko tayari kuendelea kuisaidia Tanzania kutokana na uhusiano imara uliopo kwa faida ya wananchi wa nchi hizo mbili.
Alipongeza hatua kubwa zinazochukuliwa na Serikali katika kutekeleza miradi muhimu kwa maendeleo ya nchi akiitaja Reli ya Kisasa inayojengwa kwamba itachochea na kukuza biashara na usafirishaji wa abiria na mizigo katika eneo la mradi.
Katika kikao hicho Tanzania na Saudi Fund walikubaliana kuunda Timu ya wataalam  watakaopitia, kuchambua na kuchakata miradi mbalimbali ambayo Mfuko huo utatoa fedha ili kuimarisha zaidi ushirikiano kati ya Tanzania na Saudi Arabia. 

About the author

Alex Sonna