slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

hardcore porn

escort sapanca

pusulabet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

imajbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

rinabet, rinabet giriş

aresbet, aresbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

taksimbet

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

casibom

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

casibom giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli giriş

kumar siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

tarafbet

güvenilir kumar siteleri

bets10 güncel giriş adresi

superbetin

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

betgar, betgar giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

marsbahis

pusulabet

pusulabet

grandpashabet

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

vdcasino

Hacklink panel

jojobet yeni adres

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

pusulabet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

Featured Kitaifa

RAS SHINYANGA CP. SALUM HAMDUNI AAGIZA HALMASHAURI ZOTE KUTOA FEDHA ZA LISHE KWA WAKATI

Written by Alex Sonna
Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, CP Salum Hamdun akizungumza  leo Alhamisi Desemba 19,2024 wakati akifungua rasmi Warsha ya Siku mbili ya kutathmini uboreshaji wa huduma za lishe kwa afya ya mama na mtoto, iliyoandaliwa na Shirika la World Vision Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kivulini. 

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, CP. Salum Hamduni, ameziagiza Halmashauri zote za Wilaya katika Mkoa wa Shinyanga kupitia Waganga Wakuu kuhakikisha fedha za utekelezaji wa shughuli za lishe zinatolewa kwa wakati, na kuendelea kusimamia utekelezaji wa mkataba wa lishe, ikiwa ni pamoja na utoaji wa chakula shuleni. 

Agizo hilo amelitoa leo, Alhamisi, Desemba 19, 2024, wakati akifungua rasmi Warsha ya Siku mbili ya kutathmini uboreshaji wa huduma za lishe kwa afya ya mama na mtoto, iliyoandaliwa na Shirika la World Vision Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kivulini. Warsha hiyo imekusanya wadau na asasi za kiraia zinazojihusisha na masuala ya lishe na afya ya mama na mtoto Mkoani Shinyanga.

Fedha za utekelezaji wa lishe bado hazijatolewa kwa wakati

CP. Hamduni amesema kwamba taarifa za utekelezaji wa mkataba wa lishe zinaonyesha kuwa fedha za kutekeleza afua za lishe zimepokelewa kwa asilimia 43 pekee. 

Ameeleza kuwa kati ya kiasi kilichopangwa cha shilingi 384,404,110/= kwa kipindi cha Juni 2024 hadi Desemba 17, 2024, kiasi cha shilingi 165,881,531/= kimetolewa, sawa na asilimia 43 tu. 

Hali hii, amesema, inaonyesha kutokuwepo kwa ufanisi katika utekelezaji wa shughuli hizo.

 “Nawaelekeza Halmashauri zote kupitia Waganga Wakuu kuhakikisha fedha za utekelezaji wa shughuli za lishe zinatolewa kwa wakati,” amesisitiza CP. Hamduni.

Afua za lishe mkoani Shinyanga

Amesema kwamba, ingawa bado kuna changamoto, takwimu za lishe mkoani Shinyanga zinaonyesha mafanikio.

 Udumavu kwa watoto chini ya miaka mitano umepungua kutoka asilimia 32.1 hadi asilimia 27.5, na ukondefu umeanguka kutoka asilimia 4.3 hadi 1.3. 

“Hii inaonesha kuwa juhudi zetu za kupambana na utapiamlo zinaanza kuzaa matunda. Hata hivyo, kiwango cha udumavu bado ni kikubwa, hivyo tunapaswa kuendelea kusimamia utekelezaji wa afua za lishe,” amesema.

CP. Hamduni amelishukuru Shirika la World Vision kwa kushirikiana na Kivulini katika kusaidia Mkoa wa Shinyanga kutekeleza afua za lishe na afya ya mama na mtoto kupitia Mradi wa Grow Enrich na Nourish. 

Ameishukuru pia Wizara ya Afya na Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa kuendelea kuratibu na kusimamia utekelezaji wa afua mbalimbali za afya, ikiwa ni pamoja na lishe na afya ya uzazi.

Shukrani Dickson

Mradi wa Grow Enrich na ushirikiano na wadau

Kwa upande wake, Meneja wa Mradi wa Grow Enrich kutoka Shirika la World Vision Tanzania, Shukrani Dickson, ameeleza kuwa shirika lake linashirikiana na serikali kutekeleza mradi wa miaka mitano, kuanzia mwaka 2023 hadi 2027, unaolenga kuimarisha hali ya afya na lishe kwa wavulana, wasichana, wanaume, na kukuza usawa wa kijinsia katika halmashauri za Wilaya ya Shinyanga na Kishapu. 

Mradi huo unafadhiliwa na Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika la World Vision Germany.

Yusuph Hamisi

Afisa Lishe wa Mkoa wa Shinyanga, Yusuph Hamisi, amesema Mkoa umeendelea kushirikiana na wadau kupambana na utapiamlo, hasa kwa watoto chini ya miaka mitano, na kupunguza udumavu kwa kutoa elimu ya lishe kwa mama wajawazito na wanaonyonyesha kupitia vituo vya afya.

Changamoto za mila na ushiriki wa wanaume

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la KIVULINI, Yasin Ally, amesema kwamba kikao hicho cha warsha kina na lengo la kutathmini utekelezaji wa afua za lishe, afya ya mama na mtoto, na kujadili mipango ya kuboresha huduma hizo mkoani Shinyanga.

Yasin Ally 

Amesema pia wanajadili utekelezaji wa ahadi za ukuaji wa afua za lishe zilizowekwa na serikali ya Tanzania kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Tokyo mwaka 2021.

Yasin ameeleza kuwa licha ya jitihada zinazofanywa, bado kuna changamoto ya ushiriki mdogo wa wanaume katika masuala ya lishe na afya ya mama na mtoto. 

Amesema kwamba ingawa wanaume wanashiriki katika kilimo, wakati wa mavuno, wengi wanauza mazao, kununua pombe, na kuoa wake wengine, hali inayochangia ugumu katika utekelezaji wa afua za lishe. 

Amesisitiza kuwa lazima kuwepo uhusiano kati ya ukatili wa kijinsia na lishe, na kuongeza umuhimu wa kuwaelimisha wanaume kuhusu mchango wao katika masuala haya.

Aidha, Yasin ameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa kipaumbele cha kipekee masuala ya lishe na afya ya mama na mtoto, na kwa juhudi kubwa zinazochukuliwa kuboresha sekta hizi muhimu.

Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, CP. Salum Hamdun akizungumza  leo Alhamisi Desemba 19,2024 wakati akifungua rasmi Warsha ya Siku mbili ya kutathmini uboreshaji wa huduma za lishe kwa afya ya mama na mtoto, iliyoandaliwa na Shirika la World Vision Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kivulini. Picha na Kadama Malunde- Malunde 1 blog
Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga, CP. Salum Hamdun akizungumza  leo Alhamisi Desemba 19,2024 wakati akifungua rasmi Warsha ya Siku mbili ya kutathmini uboreshaji wa huduma za lishe kwa afya ya mama na mtoto, iliyoandaliwa na Shirika la World Vision Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kivulini. 
 Meneja wa Mradi wa Grow Enrich kutoka Shirika la World Vision Tanzania, Shukrani Dickson, akizungumza wakati wa Warsha ya Siku mbili ya kutathmini uboreshaji wa huduma za lishe kwa afya ya mama na mtoto, iliyoandaliwa na Shirika la World Vision Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kivulini. 
Meneja wa Mradi wa Grow Enrich kutoka Shirika la World Vision Tanzania, Shukrani Dickson, akizungumza wakati wa Warsha ya Siku mbili ya kutathmini uboreshaji wa huduma za lishe kwa afya ya mama na mtoto, iliyoandaliwa na Shirika la World Vision Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kivulini. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la KIVULINI, Yasin Ally akizungumza wakati wa Warsha ya Siku mbili ya kutathmini uboreshaji wa huduma za lishe kwa afya ya mama na mtoto, iliyoandaliwa na Shirika la World Vision Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kivulini. 
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la KIVULINI, Yasin Ally akizungumza wakati wa Warsha ya Siku mbili ya kutathmini uboreshaji wa huduma za lishe kwa afya ya mama na mtoto, iliyoandaliwa na Shirika la World Vision Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kivulini. 

Mwakilishi kutoka TAMISEMI, Riziki Mbilinyi akizungumza wakati wa Warsha ya Siku mbili ya kutathmini uboreshaji wa huduma za lishe kwa afya ya mama na mtoto

Afisa Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Shinyanga Bestina Gunje akizungumza wakati wa Warsha ya Siku mbili ya kutathmini uboreshaji wa huduma za lishe kwa afya ya mama na mtoto
Afisa Lishe kutoka Wizara ya Afya, Bagelela Kagiye Magana akizungumza wakati wa Warsha ya Siku mbili ya kutathmini uboreshaji wa huduma za lishe kwa afya ya mama na mtoto

About the author

Alex Sonna