marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

cashwin

palacebet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

betlike

parmabet

mislibet

mislibet

artemisbet

nitrobahis

jojobet

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet güncel giriş

holiganbet giriş

Nitric Boost

bahiscasino giriş

betebet

Featured Kitaifa

BASHUNGWA AKABIDHIWA OFISI NA MASAUNI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI.

Written by Alex Sonna

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Innocent Bashungwa akipeana mikono na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano  na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni wakati wa makabidhiano ya ofisi baada ya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ambapo alimteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa wizara hiyo.Tukio hilo limefanyika leo jijini Dodoma.Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu,Dkt.Maduhu Kazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Innocent Bashungwa akionyeshwa moja ya nyaraka na   Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano  na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni wakati wa makabidhiano ya ofisi baada ya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ambapo alimteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa wizara hiyo.Tukio hilo limefanyika leo jijini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Innocent Bashungwa  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano  na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni wakipitia nyaraka wakati wa makabidhiano ya ofisi baada ya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ambapo alimteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa wizara hiyo.Tukio hilo limefanyika leo jijini Dodoma.Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu,Dkt.Maduhu Kazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Innocent Bashungwa  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano  na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni(watatu kulia) wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa  makabidhiano ya ofisi baada ya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ambapo alimteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa wizara hiyo.Tukio hilo limefanyika leo jijini Dodoma.Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo na kulia ni Naibu Katibu Mkuu,Dkt.Maduhu Kazi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Na Mwandishi Wetu,Dodoma

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa  amekabidhiwa ofisi na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ambaye Sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo tarehe 13 Disemba, 2024 jijini Dodoma.

Makabidhiano hayo yamefanyika ikiwa ni siku nne baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwaapisha Mawaziri hao tarehe 9, Disemba 2024, Tunguu Zanzibar.

Akizungumza baada ya makabidhiano hayo, Waziri Bashungwa amemshukuru mtangulizi wake kwa makabidhiano ambayo yatakuwa mwongozo wa kusimamia na kutekeleza majukumu yaliyo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani Nchi.

Sambamba na hilo,  Waziri Bashungwa ameshukuru Rais. Dkt Samia ambapo amesema kuwa  “Niendelee kumshukuru Rais wetu na nimuahakikishie kama ambavyo alituelekeza wakati anatuapisha kwamba niendeleze pale ulipoishia Waziri Masauni”.

Aidha, Bashungwa amesisitiza suala la Watumishi wa Wizara na vyombo vyake vya usalama kufanya kazi kwa kushirikiana ili kwa pamoja kusimamia na kutekekeleza majukumu yao kikamilifu.

Kwa upande wake, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamadi Masauni  amemueleza kuwa Waziri Bashungwa anaipokea Wizara ikiwa katika hali nzuri na hali hiyo inatokana na namna Mheshimiwa Rais Samia alivyoiwezesha kibajeti Wizara hiyo.

“Mheshimiwa Rais amefanya kazi kubwa sana miongoni mwa kazi aliyoifanya ni kuiwezesha Wizara kuwa na uwezo wa kutekeleza zaidi majukumu yake.” Alisema Waziri Masauni

Waziri Masauni ameeleza kuwa Wizara inaendelea  na utekelezaji wa maelezeko ya Tume ya Haki Jinai ikiwa ni pamoja na  kuhakikisha Wananchi wanahudumiwa kwa haki, bila uonevu wala dhuluma.

Makabidhiano hayo yameshuhudiwa na Naibu  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi.

About the author

Alex Sonna