Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet, aresbet giriş

betcio, betcio giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

kingroyal

matbet

ilbet

ilbet giriş

pulibet

cratosroyalbet

tarafbet

süratbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

casibom

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

betasus

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

jojobet

radissonbet

cratosroyalbet

ibizabet

esbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

limanbet

marsbahis

betnano

parmabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

aresbet giriş

aresbet

mislibet

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

marsbahis güncel giriş

limanbet

bahiscasino giriş

royalbet

mislibet

aresbet

royalbet

parmabet

gameofbet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

holiganbet

holiganbet

bahiscasino giriş

mislibet giriş

royalbet giriş

royalbet giriş

marsbahis giriş

perabet

betpark

parmabet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

pokerklas

pokerklas

casibom giriş

meritbet

casibom

uyuşturucu satın al

matbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

queenbet

jojobet

perabet giriş

perabet

betnano giriş

betpark giriş

gobahis giriş

betnano

betnano giriş

bahiscasino

gobahis

limanbet giriş

betnano giriş

parmabet giriş

betnano

betkolik giriş

perabet giriş

gobahis giriş

royalbet giriş

aresbet giriş

vaycasino giriş

betkolik

bahiscasino

gobahis giriş

bahiscasino giriş

bahiscasino

aresbet giriş

marsbahis giriş

parmabet giriş

betpark

perabet giriş

mislibet giriş

perabet

limanbet giriş

limanbet giriş

grandbetting

parmabet

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

deneme bonusu

süratbet giriş

grandpashabet

redwin

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Starzbet

Starzbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

cashwin

turkey dental implants

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

süratbet

jojobet giriş

betvoy

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

aresbet

mislibet giriş

gobahis

limanbet

mislibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

DKT.BITEKO AZINDUA MRADI WA USAFIRISHAJI UMEME (kV 400) CHALINZE-DODOMA NA UPANUZI WA VITUO VYA UMEME CHALINZE NA ZUZU

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko  (Wa tano kutoka kushoto),  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Innocent Bashungwa (wa kwanza kulia) Naibu Waziri wa Nishati Mhe Judith Kapinga ( Wan ne kutoka kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule
(Wa nne kutoka kulia), Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge (wa tatu kutoka kulia), Katbu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (wa tatu kutoka kushoto) na Mkuu Mkoa wa Morogoro Adam Malima ( wa pili kutoka kulia) wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi la Ujenzi wa Njia ya kusafirisha Umeme kutoka Chalinze hadi Dodoma na upanuzi wa vituo vya umeme vya Zuzu-Dodoma na Chalinze Pwani tarehe 11 Desemba 2024, Jijini Dodoma.

 

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko  (Wa tano kutoka kushoto),  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Innocent Bashungwa (wa kwanza kulia) Naibu Waziri wa Nishati Mhe Judith Kapinga ( Wan ne kutoka kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule
(Wa nne kutoka kulia), Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge (wa tatu kutoka kulia), Katbu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (wa tatu kutoka kushoto) na Mkuu Mkoa wa Morogoro Adam Malima ( wa pili kutoka kulia) wakipiga makofi mara baada ya kuweka  jiwe la msingi la Ujenzi wa Njia ya kusafirisha Umeme kutoka Chalinze hadi Dodoma na upanuzi wa vituo vya umeme vya Zuzu-Dodoma na Chalinze Pwani tarehe 11 Desemba 2024, Jijini Dodoma.

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe.Dkt.Doto Biteko,akizungumza mara baada ya kuweka jiwe la msingi la utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha umeme msongo wa kilovoti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma  na upanuzi  wa vituo vya kupoza umeme vya  kilovoti 400 Chalinze-Pwani na Zuzu-Dodoma hafla iliyofanyika leo Disemba 11,2024 jijini Dodoma.

Muonekano wa Kituo cha umeme cha Zuzu Dodoma ambacho kitapanuliwa chini ya mradi wa Upanuzi

……………
Leo Tanzania imeandika historia nyingine katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya umeme baada ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe.Dkt.Doto Biteko kuzindua utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha umeme msongo wa kilovoti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma  na upanuzi  wa vituo vya kupoza umeme vya  kilovoti 400 Chalinze-Pwani na Zuzu-Dodoma.
Mradu huo wa umeme uliozinduliwa utawezesha umeme wote unaozalishwa katika mradi wa kuzalisha umeme wa JNHPP kufika katika maeneo yote ya mikoa iliyopo Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Ziwa, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Kanda ya Kati, Kanda ya Magharibi, Migodi, Viwanda na kuimarisha biashara ya umeme Mashariki na Kusini mwa Afrika.
Dkt. Biteko amesema kutekelezwa kwa mradi huo  kunatokana na Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan kuendelea kutoa fedha za kutekeleza miradi mbalimbali pamoja na miongozo yake ya namna bora ya kutekeleza miradi ili kuhakikisha nchi inakuwa na umeme wa uhakika kwa lengo la kukidhi mahitaji ambayo yamekuwa yakiongezeka siku hadi siku kutokana na ukuaji wa shughuli za kiuchumi na kijamii.
Amesema kuwa kutokana na jitihada hizo zinazofanywa na Rais Samia katika kuendeleza miradi ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji umeme imepelekea Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika usambazaji wa umeme kwa wananchi na hii ni kutokana na takwimu zilizotolewa na Benki ya Dunia.
Ameeleza  kuwa, Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea na jitihada za kuimarisha upatikanaji wa nishati ya umeme nchini ambazo zimewezesha kuongeza uwezo wa mitambo ya kufua umeme iliyopo nchini hadi kufikia Megawati 3,169.26 ambapo mahitaji ya juu ya umeme nchini kwa sasa yamefikia Megawati 1,888.72 ambapo mahitaji hayo hayajawahi kufikiwa kutoka nchi ipate Uhuru na hii ikimaanisha kuwa uchumi unazidi kukua kutokana na kuongezeka kwa shughuli za maedeleo. 
“Kuimarika kwa uzalishaji wa umeme nchini kumechangiwa na  kuanza uzalishaji katika Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 ambao hadi sasa utekelezaji wake umefikia asilimia 99.6 na jumla ya Megawati 1,175 za umeme zinazalishwa na kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa. “Amesema Dkt.Biteko.
Katika Hafla hiyo, Dkt.Biteko amekemea vikali wahujumu wa miundombinu ya umeme ambao amesema kuwa wanarudisha nyuma uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali katika kuwafikishia wananchi nishati ya uhakika na kuagiza Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuchukua hatua kali kwa wahujumu hao ambao oia wamekuwa wakikosesha wananchi umeme pale miyndombinu inapoharibiwa.
Kuhusu Wakandarasi wa mradi huo, Kampuni ya TBEA kutoka China, amewataka wahakikishe mradi  unakamilika kwa wakati ili wananchi wapate manufaa yaliyokusudiwa ikiwa pia ni maelekezo ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Dkt.Biteko ametumia hafla hiyo kuwakumbusha viongozi na wananchi kuhusu jitihada za Serikali katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kutimiza lengo la Serikali la asilimia 80 ya Watanzania  kutumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034.
Katika muendelezo wa jitihada hizo, amesema Serikali imetoa ruzuku kwa mitungi ya gesi zaidi ya 400,000 itakayouzwa kwa nusu gharama ya bei ya soko ambapo mitungi hiyo inasambazwa katika Mikoa yote Tanzania Bara.
Ametoa wito kwa Watanzania kutumia nishati safi ya kupikia kwa kutumia majiko ya gesi na teknolojia mbalimbali kulingana na mazingira ikiwemo nishati ya umeme kwani nishati hizi ni miongoni mwa nishati safi, salama na ya gharama nafuu ikilinganishwa na matumizi ya kuni na mkaa.
Vilevile ametoa wito kwa wadau mbalimbali na wafanyabiashara nchini kuhakikisha majiko yanayotumia nishati fanisi ya umeme yanapatikana kwa wingi na kwa bei nafuu ili wananchi wengi katika maeneo mbalimbali wakiwemo wa vijijini waweze kutumia umeme kwa ajili ya kupikia.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Innocent Bashungwa ameipongeza Wizara ya Nishati na TANESCO kwa uzinduzi wa mradi huo  wa usafirishaji umeme na upanuzi wa vituo vya kupoza umeme vya  Zuzu Dodoma na Chalinze na kueleza kuwa utekelezaji wa mradi huo unaakisi dhamira ya Rais Dkt. Samia ya kutaka watanzania wapate nishati ya uhakika.
Bashungwa amesema kuwa Serikali inatoa fedha nyingi ili kutekeleza  miundombinu ya umeme hivyo Wizara yake itahakikisha miundombinu hiyo inalindwa kwa wivu mkubwa na kuwashughulikia wahalifu wa moundombinu hiyo,
Kwa uoande wake, Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amempongeza Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa unaoendelea kufanyika katika Sekta ya Nishati na pia amempongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt.Doto Biteko kwa kusimamia Sekta kwa weledi, ufanisi, uzalendo na uchapakazi wa hali ya juu.
Amesema mradi uliozinduliwa leo ni muhimu kwani Tanzania inategemewa kuimarisha hali ya umeme kwa nchi za Mashariki mwa Afrika kupitia miradi ya uzalishaji na usafirishaji umeme ambayo inaendelea kufanyika.
Amesema moja ya masuala yaliyokuwa yakitiliwa mkazo katika  Mkutano uliohusu biashara ya kuuziana umeme na kununua umeme kwa nchi Wanchama Mashariki mwa Afrika (EAPP) ni uunganishaji umeme kati ya Tanzania na Kenya  ambapo leo  laini hiyo ya umeme ya kV 400 imewashwa na pongezi zimetolewa kwa Rais Samia na Dkt.Biteko kwa kutekeleza mradi huo.
Kwa upande wake, Katibu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema sasa nchi inazalisha zaidi ya megawati 3000 za umeme na hii inaifanya Tanzania kuwa nchi inayozalisha umeme mwingi kuliko nchi zote za Afrika Mashariki na hivyo kutoa fursa kwa Tanzania kufanya biashara ya umeme na nchi nyingine za Afrika iikwemo Burundi, Rwanda, Uganda na Kenya.
Amesema mradi huu utaenda katika kanda mbalimbali ikiwemo mikoa ya Kaskazini na kuingia hadi nchini Kenya.
Awali Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga alisema mradi wa kusafirisha umeme kutoka Chalinze hadi Dodoma umegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni  ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme katika msongo wa kilovoti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma yenye urefu wa kilomita 345 na upanuzi wa vituo vya kupokea na kupoza Umeme vya Chalinze (400/220/132kV) mkoani Pwani na Zuzu (400/220/33kV) Mkoani Dodoma.
Alisema  malengo ya mradi huo ni kuwezesha usafirishaji wa umeme wote (2,115MW) utakaozalishwa katika Bwawa la JNHPP na kuufikisha kwenye maeneo yote ya mahitaji ya umeme, hatua itakayosaidia kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme kwenye Gridi ya Taifa na kuongeza uwezo wa kusafirisha umeme kwenda mikoa yenye viwanda na migodi ya uchimbaji madini ya Kaskazini Magharibi, Kaskazini Mashariki, Kanda ya Kati na Kusini mwa Tanzania.
Alieleza kuwa, lengo lingine la mradi ni kuwezesha zoezi la uunganishaji umeme kwa pamoja katika mifumo ya Mashariki mwa Afrika (Eastern Africa Power Pool – EAPP) na Kusini mwa Afrika (Southern Africa Power Pool – SAPP) na hivyo kuwezesha kufanyika kwa biashara ya nishati ya umeme kikanda (Regional Power Trading).
Aliongeza kuwa, Mradi husika unagharamiwa na Serikali ya Tanzania kwa asilimia 100 kwa jumla ya gharama ya Shilingi 513 Bilioni ambapo Mkandarasi  Kampuni ya TBEA kutoka China  ameshalipwa malipo ya awali ya kiasi cha Shilingi bilioni 107.93 ambayo ni asilimia 20 ya gharama za mradi.
Alieleza kuwa katika mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme, kazi mbalimbali zimeanza na mradi utakamilika mwaka 2026 mwezi Septemba huku mradi wa upanuzi wa vituo vya kupoza umeme kazi pia zinaendelea na mradi utakamilika Septemba 2026.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge amesema mradi huo ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri za Dkt. Samia Suluhu Hassan na kwamba umeme huo utafaidisja Tanzania na nchi nyingine za Afrika na ni sehemu pia ya uhamasishaji wa nishati safi ya kupikia kwani wananchi watatumia umeme huo kupikia.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amesema wananchi mkoani Morogoro wanatambua  kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia katika kuendeleza miradi ya umeme ikiwemo kukamilisha miradi ya miaka mingi ukiwemo wa kuunganisha umeme kati ya Tanzania na Kenya.
Mwakilishi wa Wadau wa Maendeleo katika hafla hiyo, Wendy Hughes ambaye ni Mkurugenzi wa Benki ya Dunia  Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa kujikita katika kuiimarisha gridi ya taifa ya umeme ambayo ni muhimu katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii pamoja na kutoa uhakika wa usalama wa nishati.
Amesema kuwapo kwa mifumo imara ya usafirishaji umeme itafanya wananchi kufikishiwa umeme wa uhakika katika maeneo mbalimbali ya nchi na pia   ni sehemu ya utekelezaji wa mpango wa kufikisha umeme kwa watu milioni 300 barani Afrika ifikapo 2030.
Ameahidi kuwa Wadau wa Maendeleo wataendelea kutoa  ushirikiano kwa Tanzania ili kukamilisha mipango mbalimbali ya maendeleo ambayo nchi imejiwekea.

About the author

Alex Sonna