Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

https://guinguinbali.com/

boostaro review

NervEase

matbet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

maritbet giriş

hiltonbet

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Betoffice

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

matbet, matbet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

meritking giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

hititbet

hititbet giriş

norabahis

pusulabet

grandpashabet giriş

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

hititbet

hititbet giriş

hititbet giriş

hititbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Meritking

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

madridbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

holiganbet

celtabet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

bonus veren casino siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

betcio, betcio giriş

pokerklas, pokerklas giriş

betsat

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

betturkey

sweet bonanza

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

winxbet, winxbet giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

holiganbet giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

pusulabet

vdcasino

marsbahis

matbet

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

marsbahis

grandpashabet

holiganbet

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

perabet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

casifix

robinbet

betkare

imajbet

betpark

betpark

bets10

Featured Kitaifa

DC SHEKIMWERI ATAHADHARISHA WAVAMIZI TASNIA YA HABARI

Written by Alex Sonna
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akizungumza wakati akifungua Mkutano mkuu wa MISA-TAN 
 

 

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

 

 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri, ametoa wito kwa waandishi wa habari nchini kulinda heshima ya taaluma yao, akitahadharisha kuhusu ongezeko la watu wasiokuwa na ujuzi wa uandishi wa habari ambao wanatumia mitandao ya kijamii kueneza taarifa zisizo za kweli na za kuchafua jamii.

 
Akifungua mkutano mkuu wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini Mwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA-TAN) unaoambatana na Mkutano wa Uchaguzi leo Jumatano, Novemba 4, 2024 katika ukumbi wa UCSAF Jijini Dodoma, Shekimweri amesema kuwa hali hii inachangia kuharibu taswira ya waandishi wa habari wa kweli na kuathiri hadhi ya taaluma hiyo.
 
Akizungumza katika mkutano huo uliotanguliwa na Semina kuhusu Habari Potofu, Shekimweri amesisitiza umuhimu wa weledi na maadili katika tasnia ya habari, ili kuhakikisha kuwa vyombo vya habari vinabaki kuwa chanzo cha taarifa za kuaminika na zinazolinda maslahi ya umma.

 

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akizungumza wakati akifungua Mkutano mkuu wa MISA-TAN 
 

 

“Upo umuhimu mkubwa wa waandishi wa habari kuzingatia miongozo ya kitaaluma na maadili ya uandishi wa habari. Watu wasiokuwa na elimu ya uandishi wa habari wamevamia fani hii na wanachafua taswira ya waandishi wa habari wa kweli. Ni muhimu kuhakikisha kwamba taaluma hii inaheshimiwa na wale wanaofanya kazi hii wanazingatia weledi na maadili”,amesema.
 
Mkuu huyo wa wilaya ameeleza kuwa mitandao ya kijamii, licha ya kutoa fursa ya kutangaza taarifa kwa haraka, inapaswa kutumika kwa ustadi na umakini mkubwa.
 
Ameongeza kuwa waandishi wa habari wanapaswa kutumia mitandao hii kwa manufaa ya jamii na kwa njia inayolinda amani na usalama wa taifa.
 
Tunapaswa kuwa wazalendo na nchi yetu,na tuitumie vizuri mitandao namna ya kuripoti taarifa, tusipotoshe umma, taarifa zikiandikwa ndivyo sivyo kunaweza kuleta machafuko katika nchi yetu. Tutumie mitandao ya kijamii kwa uangalifu na weledi, na tuwe na jukumu la kuhakikisha kuwa tunalinda amani ya nchi yetu kupitia taarifa tunazozitoa,” amesema Shekimweri.
 
Aidha, Shekimweri amesisitiza kuwa waandishi wa habari wanapaswa kuwa wazalendo na kuhakikisha kwamba maslahi ya taifa yanazingatiwa katika kila taarifa wanayochapisha.
 
Amewahimiza waandishi wa habari kuwa na jukumu la kutangaza ukweli, huku wakiwajibika kwa jamii na taifa kwa ujumla.
 
Katika hatua nyingine, ameipongeza MISA-TAN kwa kusimamia Katiba yao pamoja na kufanya Mkutano Mkuu, na kueleza kwamba taasisi ambazo hazifanyi mikutano haziwezi kusimama imara.
 

 

Naye Mwenyekiti wa MISA-TAN Salome Kitomari ambaye amemaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba ya MISA -TAN, akizungumza wakati akimkaribisha mgeni rasmi, amesema kwa sasa ulimwengu upo kwenye Teknolojia kubwa ya kimtandao pamoja na matumizi ya akiri mnemba na hivyo kusababisha kuwepo na habari nyingi za upotoshaji.
Salome Kitomari 
 
“Kwa sasa tupo kwenye dunia ya mitandao ambayo ina mambo mengi, pamoja na matumizi ya akiri mmemba na kumekuwa na habari nyingi za upotoshaji, ndiyo maana tunafanya mafunzo ya mara kwa mara kwa waandishi wa habari,ili tuwe makini na matumizi ya mitandao na akiri Mnemba, na wasitoe maudhui ya upotoshaji,”amesema Salome.

 

 

Mkurugenzi wa Uendeshaji kutoka Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) Mhandisi Albert Richard, akiwasilisha mada kuhusu mradi wa ujenzi wa Minara 758, amesema mpaka sasa imeshawashwa Minara 306 ambayo itanufaisha wananchi milioni 8.5 kuimarisha mawasiliano katika maeneo ya vijijini.

 

 
Mkutano wa MISA TAN ni jukwaa muhimu kwa waandishi wa habari kujadili changamoto zinazokabiliana na sekta ya habari, na kutafuta mikakati bora ya kuboresha uandishi wa habari nchini.
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akizungumza wakati akifungua Mkutano mkuu wa MISA-TAN  leo Jumatano, Novemba 4, 2024 katika ukumbi wa UCSAF Jijini Dodoma – Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

 

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akizungumza wakati akifungua Mkutano mkuu wa MISA-TAN

 

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akizungumza wakati akifungua Mkutano mkuu wa MISA-TAN 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akizungumza wakati akifungua Mkutano mkuu wa MISA-TAN 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akizungumza wakati akifungua Mkutano mkuu wa MISA-TAN 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akizungumza wakati akifungua Mkutano mkuu wa MISA-TAN 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akizungumza wakati akifungua Mkutano mkuu wa MISA-TAN 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akizungumza wakati akifungua Mkutano mkuu wa MISA-TAN 
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri akizungumza wakati akifungua Mkutano mkuu wa MISA-TAN 
Mwenyekiti wa MISA – TAN, Salome Kitomari akizungumza kwenye Mkutano mkuu wa MISA-TAN 
Mwenyekiti wa MISA- TAN, Salome Kitomari akizungumza kwenye Mkutano mkuu wa MISA-TAN 
Mwenyekiti wa MISA – TAN, Salome Kitomari akizungumza kwenye Mkutano mkuu wa MISA-TAN 
Mkurugenzi wa MISA – TAN, Elizabeth Riziki akizungumza kwenye Mkutano mkuu wa MISA-TAN 

Mkurugenzi wa MISA – TAN, Elizabeth Riziki akizungumza kwenye Mkutano mkuu wa MISA-TAN 

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri na washiriki wa Mkutano wa MISA- TAN wakipiga picha ya pamoja
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri na washiriki wa Mkutano wa MISA -TAN wakipiga picha ya pamoja

 

Mkurugenzi wa uendeshaji kutoka mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF) Mhandisi Albert Richard akiwasilisha mada kuhusu mradi wa ujenzi wa Minara 758
Mkurugenzi wa uendeshaji kutoka mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF) Mhandisi Albert Richard akiwasilisha mada kuhusu mradi wa ujenzi wa Minara 758
Mkurugenzi wa uendeshaji kutoka mfuko wa mawasiliano kwa wote (UCSAF) Mhandisi Albert Richard akiwasilisha mada kuhusu mradi wa ujenzi wa Minara 758
Mwenyekiti wa MISA – TAN, Salome Kitomari akiongoza Mkutano mkuu wa MISA-TAN

 

Wanachama wakiwa kwenye Mkutano wa MISA- TAN
Wanachama wakiwa kwenye Mkutano wa MISA- TAN
Wanachama wakiwa kwenye Mkutano wa MISA- TAN
Wanachama wakiwa kwenye Mkutano wa MISA- TAN
Wanachama wakiwa kwenye Mkutano wa MISA- TAN
Mwenyekiti wa MISA – TAN, Salome Kitomari akimpokea Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri (kushoto)

 

 

Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 

About the author

Alex Sonna