marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

betbey

imajbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

padişahbet

holiganbet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

romabet

marsbahis

royalbet

artemisbet

kavbet

parmabet

mislibet

imajbet giriş

artemisbet

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

markajbet güncel giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

madridbet giriş

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

holiganbet

kingroyal giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

kıbrıs escort

taksimbet

jojobet güncel giriş

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

türk ifşa

vdcasino

Featured Kitaifa

WANANCHI WAMPONGEZA RAIS SAMIA UTEKELEZWAJI MIRADI YA UMEME VIJIJINI

Written by Alex Sonna

Wananchi wa Kijiji cha Keichuru kilichopo katika Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani wamempongeza na kumshukuru Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kwa utekelezwaji wa miradi ya kupeleka umeme vijijini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

Wananchi hao wametoa pongezi hizo leo wakati wa ziara ya Bodi ya Nishati Vijijini (REB) kutembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa kupeleka umeme katika vijiji vivyopo katika Delta wilayani Kibiti.

“Kwanza tutoe shukrani kwa taasisi zote zilizowezesha umeme kufika hapa kijijini kwetu na pongezi na shukrani nyingi kwa mama yetu Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha zilizowezesha hata sisi kufikiwa na umeme. Hata wazazi wetu wangekuja wangeshangaa sana,” amesema Mzee Hassan Malinda.

Naye Mama Anna Hamis amesema kuwa hawakutegemea umeme utafika katika kijiji chao licha ya kuwa kipo katika eneo la Delta kikiwa kimezungukwa na maji.

Mzee Iddi Ali ameshuru kwa kijiji chao kufikishiwa umeme na kusema kuwa na wao sasa wanaona matunda ya uhuru na kuhamasisha vijana kutumia umeme huo kujiletea maendeleo.

Awali akizungumza kwa niaba ya Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Mhe. Balozi Radhiya Msuya amesewahamashisha wananchi hao waanze kufunya maandalizi katika nyumba zao kwa kusambaza nyaya ndani ya nyumba ili umeme huo utakapowashwa waweze kuunga.

“Mhe. Rais anahaingaika usiku na mchana kutafuta fedha kwa ajili ya maendeleo yetu. Na namna pekee ya kumshukuru kwa kile anachofanya ni kuunganisha nyumba zetu na umeme huu pamoja na kutumia umeme huu kwa shughuli za maendeleo na kukuza uchumi wetu wa mtu mmoja mmoja na jamii zetu kwa ujumla,” amesema Balozi Msuya.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amewataka wananchi hao kutunza na kuwa walinzi wa miundombinu ya umeme kama nyaya, nguzo na mashine umba (transfoma) kwa sababu serikali imetumia gharama kubwa kufikisha miundombinu hiyo.

“Zaidi ya Shilingi Bilioni 3.8 zimetumika kufika umeme katika vijiji hivi vilivyopo katika Delta katika Wilaya hii. Ni muhimu sana sisi tukawa walinzi wa miundombinu hii,” amesisitiza Mhandisi Saidy.

Mbunge wa Jimbo la Kibiti, Mhe. Twaha Mpembenwe amemshukuru Mhe. Rais kwa miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa katika Jimbo lake hasa miradi ya umeme vijijini na kuahidi kuwa yeye pamoja na wananchi katika jimbo hilo watakuwa walinzi wa kwanza wa miundombinu ya umeme ikiwa ni njia ya kuendelea kuthamini mchango wa Serikali katika kuwaletea maendeleo.

Augustino Kiwia ambaye ni Mwakilishi wa Mkandarasi anayetekeleza mradi huo ambao ni Kampuni ya CRCEBG, amesema kuwa changamoto kubwa inayowakabili ni kukatika kwa daraja na hivyo kushindwa kusafirisha nguzo za zege kwa njia ya mitumbwi. Ameahidi kuwa, pindi daraja hilo litakapokuwa limejengwa wataharakisha kazi hiyo ikamilike kwa wakati.

About the author

Alex Sonna