Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

Brain Savior Review

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

madridbet giriş

NervEase

hacker google hacked

hardcore porn

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

betgit

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Kingroyal

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

matbet, matbet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

marsbahis

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

madridbet

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

supertotobet

tümbet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

tarafbet giriş

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

madribet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

jojobet

celtabet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

kumar siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

betcio, betcio giriş

pokerklas, pokerklas giriş

betsat

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

tarafbet

güvenilir kumar siteleri

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

winxbet, winxbet giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

holiganbet

sekabet

marsbahis

matbet

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

mislibet giriş

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

roketbet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

truvabet

matadorbet

pusulabet

matbet

betgaranti

safirbet

Featured Kitaifa

SERIKALI YAWEKA MKAZO KUKUZA TASNIA YA UFUGAJI WA KUKU

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko,akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Jukwaa la Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao kwa Nchi za Kusini mwa Afrika leo Oktoba 16, 2024 jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega,akizungumza wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao kwa Nchi za Kusini mwa Afrika leo Oktoba 16, 2024 jijini Dar es salaam.

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko,(hayupo pichani) wakati akifungua Mkutano wa Jukwaa la Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao kwa Nchi za Kusini mwa Afrika leo Oktoba 16, 2024 jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko,akifatilia mada mbalimbali wakati wa  Mkutano wa Jukwaa la Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao kwa Nchi za Kusini mwa Afrika leo Oktoba 16, 2024 jijini Dar es salaam, akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango.

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa ujio wa Mkutano wa Jukwaa la Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao kwa Nchi za Kusini mwa Afrika unadhihirisha namna Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia ilivyokuwa na mahusiano mazuri ambayo yamefungua milango katika sekta mbalimbali ikiwemo ya tasnia ya kuku na ndege wafugwao.

Amesema hayo leo Oktoba 16, 2024 jijini Dar es salaam wakati akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdory Mpango katika ufunguzi wa mkutano huo.

Ametaja faida za ufugaji kuku na ndege wafugwao kuwa ni pamoja na kuchangia usalama wa chakula na kuongeza pato la Taifa kikanda na kimataifa.

Amesema kuwa asilimia 55 ya kaya nchini na katika nchi mbalimbali ni ufugaji unaofanywa zaidi na wanawake na vijana na kuwa Tanzania ina kuku milioni 103.1 wakiwemo kuku wa asili na kisasa.

Kupitia Jukwaa hilo, Dkt. Biteko ameiagiza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuanzisha mashamba ya kuku wazazi kwa ajili ya kuzalisha vifaranga, kuanzisha vituo vya kisasa, maabara pamoja na kuwekeza katika machinjio ya kisasa ya kuku.

Dkt. Biteko ametoa maagizo mengine ikiwemo “ Wizara iweke pia mfumo wa mnyororo baridi wa usambazaji wa kuku, iwekeze pia katika vizimba, chakula cha kuku na ianzishe viwanda vya kusindika vyakula vya kuku ili vipatikane ndani ya nchi na sio kutumia fedha za kigeni kuagiza nje,”

Ametoa wito kwa wadau wote wa ufugaji wa kuku kuendelea kushirikiana na Serikali kutekeleza majukumu yao kwa kuwa Serikali imetoa fursa kwa kila mmoja kuweza kujishughukisha na kujiongezea kipato.

Fauka ya hayo, Dkt. Biteko ameikaribisha sekta binafsi kushiriki katika tasnia hiyo ili kusaidia kukuza uchumi wa nchi huku akiwataka watafiti kushirikiana na Serikali.

Kwa upande wake, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema kuwa kufanyika kwa mkutano huo ni matokeo ya mkutano wa AGRA uliofanyika Dar es alaam na kuongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia ambapo AGRA walielezwa juu ya kuipa kipaumbele sekta ya ufugaji wa kuku kwa kuwa nchini Tanzania familia nyingi zinafuga kuku

“ Tunawashukuru AGRA na Food Alliance kwa kutukubalia na ndio maana leo jukwaa la kwanza limefanyika hapa Tanzania na kutoa fursa kwa wafugaji wetu kujifunza na kujenga mahusiano,” amesema Mhe. Ulega.

Amebainisha kuwa takwimu zinaonesha kuwa ifikapo 2030 kuku watachangia asalimia 41 ya protini na kuwa watafiti nchini washirikiane na Serikali wanapotoa matokeo ili kutoleta taharuki kwa jamii kupitia matokeo ya tafiti zao.

“ Hivi karibuni watafiti walifanya utafiti kwa kutumia sampuli chache juu ya ulishaji wa kuku wanaofugwa na akina mama na vijana tafiti ile ilileta taharuki, kupitia Jukwaa hili nitumie fursa hii kuwaambia watafiti washirikiane na Wizara ili kutotoa taarifa za taharuki kwa jamii na kuwa Serikali inaweza kudhibiti wafugaji wasiofuata taratibu hivyo tusiharibu jitihada zinazofanywa na kukuza tasnia hii,” amesema Mhe. Ulega.

“ Tunawaheshimu na kuthamini kazi zao ila tuone wanapofanya tafiti na kupeleka kwa jamii tuwe na mkakati wa pamoja wa kufikisha tafiti hizo kwa jamii,” amesisitiza Mhe. Ulega.

Naye, Waziri Mkuu wa zamani wa Ethiopia na Mwenyekiti wa Bodi ya Muungano wa Mapinduzi ya Kijani barani Afrika (AGRA), Mhe. Dkt. Hailemariam Dessalegn, amesema kuwa fursa muhimu zilizopo kupitia ufugaji wa kuku ni chanzo cha protini, soko la uhakika na ajira kwa vijana na ka kushiriki katika mnyororo wa thamani.

“Jukwaa hili linatoa fursa ya kujifunza faida na changamoto katika tasnia hii na kuongeza ushirikiano. Kukuza tasnia hii katika nchi yetu inahitaji majukwaa kama haya na inahitaji utayari wa wadau mbalimbali kwa kuwa wana uwezo wa kuwekeza ili kukuza tasnia hii,” amesema Mhe. Dessalegn.

Ameongeza “Tanzania ni kinara wa kuwa na njia shirikishi na ni imani yangu itaendelea hivi chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia ili kufikia ajenda ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs), haswa dhamira ya kumaliza njaa na umasikini ifikapo 2030. Hakuna nchi inayoweza kufikia mafanikio haya peke yake hivyo sera ya ukanda, mafunzo na majadiliano na mawasiliano ni muhimu kufikia malengo.”

Mfugaji kutoka nchini Malawi, Grace Gondwe amesema kuwa baada ya kumaliza Chuo Kikuu nchini humo alianzisha biashara ya ufugaji wa kuku wa kisasa licha ya kukutana na changamoto mbalimbali amemudu kufanya kazi hiyo kwa miaka mitano sasa na kuwa tafiti mbalimbali zinaonesha mahitaji yake yaongezeka siku hadi siku.

“ Kupitia ufugaji nimekuwa mshauri pia kupitia Kampuni yangu tumeanza kutumia teknolojia katika uzalishaji wa kuku ambapo uzalishaii umekuwa mkubwa kwa gharama nafuu. Vijana wenzangu napenda kuwaambia tuendelee kufuga kuku kuna fursa nyingi pamoja zinazoendana na ufugaji wa kuku,” amesema Grace.

Mfugaji wa kuku kutoka mkoani Tanga, Bw. Omary Mussa amesema kuwa ameanza ufugaji kupitia miradi mbalimbali na baada ya mafunzo amekuwa mfugaji tangu mwaka 2023 akianza na kuku 500 na sasa anafuga kuku 4,000 aina ya chotara na kuku wa kisasa.

“ Tanzania kufuga kuku ni utamaduni wetu tuna kazi ya kubadilisha kutoka kuwa tamaduni kuwa kibiashara nimeanzisha Kampuni ya Kuku Pesa Investment Group ili watu wafuge kuku kupata pesa,” amesema Mussa.

Ameongeza “ Changamoto ni kuwa watu wanafuga bila faida, Kampuni yetu inatoa mafunzo kwa mtu anaye fuga ikiwa ni pamoja na kubadilisha mitazamo kuwa sio lazima uajiriwe unaweza kujiajiri mwenyewe. Hadi sasa vijana 108 wamepata mafunzo na ufugaji na tuna wafugaji 98 tunaowasimamia mkoani Tanga.”

About the author

Alex Sonna