Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

nitrobahis

mavibet giriş

kavbet giriş

mavibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

dinimi sitiliri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10

piabellacasino

nerobet

cratosroyalbet

nitrobahis

mavibet giriş

mavibet

Meritking

meritking

สล็อตเว็บตรง

bets10

tarafbet

jojobet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

meritbet giriş

tipobet

kavbet

mavibet

jojobet giriş

marsbahis giriş

jojobet giriş

jojobet telegram

marsbahis

jojobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

caddebet, caddebet giriş

betgar

betsat

grandpashabet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

tarafbet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

bets10

jojobet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

Google

casinoroyal

primebahis

marsbahis

turkey dental implants cost

Doctors | Akdeniz University Hospital Login

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom

casibom giriş

dental implants turkey clinics

casibom güncel giriş

betflix giriş

turkey dental implants

deneme bonusu

wbahis

imajbet

grandpashabet

jojobet

casinowon

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

meritking

meritking

marsbahis

meritking

jojobet

jojobet güncel

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis

Hacklink panel

zirvebet

holiganbet

Google

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet giris

jojobet para çekme

jojobet güncel

jojobet giris

jojobet giris

jojobet

matbet

otobet

otobet giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

marsbahis giriş

marsbahis giriş

truvabet

mavibet

mavibet

mavibet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

betflix

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet

piabellacasino

robinbet

tipobet

holiganbet

porno izle

bets10

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betebet

jojobet

jojobet erişim

jojobet adres

jojobet para yatırma

jojobet giris

marsbahis

jojobet adres

jojobet oyunlar

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet son giriş

jojobet canlı bahis

jojobet aninda

jojobet bonuslar

jojobet bahis

jojobet casino

jojobet adres

jojobet telegram

giriş jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

jojobet vip giriş

jojobet tik giriş

jojobet adres

jojobet gir

marsbahis giriş

güncel giriş burada jojobet

jojobet telegram

jojobet heyecan

jojobet telegram

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

goldenbahis

coinbar

betcio, betcio giriş

galabet, galabet giriş

deneme bonusu

jojobet giriş

grandpashabet

gorabet

jojobet

https://sjconsultors.com/

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

starzbet

pusulabet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino

marsbahis

Featured Kitaifa

MHANDISI MAJALA AKABIDHI PIKIPIKI KWA CBWSO SHINYANGA

Written by Alex Sonna
Mkurugenzi wa Ufundi wa RUWASA Makao Makuu, Mhandisi Mariam Majala akiwa amepanda kwenye moja ya Pikipiki nane zilizotolewa kwa CBWSO Mkoa wa Shinyanga.
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Katika hatua ya kukabiliana na changamoto za upatikanaji wa huduma za maji safi na usafi wa mazingira katika maeneo ya vijijini, Mkurugenzi wa Ufundi wa Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Makao Makuu, Mhandisi Mariam Majala, amekabidhi jumla ya pikipiki nane kwa Vyombo vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO).
 

Hafla  fupi ya makabidhiano imefanyika leo, Oktoba 16, 2024, kwenye Ofisi ya Meneja wa RUWASA Mkoa wa Shinyanga na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka RUWASA na CBWSO, ikiwa ni ishara ya kujitolea na kuimarisha utendaji kazi wa vyombo hivyo ambavyo vinahusika na usambazaji wa huduma za maji kwa jamii.
 
CBWSO saba zilizonufaika ni Mwanya, Nyabuki na Chui zilizopo katika Wilaya ya Kahama, Nyahembe iliyopo katika wilaya ya Shinyanga na Songambele, Unyashagi na Mwandoshimba zilizopo katika wilaya ya Kishapu.
 
Mhandisi Majala amewapongeza RUWASA na CBWSO Mkoa wa Shinyanga kwa juhudi zao kubwa zinazofanyika katika kuhakikisha huduma za maji safi na salama zinawafikia wananchi wa vijijini.
 
“Tuna CBWSO nyingi nchini, lakini nyinyi mnafanya kazi kubwa sana kwa muda mfupi. Leo tunafanya tukio la kihistoria kwa kuwapatia pikipiki ambazo mmezinunua kwa mapato yenu wenyewe na kuweza kununua vitendea kazi kwa ajili ya kuendelea kuboresha utendaji kazi wenu”,amesema Mhandisi Majala.
 
Ameongeza kuwa pikipiki hizo zitawawezesha CBWSO kufikia wananchi kwa urahisi zaidi, na kuwafanya waweze kutoa huduma za maji kwa wakati muafaka. 
 
Tafadhali, zitunzeni pikipiki hizi na mzitumie kwa mujibu wa sheria kwa malengo yaliyokusudiwa,” amesisitiza.
“Sisi kama serikali tunaendelea kuwapongeza kwa sababu nyinyi ni watekelezaji wakubwa wanaohusika na jamii ni CBWSO ambao nyinyi ndiyo mnaisaidia serikali kuhakikisha wananchi wanaoishi maeneo ya vijijini wanapata huduma ya maji safi na salama”,amesema Mhandisi Majala.
Muonekano wa pikipiki kwa ajili ya  Vyombo vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga.
 
Amesema pikipiki hizo zitawasaidia kuwafikia wananchi kwa urahisi zaidi , kwa wakati kwenye maeneo ya vijijini ili huduma ya maji ipatikane muda wote huku akiwataka wazitunze na wazitumie pikipiki hizo kwa mujibu wa sheria kwa malengo yaliyokusudiwa.
 
“Niwapongeze kwa makusanyo makubwa ya maji tangu tujiunge na mfumo wa GePG. Naomba tuendelee kuwa walimu, mabalozi wazuri kwa watu wengine kwenye maeneo mengine kuhusu mfumo huu ambao umeleta manufaa makubwa. CBWSO Shinyanga mmekuwa mfano wa kuigwa, hongereni sana. Endeleeni kuwa wabunifu”,ameongeza Mhandisi Majala.
Katika maelezo yake, Meneja wa RUWASA Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Julieth Payovela, amefafanua kuwa kupitia mapato yao ya ndani, CBWSO imeweza kununua pikipiki zenye thamani ya shilingi milioni 23.9, na kuongeza idadi ya pikipiki kufikia 18.
“Katika kupunguza upotevu wa maji, tumenunua mita 840 zenye thamani ya shilingi 166,934,400.86/= za Bylan ambazo zina ufanisi mzuri zaidi katika kusimamia matumizi ya maji ukilinganisha na mita nyingi zinazotumika katika maeneo yetu, Tayari mita 443 zimepokelewa” ,amesema Payovela.
Muonekano wa pikipiki kwa ajili ya CBWSO Mkoa wa Shinyanga.
 
“Ili kuhakikisha kuwa skimu za maji zilizopo na zilizokamilika zinaendelea kutoa huduma ya maji endelevu, RUWASA Mkoa wa Shinyanga imeunda CBWSO 28 baada ya kufuta usajili wa CBWSO 43 zilizokuwa hazina uwezo wa kujiendesha. CBWSO hizi 28 zinahudumia skimu 181 za mtandao wa bomba na pump za mkono katika vijiji 383 kati ya vijiji 435 vinavyohudumiwa na RUWASA”,ameongeza.
 
Amefafanua kuwa, mwishoni mwa mwaka 2023 CBWSO zote 28 za mkoa wa Shinyanga ziliunganishwa kwenye mfumo wa Malipo kwa njia ya Kielektroniki (GePG) kupitia mfumo wa MAJI IS ili kuongeza ufanisi wa makusanyo ya maduhuli ya serikali yatokanayo na mauzo ya maji, na kuendelea kuboresha utoaji wa kuboresha huduma ya maji safi na salama.
 
 
“Manufaa yaliyobainika baada ya CBWSOs kujiunga na mfumo wa GePG ni pamoja na kuongezeka uwazi na udhibiti katika ukusanyaji wa fedha za umma kupitia dashboard ya vyombo CBWSOs. Kuongezeka kwa idadi ya wateja kutoka 8,144 hadi kufikia jumla ya wateja 10,041 ambao wote wamesajiliwa kwenye mfumo wa uchakataji wa Ankara za Maji (MAJI IS). Ankara zao zinachakatwa kwa njia ya mfumo na kupatiwa namba ya malipo (Control Number”,ameeleza Mhandisi Payovela.
Meneja wa RUWASA Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Julieth Payovela
“Tangu mfumo uanze kufanya kazi CBWSOs zote 28 hadi kufikia Juni 30, 2024 (Desemba 2023-Juni 2024) zimefanikiwa kukusanya shilingi 1,008,683,072.52/= ukilinganisha na sh. 676,821,904 kilichokusanywa kipindi cha Julai 2023- Novemba 2023. Ongezeko hili ni sawa na 49% (Tsh. 331,861,168.52/=”.
 
Jumla ya makusanyo ya mwaka 2023/2024 ni shilingi 1,685,504,976.52. Katika robo ya kwanza ya mwaka 2024/2025 CBWSOs zote zimekusanya jumla ya shilingi 662,073,893.46 kati ya shilingi 2,087,508,782/= kilichopangwa kukusanywa”,ameeleza Mhandisi Payovela.
 
Mwenyekiti wa CBWSO ya Mahembe wilaya ya Shinyanga Bw. Ndege Salu Nzala, amepokea pikipiki hizo kwa furaha, akisema zitawasaidia kufika kwa wakati katika maeneo yao ya kazi.
 
“Tunawashukuru RUWASA kwa kuendelea kutuunga mkono katika kazi zetu za kutoa huduma za maji vijijini,” amesema Nzala.
 
Hii ni hatua muhimu katika kuhakikisha kwamba huduma za maji safi na usafi wa mazingira zinapatikana kwa urahisi katika maeneo ya vijijini, na inathibitisha dhamira ya serikali ya kuboresha maisha ya wananchi na kuhakikisha upatikanaji wa huduma za msingi.

 

Mkurugenzi wa Ufundi wa Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Makao Makuu, Mhandisi Mariam Majala  akizungumza leo Jumatano Oktoba 16,2024 wakati akikabidhi jumla ya Pikipiki nane ambazo zimetolewa kwa Vyombo saba vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga ili kuboresha utendaji kazi wao. Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkurugenzi wa Ufundi wa RUWASA Makao Makuu, Mhandisi Mariam Majala  akizungumza leo Jumatano Oktoba 16,2024 wakati akikabidhi jumla ya Pikipiki nane ambazo zimetolewa kwa Vyombo saba vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga

 

Meneja wa RUWASA Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Julieth Payovela wakati wa makabidhiano ya Pikipiki nane zilizotolewa kwa Vyombo saba vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga ili kuboresha utendaji kazi wao.
Meneja wa RUWASA Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Julieth Payovela wakati wa makabidhiano ya Pikipiki nane zilizotolewa kwa Vyombo saba vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga ili kuboresha utendaji kazi wao.
Mkurugenzi wa Ufundi Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Makao Makuu, Mhandisi Mariam Majala  akiwa amepanda kwenye moja ya Pikipiki nane zilizotolewa kwa Vyombo saba vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga.
Mkurugenzi wa Ufundi Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Makao Makuu, Mhandisi Mariam Majala (kulia) akiwa akizungumza  wakati akikabidhi pikipiki kwa Vyombo saba vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga.
Mkurugenzi wa Ufundi Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Makao Makuu, Mhandisi Mariam Majala (kulia) akikabidhi funguo za pikipiki kwa Vyombo vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga.

Mkurugenzi wa Ufundi Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Makao Makuu, Mhandisi Mariam Majala (kulia) akikabidhi funguo za pikipiki kwa Vyombo vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga.

Mkurugenzi wa Ufundi Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Makao Makuu, Mhandisi Mariam Majala (kulia) akikabidhi funguo za pikipiki kwa Vyombo vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga.

Mkurugenzi wa Ufundi Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Makao Makuu, Mhandisi Mariam Majala (kulia) akikabidhi funguo za pikipiki kwa Vyombo vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga.
Mkurugenzi wa Ufundi Wakala wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Makao Makuu, Mhandisi Mariam Majala (kulia) akikabidhi funguo za pikipiki kwa Vyombo vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga.

Mwenyekiti wa CBWSO ya Mahembe wilaya ya Shinyanga, bw. Ndege Salu Nzala akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Muonekano wa pikipiki kwa ajili ya  Vyombo vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga.
Muonekano wa pikipiki kwa ajili ya  Vyombo vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga.
Muonekano wa pikipiki kwa ajili ya  Vyombo vya Watoa Huduma Ngazi ya Jamii (CBWSO) Mkoa wa Shinyanga.
Hafla ya makabidhiano ya pikipiki kwa CBWSO Mkoa wa Shinyanga ikiendelea
Hafla ya makabidhiano ya pikipiki kwa CBWSO Mkoa wa Shinyanga ikiendelea
Hafla ya makabidhiano ya pikipiki kwa CBWSO Mkoa wa Shinyanga ikiendelea

 

Afisa Maendeleo ya Jamii RUWASA Kishapu, Neema Mwaifuge akizungumza wakati wa hafla hiyo

 

Picha za kumbukumbu wakati wa hafla ya makabidhiano ya pikipiki kwa CBWSO Mkoa wa Shinyanga
Picha za kumbukumbu wakati wa hafla ya makabidhiano ya pikipiki kwa CBWSO Mkoa wa Shinyanga
Picha za kumbukumbu wakati wa hafla ya makabidhiano ya pikipiki kwa CBWSO Mkoa wa Shinyanga
Picha za kumbukumbu wakati wa hafla ya makabidhiano ya pikipiki kwa CBWSO Mkoa wa Shinyanga

About the author

Alex Sonna