marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

kocaeli escort

izmit escort

escort bayan

matbet

sekabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

bahiscasino

betoffice

marsbahis

perabet giriş

interbahis

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

betparibu, betparibu giriş

zirvebet, zirvebet giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

meritking güncel giriş

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betine

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

Starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

casibom giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

pokerklas

lordcasino

lordcasino giriş

imajbet

betmarino giriş

perabet

betmarino

belugabahis

belugabahis giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

pokerklas

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

casibom

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

xslot

xslot giriş

xslot

xslot giriş

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

sekabet giriş

deneme bonusu

hackhaber

Featured Kitaifa

MAJALIWA: VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZINAZOTOKANA NA MAENDELEO YA KIDIJITALI

Written by Alex Sonna

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa,akizungumza  wakati wa uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa uliyofanyika katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza.

……

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka vijana wachangamkie fursa zinazotokana na maendeleo ya teknolojia katika kujipatia kipato na kushiriki kukuza Uchumi wa Taifa.

Amesema kuwa vijana wanapaswa kutumia mitandao ya kidijitali kutafuta fursa za masoko na upatikanaji wa bidhaa ili kufanikisha malengo ya kuifanya Tanzania kuwa Taifa lenye maendeleo endelevu kupitia nguvu ya vijana na teknolojia.

Amesema hayo  wakati wa uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa uliyofanyika katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza.

“Dunia nzima ya leo inazungumzia matumizi ya kidijitali na matumizi haya ya kidigitali yanaenda kukabiliana na changamoto za karne ya 21, pamoja na  kasi kubwa ya maendeleo duniani. Leo hii tunafanya manunuzi mtandaoni na hata fursa za biashara zinafanyika kidijitali. ”

Amesema kuwa ni ukweli usiopingika kuwa maendeleo katika sekta ya dijitali yanatoa fursa nyingi kwa vijana ambao wana nafasi kubwa ya kujiendeleza na kuleta maendeleo ya Taifa kwa kutumia kikamilifu ubunifu wao kupitia matumizi ya teknolojia mpya.

Ameongeza kuwa ili kufanikisha lengo la Dira ya Taifa ya Maendeleo na Malengo ya Maendeleo Endelevu, teknolojia za kidijitali zina nafasi muhimu ambazo kila mmoja anapaswa kuzichangamkia. “Teknolojia hizi siyo tu zinarahisha shughuli mbalimbali za kila siku katika maisha yetu, bali pia zinasaidia katika kufanya maamuzi yenye tija kwa kutumia mifumo mbalimbali ya kidijitali. ”

Pia, Waziri Mkuu amewataka vijana waendelee kuwa na matumaini na Serikali kwa kuwa imejipanga kuhakikisha inawafungulia fursa. “Endeleeni kuiunga mkono Serikali yenu kwa namna ambavyo imekuwa ikifungua milango ya fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya vijana, endeleeni kuhakikisha mnakuwa karibu na Serikali ili uweze kufikia ndoto yako kwenye maisha . ”

Kwa Upande wake Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Ridhiwani Kikwete amewataka vijana watumie  vizuri mifumo ya kidijitali. “Tutumie kwa matumizi mazuri yasiwe yanayoelekeza chuki, mgawanyo au mpasuko mkubwa katika nchi yetu, tuitumie ili ituwezeshe kufikia malengo makubwa tuliyonayo”.

Amesema kuwa dunia ya sasa ni ya Kidijitali ambayo inaitaka jamii kujua kwamba ili uweze kufanya jambo linalokwenda na kasi ya dunia ya leo ni lazima ujikite katika matumizi ya kidijitali.

Kwa upande wake Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Tabia Mwita Maulid amesema kuwa wataendelea kusimamia maelekezo ya viongozi wa kitaifa ili vijana wawe mstari wa mbele  katika kujiajiri na kuajiriwa na waweze  kuchangia pato la mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.

 “Lengo letu ni kuhakikisha Tanzania  inaendelea kuwa na vijana  productive Barani Afrika na duniani kwa ujumla, kwa kufanya hivyo tutakuwa tunamuunga mkono Rais Dkt. Samia ya kuendelea kuijenga Tanzania”.

About the author

Alex Sonna