marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

palacebet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

meritking

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

marsbahis

matbet

sekabet giriş

imajbet

Featured Kitaifa

TANESCO SHINYANGA YAWATAMBUA WATEJA WAKUBWA KAHAMA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Written by Alex Sonna
Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika (kushoto) akimkabidhi cheti cha pongezi na Shukrani Meneja wa Kampuni ya Jema Africa Ltd, Sabina Machage
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga imewatambua wateja wake wakubwa wilayani Kahama kwa kukata na kula nao keki pamoja na kuwapatia vyeti pongezi na shukrani kwa kulipa ankara za umeme kwa wakati.
 
Miongoni mwa wateja wakubwa waliopatiwa vyeti vya shukrani ni Domain Gold Plant, D4N Company Ltd, Jema Africa Ltd, Kayo Bigazaba (Mongo Elution Plant) na Chama Kikuu cha Ushirika Kahama (KACU) ambako pia Wafanyakazi wa TANESCO wamekata na kula keki na wafanyakazi wa KACU.
 
Akizungumza leo Alhamisi Oktoba 10,2024 Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja TANESCO Shinyanga, Victory Senge akiwa ameambatana na maafisa wa TANESCO akiwemo Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika amesema wametoa zawadi hizo ikiwa ni Sehemu ya Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja inayoongozwa na Kauli mbiu ‘Ni Zaidi ya Matarajio’.
 
“TANESCO Mkoa wa Shinyanga inawashukuru wateja wetu wakubwa wa umeme kwa namna mnavyoshirikiana nasi ikiwemo kulipa Ankara kwa wakati. Tunaendelea kuboresha huduma zetu mfano huduma ya Nikonekt inayowezesha kuomba huduma ya umeme hata ukiwa nyumbani na tumeongeza njia mpya ya huduma kwa wateja kupitia Whatsapp iitwayo Jisoti na TANESCO inayorahisisha mawasiliano ya huduma kwa mteja kupitia namba 0748550000”,amesema.
 
Nao wateja wakubwa wa TANESCO wameishukuru TANESCO kwa kuwatambua na kuwapatia vyeti huku wakiahidi kuendelea kushirikiana na shirika hilo la umeme.
Keki maalumu iliyoandaliwa na TANESCO Mkoa wa Shinyanga, kwa ajili ya Wateja Wakubwa Wilayani Kahama
Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja TANESCO Shinyanga, Victory Senge akizungumza na Wafanyakazi wa KACU wakati TANESCO ilipowatembelea Wateja Wakubwa Wilayani Kahama kisha kukata na kula nao keki pamoja na kuwapatia vyeti pongezi na shukrani kwa kulipa ankara za umeme kwa wakati.
Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika akimlisha keki  Meneja Uendeshaji wa KACU, Amiri Mwinyimkuu (kushoto)
Meneja Uendeshaji wa KACU, Amiri Mwinyimkuu akimlisha keki Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika
Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika akimkabidhi cheti cha pongezi na Shukrani Meneja Uendeshaji wa KACU, Amiri Mwinyimkuu
Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika (kulia) akimlisha keki mmoja wa wafanyakazi wa KACU
Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika (kulia) akimlisha keki mmoja wa wafanyakazi wa KACU
Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika (kulia) akimlisha keki mmoja wa wafanyakazi wa KACU
Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika, wafanyakazi wa TANESCO wakipiga picha ya kumbukumbu na wafanyakazi wa KACU
Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika, wafanyakazi wa TANESCO wakipiga picha ya kumbukumbu na wafanyakazi wa KACU
Meneja Uendeshaji wa KACU, Amiri Mwinyimkuu akitoa neno la shukrani
Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika (kushoto) akimkabidhi cheti cha pongezi na Shukrani Msimamizi wa ujenzi Yolanda Hotel inayomilikiwa na Domain Gold Plant, bw. Juma Kagame Nyerere
Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja TANESCO Shinyanga, Victory Senge akizungumza wakati wafanyakazi wa TANESCO walipotembelea Kampuni ya Domain   Gold Plant
Wafanyakazi wa TANESCO wakipiga picha na mfanyakazi wa Kampuni ya Domain   Gold Plant, Juma Kagame Nyerere.
Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika (kulia) akimkabidhi cheti cha pongezi na Shukrani Mhasibu wa  Kampuni ya D4N Company Ltd, Amasha Isack Kihomwe
Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja TANESCO  Shinyanga, Victory Senge akizungumza wakati wafanyakazi wa TANESCO walipotembelea Kampuni ya D4N Company Ltd.
Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika (kushoto) akimkabidhi cheti cha pongezi na Shukrani Meneja wa Kampuni ya Jema Africa Ltd, Sabina Machage
Meneja wa Kampuni ya Jema Africa Ltd, Sabina Machage akitoa neno la shukrani
Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika (kushoto) akimkabidhi cheti cha pongezi na Shukrani Mhasibu wa Kampuni ya Kayo Bigazaba (Mongo Elution Plant), Sophia Mpina, kushoto ni Mhasibu wa TANESCO Wilaya ya Kahama, Mligo Gelard.
Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama Mhandisi Kisika Eliya Kisika (kushoto) akimkabidhi cheti cha pongezi na Shukrani Mhasibu wa Kampuni ya Kayo Bigazaba (Mongo Elution Plant), Sophia Mpina.
 
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 

About the author

Alex Sonna