slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

jojobet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

vdcasino

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

interbahis

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

meritking

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

betist

betist

marsbahis

jojobet giriş

matbet

sekabet

pusulabet

Featured Kitaifa

WAZIRI KABUDI ASISITIZA WELEDI  KATIKA UPELELEZI NCHINI

Written by Alex Sonna
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi,akizungumza leo Oktoba 9,2024 jijini Dodoma wakati akifungua kikao cha Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka,Ofisi ya  Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU).
 
WASHIRIKI wakimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, wakati akifungua kikao cha Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka,Ofisi ya  Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU).
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  kikao cha Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka,Ofisi ya  Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU).
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  kikao cha Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka,Ofisi ya  Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU).
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  kikao cha Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka,Ofisi ya  Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU).

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi,amezitaka taasisi zote zilizopo katika masuala ya haki jinai nchini kuimarisha weledi katika shughuli zote za upelelezi.

Prof. Kabudi ameyasema hayo leo Oktoba 9,2024 jijini Dodoma wakati akifungua kikao cha Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka,Ofisi ya  Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU).

Prof.Kabudi amezipongeza taasisi hizo kwa kazi nzuri wanazozifanya kwa kutenda haki katika masuala ya haki hivyo niziombe  taasisi zote zinazohusika na haki jinai kuongeza ufanisi pamoja na weledi katika kutenda haki.

“Nawapongeza kwa kuendelea kufanya kazi kwa weledi hivyo nawaomba mfanye kazi kwa kufuata taratibu na sheria na kanuni za nchi ili muendelee kumsaidia Mhe.Rais Samia Suluhu katika kutekeleza majukumu ya kila siku”amesema

Aidha, amesema kuwa taasisi hizo tatu zinapaswa kufanya mambo yao kwa mujibu wa sheria,taratibu na kanuni bila ya kuathiriwa na mihemuko ya kundi au mtu fulani.

“Fanyeni mambo yenu kwa weledi semeni mambo ambayo yapo tayari kusemwa kwa umma lakini kama jambo bado lipo kwenye uchunguzi endeleni kufanya uchunguzi bila kuathiriwa na kitu ama mtu yoyote yule”amesisitiza Prof.Kabudi

Vile vile, amewataka kuweka utaratibu wa kukutana mara kwa mara ili kufahamia na kila mmoja kujua majukumu yake yanaishia wapi na ya mwenzake yanaanzia wapi ili kurahisisha uendeshaji wa mashauri na kutoa haki kwa wakati.

Hata hivyo  Prof.Kabudi  ametahadharisha  kuwa 4R za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan zisitumike kama kivuli cha kuvunja sheria hivyo kuchochea uvunjifu wa amani nchini.
Amesema kuwa  Rais Dk. Samia amepanua wigo wa utendaji haki nchini ikiwemo kuimarisha amani katika nchi yetu hivyo ni vyema 4R hizo zikatumika vizuri katika utekelezaji majukumu yao.
“Maana ya 4R ni kutekeleza yanayotakiwa kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za vyombo vinavyohusika na kusisitiza uzingatiaji utekelezwe kwenye hilo na kutahadharisha isiwe kichaka cha kuvunja sheria.”amesema

Kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu  pamoja na uchaguzi mkuu mwakani Prof. Kabudi, ameziagiza Ofisi ya Taifa ya Mashtaka,TAKUKURU na Ofisi ya Upelelezi wa makosa ya Jinai kusimamia sheria ili uchaguzi huo uwe huru na wa haki.

“Navitaka vyombo vya upelelezi nchini kuhakikisha vinazingatia sheria na haki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba mwaka huu na uchaguzi Mkuu mwakani ili kudumisha umoja, amani na usalama wa nchi.”amesisitiza Prof.Kabudi

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Crispin Chalamila amesema kuwa kupitia utendaji wake ataendeleza ushirikiano katika mapambano dhidi ya rushwa.
Amesema  kuwa kwakuwa nchi inaenda kwenye uchaguzi Taasisi hiyo itahakikisha inasimamia sheria ili umoja na amani viendelee kudumu.

Naye Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Slyvester Mwakitalu, amesema kikao hicho ambacho kinakutanisha ofisi zinazounda utatu katika masuala ya haki jinai nchini lengo lake ni kujadili changamoto mbalimbali katika sekta hiyo pamoja na kuandaa mikakati ya kupata suluhu.

“Umoja wetu huu unajulikana kama Utatu lengo la kikao hichi ni hizi taasisi zetu tatu kukutana na kujadilina mambo mbalimbali ikiwemo changamoto zilizopo ambazo kwa namna moja au nyingine zinawanyika haki wananchi, kufanya tathimini ya mwaka mzima na kuweka mikakati ya mwaka ujao”amesema Mwakitalu

Awali Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhani Kingai, amesema kuwa utendaji kazi kwa ushirikiano umekuwa na manufaa makubwa hivyo kutoa rai kwa taasisi hizo kuimarishwa kwakuwa kazi hiyo haiwezi kufanywa na moja.

About the author

Alex Sonna