marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

imajbet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

interbahis

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

jojobet

holiganbet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

marsbahis

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

meritking

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

marsbahis

matbet

sekabet giriş

imajbet

pusulabet

herabet

herabet

Featured Kitaifa

BENKI KUU YATANGAZA KIWANGO CHA RIBA KUBAKI ASILIMIA SITA

Written by Alex Sonna

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT), Emannuel Tutuba,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya kamati ya fedha  leo Oktoba 3,2024 jijini Dodoma.

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT), Emannuel Tutuba,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya kamati ya fedha  leo Oktoba 3,2024 jijini Dodoma.

Waandishi wa habari wakimsikiliza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT), Emannuel Tutuba, wakati akitoa taarifa ya kamati ya fedha  leo Oktoba 3,2024 jijini Dodoma.

Waandishi wa habari wakimsikiliza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT), Emannuel Tutuba, wakati akitoa taarifa ya kamati ya fedha  leo Oktoba 3,2024 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

KAMATI  ya Sera ya Fedha (MPC) ya Bodi ya Wakurugenzi wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT), imeamua Riba ya Benki Kuu (CBR) kuendelea kuwa asilimia sita kwa robo mwaka itakayoishia Disemba 2024.

Hayo yamesemwa leo Oktoba 3,2024 jijini Dodoma  na Gavana wa BoT, Emannuel Tutuba,wakati akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa uamuzi huo ulitokana na matarajio ya mfumuko wa bei kuendelea kuwa chini ya lengo la nchi la asilimia tano huku kamati ikitarajia uchumi kuendelea kukua kwa kasi ya kuridhisha, kuimarika kwa mazingira ya kiuchumi duniani na  nchini.

“Uchumi wa dunia unatarajiwa kuendelea kukua sambamba na kuimarika kwa mazingira ya upatikanaji fedha, kutokana na hali hii, Shirika la Fedha Duniani (IMF) na Benki ya Dunia wanakadiria uchumi wa dunia kukua kwa asilimia 3.2 na asilimia 2.6, mtawalia, mwaka 2024. Mwenendo huu unatarajiwa kuchagiza shughuli za uzalishaji hapa nchini.

“Mfumuko wa bei unatarajiwa kuendelea kupungua, ikiwa ni matokeo ya utekelezaji wa sera ya fedha inayolenga kupunguza ongezeko la ukwasi sambamba na kupungua kwa bei za bidhaa katika soko la dunia, hususan mafuta na mbolea, kutokana na hali hii, benki kuu katika nchi nyingi zinatarajiwa kupunguza au kutokubadili riba zao za sera ya fedha,” amesema Tutuba

Aidha ameeleza kuwa , Benki kuu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zinatarajiwa kufuata mwenendo huu wa kisera, bei za bidhaa katika soko la dunia zimeendelea na zinatarajiwa kuendelea kuwa tulivu.

“Katika robo ya mwaka inayoishia Disemba 2024, bei za mafuta ghafi zinatarajiwa kuwa kati ya dola za Marekani 72 hadi 82 kwa pipa, kutokana na ongezeko la uzalishaji. Hali hii inatarajiwa kupunguza ongezeko la mfumuko wa bei na mahitaji ya fedha za kigeni nchini kwa kuwa bidhaa za mafuta huchangia takriban asilimia 20 ya bidhaa zote zinazoagizwa kutoka nje ya nchi,” 

Kamati pia ilitathmini utekelezaji wa sera ya fedha katika robo mwaka inayoishia Septemba 2024, pamoja na mwenendo na mwelekeo wa uchumi nchini, ilibaini kuwa utekelezaji wa sera ya fedha ulifanikiwa kuhakikisha mfumuko wa bei unabaki ndani ya lengo la asilimia tano.

Katika robo ya kwanza ya mwaka 2024, uchumi ulikua kwa asilimia 5.6, huku shughuli za ujenzi, kilimo, fedha na bima, na usafirishaji zikichangia kwa kiwango kikubwa  nchini, kwa  mujibu wa viashiria vya awali, uchumi unakadiriwa kukua kwa asilimia 5.8 na asilimia 5.6 katika robo ya pili na ya tatu ya mwaka 2024, mtawalia, na unatarajiwa kuendelea kukua katika viwango hivyo katika robo ya mwisho wa mwaka.

Ukuaji huu utachangiwa na kuendelea kuimarika kwa mazingira ya kiuchumi  nchini na duniani, kuendelea kuimarika kwa mazingira ya kiuchumi nchini kunatokana na maboresho katika biashara na uwekezaji, ikiwemo yanayoendelea kutekelezwa kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo.

Uzalishaji katika shughuli za kilimo unatarajiwa kuongezeka kwa kiwango kikubwa kutokana na matumizi ya pembejeo (mbolea na mbegu bora), viwatilifu na uwekezaji katika miradi ya umwagiliaji. Vilevile, shughuli za ujenzi na usafirishaji zinatarajiwa kuchochea kasi ya ukuaji wa uchumi.

Vilevile uchumi wa Zanzibar ulikua kwa asilimia 6.4 katika robo ya kwanza ya mwaka 2024, ukichochewa na shughuli za usafirishaji, fedha na bima, na ujenzi. ii. Mfumuko wa bei uliendelea kuwa tulivu, ndani ya lengo la nchi na vigezo vya mtangamano wa kiuchumi katika jumuiya za kikanda.

Mfumuko wa bei ulikuwa asilimia 3 na 3.1 Julai na Agosti, mwaka huu na unatarajiwa kuwa asilimia 3.2 katika robo ya nne ya mwaka 2024. Mfumuko wa bei unatarajiwa kuendelea kuwa tulivu, ukichangiwa na kupungua kwa bei za bidhaa katika soko la dunia, upatikanaji wa chakula cha kutosha na umeme wa uhakika, pamoja na utekelezaji wa sera madhubuti za fedha na kibajeti.

Kwa upande wa Zanzibar, mfumuko wa bei ulipungua hadi kufikia asilimia 5.1 kutokana na kushuka kwa bei bidhaa za chakula na zisizo za chakula, hata hivyo, migogoro ya kisiasa Ulaya Mashariki na Mashariki ya Kati inaweza kusababisha kuvurugika kwa mnyororo wa ugavi na kupelekea kuongezeka kwa bei za bidhaa katika soko la dunia.

Pia mikopo kwa sekta binafsi imeendelea kuongezeka kwa kasi ya kuridhisha ikiwa ni takriban asilimia 17.1 kwa kipindi cha Julai hadi Septemba, mwaka huu, sawa na ukuaji uliofikiwa katika kipindi cha Aprili hadi Juni Mwak huu.

Aidha, ubora wa rasilimali za benki uliendelea kuongezeka ambapo uwiano wa mikopo chechefu ulipungua hadi asilimia 3.9 mwezi Agosti mwaka huu, asilimia 5.1 katika mwezi kama huo mwaka 2023.

“ Mikopo kwa sekta binafsi inatarajiwa kuendelea kuongezeka, sambamba na kuimarika kwa uchumi wa dunia na wa hapa nchini, utekelezaji wa sera ya bajeti ulikuwa wa kuridhisha, ambapo mapato ya kodi yamevuka lengo, kufuatia kuimarika kwa usimamizi na kuongezeka ulipaji kodi kwa hiyari na Serikali imeendelea kupanga matumizi kulingana na mapato,” 

About the author

Alex Sonna