Featured Kitaifa

WAZIRI JAFO ATETA NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA

Written by mzalendoeditor


Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India Nchi Tanzania Mhe.Bishwadip Dey na ujumbe wake katika Ofisi ndogo ya Wizara Jijini Dar es Salaam.

Mazungumzo hayo yamejikita katika ushirikiano wa Kibiashara na uwekezaji baina ya Nchi hizo mbili.



About the author

mzalendoeditor