slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

imajbet

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

madridbet

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

Featured Kitaifa

RC MACHA AZINDUA BANGO LA KISWAHILI MRADI UJENZI BARABARA YA LAMI KAHAMA –BULYANHULU JCT- KAKOLA

Written by Alex Sonna
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha (aliyevaa miwani)akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha amezindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola  yenye urefu wa Km 73 ikiwa ni utekelezaji wa ushauri wake wa kuanza kutumia Lugha ya Kiswahili  katika Mabango  yote ya miradi ndani ya Mkoa wa Shinyanga.
 
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo uliofanyika leo Jumatatu Septemba 23,2024 Mhe. Macha amesema Lugha ya Kiswahili inatumiwa na wananchi wengi na  kwa kuwa miradi yote ni ya wananchi hivyo wanapaswa kuelewa nini kimeandikwa na nini kinatekelezwa na Serikali katika maeneo yao.
 
“Nawapongeza TANROADS kutayarisha na kuweka bango hili kwenye mradi wa ujenzi wa Kilometa 73 ya Kahama hadi Kakola kwa kiwango cha Lami ukaogharimu zaidi ya shilingi Bilioni 101 .2. Hili ni bango la Kwanza  kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili katika Mkoa wa Shinyanga. Naagiza pia kwenye maeneo mengine miradi sekta mbalimbali mabango yaandikwe kwa Lugha ya Kiswahili, hata kama mtaweka Bango la Kiingereza lakini pia muweke la Kiswahili kwani Lugha ya Kiswahili inajitosheleza kwa kila kitu”,ameeleza Mhe. Anamringi.

 

 

“Nawapongeza sana Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Shinyanga chini ya Mhandisi Samwel Joel Mwambungu kwa kuwa wa kwanza kutekeleza ushauri wangu wa kuanza kutumia Lugha ya Kiswahili katika mabango yote yanayoelezea miradi inayotekelezwa kwa wananchi ndani ya Mkoa wa Shinyanga, hongera sana Meneja Mhandisi Mwambungu,” amesema Mhe. Macha.
 
Ameeleza kuwa, kuanza kutumika kwa Lugha ya Kiswahili katika mabango ya miradi inasaidia wananchi kuelewa kinachoendelea katika miradi yote ya maendeleo kwa wananchi ambao ni wengi zaidi na ambao ndiyo wenye miradi hiyo  ikiwa  pia ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
 
“Kiswahili ni Lugha yetu, lazima tufaidike na maelezo ya Kiswahili katika miradi kwa sababu miradi mingi imeandikwa kwa Lugha ya Kiingereza tunataka wananchi waelewe kazi zinazofanywa na Serikali , waelewe miradi inahusu nini lakini pia huu ni utaratibu wa kuenzi, kutunza na kudumisha matumizi ya Lugha ya Kiswahili katika maeneo yote”,ameongeza Mhe. Macha.
 
Katika hatua nyingine ameeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa barabara ya Kahama – Kakola huku akiipongeza TANROADS Mkoa wa Shinyanga pamoja na Mkandarasi kwa namna walivyojipanga kuhakikisha mradi huo unatekelezwa kwa wakati na kwa viwango vinavyotakiwa.
 
“Nimeridhika na kasi mnayoendelea nayo, nimeona mitambo ni mingi, wito wangu hakikisheni mnaongeza kasi zaidi ili wananchi waanze kutumia barabara hii muhimu ambayo inaunganisha mkoa wa Geita na Shinyanga lakini pia inachangia kukuza uchumi wa mikoa hii nan chi kwa ujumla”,amesema Mhe. Macha.
 
Kwa upande Meneja Mradi wa ujenzi wa barabara hiyo kupitia Kampuni ya Ukandarasi ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) bw. Chen Yang amesema ujenzi unaendelea vizuri na mpaka sasa hawajapata changamoto yoyote huku akiahidi kukamilisha ujenzi ndani ya muda uliopangwa.

 

Shughuli za ujenzi zikiendelea katika Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
 

 

Meneja wa TANROADS Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Samwel Joel Mwambungu amesema barabara ya Kahama- Bulyanhulu JCT – Kakola yenye urefu wa Kilomita 73 ni barabara ya Mkoa inayounganisha Mji wa Kahama na Mgodi wa Dhahabu wa Barrick Bulyanhulu Gold Mine’ inajengwa kwa kiwango cha lami ikiwa ni moja ya mikakati ya serikali kuharakisha maendeleo ya uchumi na kijamii Mkoani Shinyanga.
 
Amesema ujenzi wa barabara hiyo unafadhiliwa kwa asilimia 100% na mgodi wa Barrick Bulyanhulu Gold Mine  kupitia Wizara ya Ujenzi na TANROADS inayosimamia utekelezaji ambapo Mkandarasi ni China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) mhandisi Mshauri ni TANROADS Engineering Consulting Unit (TECU) ukitekelezwa kwa gharama ya shilingi Bilioni 101.2 kazi ya ujenzi imeanza Juni 3,2024 ukitarajiwa kukamilika Septemba 4,2024.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola leo Jumatatu Septemba 23,2024 – – Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 

 

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola

 

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akisoma maandishi wakati akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola  
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha  akizungumza baada ya kuzindua Bango la Kwanza lililoandikwa kwa Lugha ya Kiswahili linaloelezea utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
 
 
Muonekano wa maandishi mabango  Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akizungumza wakati akikagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
eneja Mradi wa ujenzi wa barabara hiyo kupitia Kampuni ya Ukandarasi ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) bw. Chen Yang akizungumza wakati Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akikagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
Meneja wa TANROADS Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Samwel Joel Mwambungu akizungumza wakati Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akikagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
Meneja wa TANROADS Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Samwel Joel Mwambungu akizungumza wakati Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akikagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
Meneja wa TANROADS Mkoa wa Shinyanga Mhandisi Samwel Joel Mwambungu akizungumza wakati Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akikagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
Shughuli za ujenzi zikiendelea katika Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
Shughuli za ujenzi zikiendelea katika Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
Shughuli za ujenzi zikiendelea katika Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
Shughuli za ujenzi zikiendelea katika Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kahama – Bulyanhulu JCT- Kakola 
 
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

About the author

Alex Sonna