slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

casinoroyal

pusulabet giriş

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betgar, betgar giriş

betgar, betgar giriş

matbet, matbet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

betwoon giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

perabet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

bets10 giriş

tipobet

lunabet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu 2026

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

marsbahis, marsbahis giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

marsbahis

tipobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

galabet, galabet giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

betasus

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

meritking

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

holiganbet

matbet

marsbahis

pusulabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

holiganbet

Hacklink panel

matbet

kingroyal

matbet

matbet

Casibom

Featured Kitaifa

WMA YAHIMIZA USHIRIKIANO KUTOKA SEKTA BINAFSI

Written by Alex Sonna

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akizungumza na Wahariri pamoja na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali, Septemba 11, 2024 jijini Dar es Salaam.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akitoa elimu ya vipimo kwa Wahariri na Waandishi wa Habari wakati wa Mkutano ulioandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina na kufanyika jijini Dar es Salaam, Septemba 11, 2024.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akiwaonesha Wahariri na Waandishi wa Habari Tuzo ambayo Wakala hiyo ilitunukiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na kuwa miongoni mwa Taasisi zilizofanya vizuri katika utoaji gawio kwa Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024. Taswira hii ilichukuliwa wakati wa kikao kilichoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina na kufanyika jijini Dar es Salaam, Septemba 11, 2024.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla akifafanua kwa Wahariri na Waandishi wa Habari mojawapo ya majukumu ya Wakala hiyo ambayo ni kuhakiki Dira za Maji, wakati wa kikao kilichoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina na kufanyika jijini Dar es Salaam, Septemba 11, 2024.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla (kushoto) akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile (kulia) na Afisa Habari, Ofisi ya Msajili wa Hazina, Sabato Kosuri baada ya kikao baina ya WMA na Wahariri pamoja na Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari kilichofanyika Septemba 11, 2024 jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya Wahariri wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla (hayupo pichani) wakati wa kikao kilichoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina na kufanyika jijini Dar es Salaam, Septemba 11, 2024.

Mahamudu Jamal na Pendo Magambo, WMA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla ametoa wito kwa taasisi, asasi na mashirika binafsi kuimarisha ushirikiano na Wakala hiyo katika masuala yanayohusu vipimo kwa nyanja za biashara, afya, usalama na mazingira.

Kihulla ametoa wito huo leo Septemba 11, 2024 alipokuwa akizungumza na wahariri pamoja na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini katika mkutano ulioandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina, na kufanyika jijini Dar es Salaam.

Akitoa taarifa ya utendaji kazi, majukumu pamoja na mafanikio ya WMA, amesema kuwa kuna maeneo zaidi ya 17 ambayo sekta binafsi inaweza kushirikiana na WMA ili kuongeza tija katika sekta ya vipimo nchini.

Ametaja baadhi ya maeneo hayo ya kivipimo kuwa ni pamoja na ukaguzi na uhakiki wa mizani, uhakiki wa mitambo ya gesi, dira za maji zilizopo kwenye matumizi, mashine za michezo ya kubahatisha, lifti za majengo na maeneo mengine.

Akizungumzia Sheria inayoipa Mamlaka WMA kutekeleza majukumu yake, Mtendaji Mkuu amesema sheria hiyo ambayo msingi wake hasa ni vitabu vitakatifu vya dini Quran na Biblia, ni ya Usimamizi wa Vipimo Sura Namba 245 na 340 ya Mwaka 2002 ambayo inawatambua Maafisa Vipimo kama mainspekta wakati wanapotekeleza majukumu ya ukaguzi na uhakiki wa vipimo.

Amebainisha kuwa, jukumu kubwa la WMA ni kuilinda jamii ili kuepukana na madhara yatokanayo na matokeo ya upimaji usio sahihi katika biashara ambapo WMA inawajibika kukagua sehemu za biashara kama vile maduka ya kuuzia bidhaa mbalimbali, viwanda, maduka ya vifaa vya ujenzi, vituo vya kujazia mafuta na sehemu nyinginezo.

“Tunasisitiza kila mara kwa wananchi kuwa ukihisi kwamba umepimiwa visivyo sahihi katika sehemu uliyoenda kupata huduma, ni jukumu lako kutoa taarifa ili wataalamu wetu wakafanye uchunguzi eneo hilo.”

Aidha, ameongeza kuwa WMA inawajibika kuhakiki mzunguko mzima wa mafuta kuanzia yanapoingia nchini kupitia bandari, uhakiki wa matanki na maghala ya kuhifadhia mafuta ambapo Wakala hufanya shughuli hizo kupitia kitengo maalum cha Bandari “Port Unit”.

Sanjari na hayo, Kihulla ameweka wazi kuwa WMA ina mpango wa kuingia kwenye maeneo mapya ya uhakiki wa vipimo kama vile uhakiki wa gharama za vifurushi vya muda wa maongezi na mashine za michezo ya kubashiri (gaming).

Pia, kuendelea kutoa elimu kwa wananchi na wadau wa vipimo kuhusiana na matakwa ya sheria ya vipimo, kuendelea kuboresha mifumo ya utendaji kazi pamoja na kuwajengea uwezo zaidi wataalamu wake ikiwa ni kuwapa mafunzo zaidi na ununuzi wa vifaa vya kisasa.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameipongeza WMA kutokana na utendaji kazi wake na ameahidi ushirikiano wa vyombo vya habari na Wakala hiyo ili kuhakikisha elimu ya matumizi sahihi ya vipimo inawafikia wananchi kwa ukubwa wake.

“WMA mna nafasi ya kuufikia umma wa watanzania kwa kutumia vyombo vya habari kwenye kampeni hizi za kivipimo, elimu inahitajika sana, wananchi wanatakiwa kufahamu kwamba wanapaswa kuwa makini wanapokwenda kupata huduma mbalimbali, hii itachagiza maendeleo katika taifa letu” amesisitiza Balile.

WMA imeendelea kutoa elimu ya vipimo kwa wadau wake mbalimbali ambao ni pamoja na taasisi za umma na binafsi na pia kuwa mstari wa mbele katika kuchangia katika Pato la Taifa kupitia uwasilishaji wa gawio la Serikali kwa Msajili wa Hazina ambapo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024, ilitunukiwa Tuzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan.

About the author

Alex Sonna