Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

ultrabet

Mariobet

grandpashabet giriş

casibom

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

jojobet güncel giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

cratosroyalbet

jojobet

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

mobilbahis

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

artemisbet

kavbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

zirvebet

kavbet giriş

goldenbahis giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

mobilbahis

marsbahis giriş

Marsbahis

jojobet

meritking

trust score weak 3

pusulabet

Canlı Casino Siteleri

stake giriş

jojobet güncel

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

jojobet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

galabet giriş

galabet

betpas

1xbet giriş

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

superbetin

meritking

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

cratosroyalbet

stake

bets10 güncel giriş adresi

tempobet

jojobet giriş

perabet

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

alobet, alobet giriş

holiganbet

piabet

piabet

marsbahis

dental implants turkey

robinbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

teosbet

betgit

gameofbet

radissonbet

ibizabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

mavibet

meritking giriş

meritking

marsbahis

betsmove

betsmove

mavibet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet giriş

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

meritking

grandpashabet

Marsbahis

madridbet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

merit

bahsegel

bahsegel giriş

galabet

galabet giriş

sahabet giriş

meritking giriş

meritking

truvabet

betgaranti

betoffice

piabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

jojobet

klasbahis

jasminbet

stresser

free stresser

ip stresser

stresser test

free ip stresser

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas

betine

jojobet

Featured Kitaifa

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KATIKA SHERIA YA PPP

Written by mzalendo
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Prisca Kayombo, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura Na. 410, Sheria  ya Ubia  kati ya  Sekta ya  Umma na Sekta Binafsi,Sura NA. 103 na  Matumizi sahihi  ya Takwimu iliyohusisha Mikoa ya Simiyu, Shinyanga na Mara ulioandaliwa na Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.
Na: Josephine Majura, WF Simiyu
 
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Prisca Kayombo, amewataka Watanzania kuchangamkia fursa zilizoainishwa katika Sheria ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta ya Binafsi (PPP) ili kuweza kujikwamua kiuchumi kwa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla.
 
Bi. Kayombo alitoa rai hiyo mkoani Simiyu, wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango iliyojumuisha Mikoa ya Simiyu, Shinyanga na Mara yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha yaliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.
 
“Serikali iliona mapungufu katika Sheria ya Ubia Kati ya Serikali na Sekta ya Binafsi ndiyo maana imefanya marekebisho ambayo yanatoa fursa kwa Watanzania kushiriki katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini”, alisema Bi. Kayombo.
 
Alisema kuwa marekebisho ya Sheria hiyo yanatoa fursa kwa Watanzania kufanya uwekezaji nchini ili kusaidia uchumi wa Tanzania kuimarika na kuipunguzia Serikali matumizi ya fedha za kigeni kwa kuwalipa Wawekezaji wa nje ya nchi.
 
Akizungumzia suala la matumizi sahihi ya Takwimu, alisema kuwa Serikali ya Tanzania imekuwa ikiitumia Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kuandaa takwimu rasmi ambazo hutumiwa na Serikali kurahisisha kupanga bajeti na mipango ya kimaendeleo kwa wananchi wake.
 
Kwa upande wake Afisa Sheria Mkuu, Idara ya Sheria, Wizara ya Fedha, Bw. Paul Kimweri alisema kuwa Serikali inaendelea kutoa mafunzo ya kuwajengea uwezo Watendaji mbalimbali wa Serikali katika mikoa yote nchini.
 
Aliongeza kuwa kabla ya kufanyika kwa mkutano huo, ulitanguliwa na Mkutano wa ufunguzi uliofanywa na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ambao uliwahusisha Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na viongozi wengine wa Serikali mkoani Dodoma.
 
Naye mmoja wa washiriki wa mafunzo hayo ambaye ni Katibu Tawala Msaidizi sehemu ya Mipango na Uratibu Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga  m, Bw. Alex Mpasa, aliahidi kwenda kuzisimamia Mamlaka ya Serikali za Mitaa kuhakikisha  wanatekeleza Sheria  hizo kama  Sheria ilivyoelekeza.
 
Aliipongeza Wizara ya Fedha kwa kuona umuhimu wa kutoa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Mipango kwa kuwa mafunzo hayo waliyoyapata yatawasaidia kuwa na uelewa mpana wakati wa kutekeleza majukumu yao na kuwasaidia wengine ambao hawajapata mafunzo hayo.
 
Wizara ya Fedha inaendelea kutoa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Mipango nchi nzima katika mikoa ya Kikanda ikiwemo Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Pwani, Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Kusini, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Kanda ya Magharibi.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Prisca Kayombo, akizungumza wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura Na. 410, Sheria  ya Ubia  kati ya  Sekta ya  Umma na Sekta Binafsi,Sura NA. 103 na  Matumizi sahihi  ya Takwimu iliyohusisha Mikoa ya Simiyu, Shinyanga na Mara ulioandaliwa na Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.
Afisa Sheria Mkuu, Idara ya Sheria, Wizara ya Fedha Bw. Paul Kimweri, akimshukuru Katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu, Bi. Prisca Kayombo (katikati) ambaye alikuwa Mgeni Rasmi kwenye ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango iliyohusisha Mikoa ya Simiyu, Shinyanga na Mara. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Uchambuzi wa Miradi Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Bw. Alred Misana, ulioandaliwa na Wizara ya Fedha uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano m, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.
Mkuu wa Kitengo cha Uchambuzi wa Miradi Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi, Bw. Alred Misana, akitoa mada kuhusu Sheria  ya Ubia  kati ya  Sekta ya  Umma na Sekta Binafsi kwa Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango, iliyohusisha Mikoa ya Simiyu, Shinyanga na Mara, mafunzo yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha na kufanyika katika ukumbi wa Mikutano, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Simiyu.
Afisa Ugavi, Idara ya Sera ya Ununuzi wa Umma, Wizara ya Fedha, Bw. Raphael Chima, akifuatilia mada zilizowasilishwa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango iliyohusisha Mikoa ya Simiyu, Shinyanga na Mara uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu.
Baadhi ya Warishiki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakuu wa Idara ya Ununuzi na Wakuu wa Idara ya Mipango iliyohusisha Mikoa ya Simiyu, Shinyanga na Mara uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu, kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma, Sura Na. 410, Sheria  ya Ubia  kati ya  Sekta ya  Umma na Sekta Binafsi,Sura NA. 103 na  Matumizi sahihi  ya Takwimu ulioandaliwa na Wizara ya Fedha.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WF, Simiyu)

About the author

mzalendo