Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

perabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

WAZIRI DKT. GWAJIMA AFUNGUA MKUTANO WA WANAWAKE JESHI LA MAGEREZA

Written by mzalendo

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,akizungumza  wakati akifungua mkutano wa kwanza wa mtandao wa wanawake wa Jeshi la Magereza nchini, uliofanyika Septemba 02, 2024 jijini Dodoma.

Na WMJJWM, Dodoma

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema wanawake na wanaume wanategemeana katika kazi ili kuleta maendeleo endelevu.

Waziri Dkt. Gwajima amesema hayo wakati akifungua mkutano wa kwanza wa mtandao wa wanawake wa Jeshi la Magereza nchini, uliofanyika Septemba 02, 2024 jijini Dodoma.

Waziri Dkt. Gwajima amebainisha kwamba, hali hiyo ya kutegemeana inatokana na tofauti ya utekelezaji wa majukumu katika maeneo mbalimbali kati ya mwanamke na mwanaume ambapo husababisha wanawake kupewa msukumo wa kipekee katika kuhakikisha majukumu ya familia hayaathiri ushiriki wao katika nafasi za maamuzi na Ujenzi wa Taifa.

“Jambo hili linajulikana na Serikali hali iliyochochea kutungwa kwa Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia ya Mwaka 2023 inayotoa Dira ya usawa katika Nyanja zote za maendeleo ikiwemo elimu, afya, nafasi za maamuzi na Uchumi.” amesema Waziri Dkt. Gwajima.

Amesema Sera hiyo imeweka mazingira wezeshi kwa wanawake na wanaume katika kutekeleza majukumu yao kulingana na mahitaji ya kijinsia.

Aidha Waziri Dkt. Gwajima amemuomba Kamishna Jenerali wa Magereza kuangalia namna ya kujenga vyumba vya kunyonyeshea watoto mahali pa kazi katika miundombinu mipya ya Magereza, ikiwa ni mpango pia wa Serikali katika kusaidia afya za watoto na akina mama kupata utulivu ili kutekeleza majukumu yao.

Amebainisha kuwa kufurahishwa na uanzishwaji wa mtandao huo wa wanawake wa Jeshi la Magereza kuwa ni majibu ya matokeo ya kazi anazozifanya na Wizara anayoiongoza, hasa kwa namna gani Sera na Miongozo inayotolewa katika kufikia usawa wa kijinsia kwenye nyanja mbalimbali nchini zinatekelezwa kwa vitendo.

Kwa upande wake Kamishina wa Huduma za Urekebu na Mwenyekiti wa mtandao wa wanawake wa Jeshi la Magereza Taifa Bertha Minde amesema, baadhi ya malengo la mtandao huo ni kuongeza ufanisi wa kazi, kutambua mchango wa wanawake jeshini, kuleta usawa wa kijinsia katika utekelezaji wa majukumu na kusaidiana na jamii katika kupunguza uhalifu kwenye jamii.

Naye Makamu Mwenyekiti wa mtandao huo Sp Tekla Ngilangwa, akisoma risala ya mtandao huo, amebainisha kwamba Mtandao wa Wanawake wa Jeshi la Magereza ulioanzishwa mwaka 2018 ni sehemu ya utekelezaji wa maazimio ya Kikao cha Kamati ndogo ya Wakuu wa Magereza wa nchi za SADC uliofanyika Lusaka – Zambia mwaka 2011 ambapo kwa upande wa Jeshi la Magereza nchini, utekelezaji wa azimio hilo ilikuwa ni kuendeleza mikakati iliyopo kwenye Sera ya Maendeleo ya Wanawake iliyoanza kutumika mwaka 1992 na Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia ya mwaka 2000.

       

About the author

mzalendo