Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

kulisbet giriş

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

WATAALAMU WA MASUALA YA FEDHA WATAKIWA KUWAONDOLEWA CHANGAMOTO WANANCHI

Written by mzalendo
Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro, Bi. Ruth John akizungumza na Timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Fedha na washirika wa sekta ya fedha nchini walipofika ofisini kwake katika muendelezo wa utoaji elimu ya fedha kwa umma.
Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya akiwaeleza wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Mjini namna bora ya kuepukana na mikopo isiyo rasmi (mikopo umiza) wakati wa program maalum ya elimu ya fedha kwa umma iliyotolewa kwa wananchi hao katika ukumbi wa Mbaraka Mwinshee.
Afisa Sheria Mwandamizi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw Ramadhani Myonga akitoa mada kwa wananchi wa Halmashauri ya Morogoro Mjini wakati wa program maalum ya elimu ya fedha kwa umma iliyotolewa kwa wananchi wa Halmashauri hiyo.
Mratibu wa Mifuko na Program za Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kutoka Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi(NEEC), Bw. Samwel Shikona akiwaeleza wananchi wa Morogoro fursa mbalimbali  zinazopatikana kupitia Baraza hilo wakati wa program maalum ya elimu ya fedha kwa umma iliyotolewa kwa wananchi wa Halmashauri hiyo.
Afisa usafirishaji wa Mjini Morogoro Bw. Ramadhani Majanga akichangia mojawapo ya mada iliyotolewa kwenye program maalum ya elimu ya fedha kwa umma iliyotolewa kwa wananchi wa Halmashauri ya Morogoro Mjini katika ukumbi wa Mbaraka Mwinshee.
Wananchi wa Halmashauri ya Morogoro Mjini wakifuatilia mada mbalimbali zilizotolewa na wataalam wa masuala ya fedha kutoka Wizara ya Fedha na Washirika wa sekta ya fedha nchini katika ukumbi wa Mbaraka Mwinshee Mjini Morogoro.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha – Morogoro)
Na Ramadhani Kissimba
 
Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro, Bi. Ruth John amewaomba watalamu kutoka Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na sekta ya fedha nchini kutatua changamoto zinazowakabili wananchi hasa watumishi wa umma zinazotokana na upatikanaji wa huduma za fedha zisizo rasmi.
 
Bi. Ruth aliyasema hayo wakati Timu ya program maalum ya elimu ya fedha kwa umma kutoka Wizara ya Fedha na washirika kutoka sekta ya fedha nchini walipofika ofisini kwake kabla ya elimu hiyo kutolewa kwa wakazi wa Morogoro mjini.
 
Bi. Ruth alisema kuwa suala la mikopo isiyofuata taratibu limekuwa na changamoto nyingi sana sio kwa wajasiriamali pekee bali hata kwa Watumishi wa Umma hii inatokana na uhitaji wa fedha maana kila mtu ana uhitaji wake.
 
‘’Changamoto tunazipata sana hadi kwa watumishi wa umma hususan walimu ambao wanaingia kwenye changamoto hiyo kwa sababu kila mtu ana uhitaji wake, na anapopata shida haaangalii kitu gani kipo mbele yake ambacho kitamletea madhara’’ Alisema Bi. Ruth
 
Bi. Ruth aliongeza kuwa kumekuwa na watoa huduma wengi wanaotoza riba kubwa ambayo wakati mwingine inazidi kiasi cha mkopo na Taasisi nyingi kati ya hizo hazijasajiliwa na wakopeshaji wengine wanawakopesha wananchi majumbani ambapo ni kinyume na utaratibu.
 
Kwa upande mwingine akizungumza katika program hiyo iliyotelewa kwenye ukumbi wa Mbaraka Mwinshee Mjini Morogoro, Afisa Usimamizi wa Fedha kutoka Wizara ya Fedha, Bw. Stanley Kibakaya, alisema kuwa elimu ya fedha kwa umma ni matakwa ya Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha ambao unalenga kumlinda mlaji wa huduma ya fedha na mpango huo umetoa maelekezo ya utoaji elimu ya fedha nchini.
 
Bw. Kibakaya aliongeza kuwa mpango huo wa miaka 10 ambao utekelezaji wake umeanza mwaka 2020/21, Wizara imejiwekea malengo hadi kufikia mwaka 2025 kuhakikisha asilimia 80 ya wananchi wamepata uelewa wa masuala ya fedha na waweze kuzitumia vizuri fursa zinazopatikana katika sekta ya fedha nchini.
 
Aidha Bw. Kibakaya alisema kupitia mafunzo yaliyotolewa kwa wananchi wa Morogoro yatasaidia kwa watoa huduma ndogo za fedha na wanufaika wa huduma hizo kufuata sheria za huduma ndogo za fedha na kanunuzi zake kama zinavyoelekeza.
 
Serikali iliamua kutoa elimu ya fedha kwa wananchi baada ya kugundua kuwa kuna kundi kubwa la watanzania ambao hawafaidiki na huduma za fedha na hivyo kukosa fursa za kuboresha maisha yao kupitia shughuli mbalimbali za kiuchumi na hatimaye kuchangia katika kukuza pato la Taifa.
 

About the author

mzalendo