marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

telegram @seo_anomaly - seo backlinks, black-links, traffic boost, link indexing hacking

vdcasino

grandpashabet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

matbet, matbet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

ultrabet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

parobet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

vaycasino

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

kralbet

imajbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

casinomilyon

vdcasino

zirvebet

perabet

efesbet

pokerklas

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

madridbet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

marsbahis, marsbahis giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betsat

casibom

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

casibom

kralbet

en iyi slot siteleri

bets10 güncel giriş adresi

Featured Kitaifa

DKT.BITEKO AIPONGEZA EWURA KWA MWONGOZO WA USIMAMIZI WA USAFI WA MAZINGIRA NA TOPEKINYESI

Written by mzalendo
• Asisitiza Ushirikiano wa Wadau katika usafi wa Mazingira nchini
•Azitaka Mamlaka  kuweka mikakati  madhubuti ya usimamizi wa usafi wa mazingira
Na.Mwandishi Wetu-DODOMA
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe, Dkt. Doto Mashaka Biteko  ameipongeza Mamlaka  ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa kuandaa Mwongozo wa Usimamizi wa Usafi wa Mazingira na Topekinyesi unaolenga kujenga jamii yenye afya bora na mazingira salama kwa kizazi cha sasa na kijacho.
Katika hotuba ya Ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Usafi wa Mazingira,leo Agosti 20,2024 jijini Dodoma iliyosomwa kwa niaba yake na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. William Lukuvi,
“Naipongeza EWURA kwa kuja na mwongozo huu wa Kiswahili ambao unalenga kuziongoza mamlaka za majisafi na usafi wa mazingira kutoa huduma ya usimamizi wa tope kinyesi kwa wananchi walio nje ya mtandao wa majitaka.”
Aidha, Mhe Biteko, aliipongeza EWURA kwa kuboresha mfumo wa uwasilishaji taarifa za mamlaka hizo ( MajiS),ambao utatoa fursa ya kupata  takwimu sahihi zaidi kuhusu usafi wa mazingira zitakazosaidia mipango ya maendeleo hususan katika sekta ya maji, afya na mazingira.
Mwongozo huu unawalenga wadau  kama mamlaka za serikali za mitaa, sekta binafsi zinazotoa huduma ya usafi wa mazingira kwenye maeneo yasiyo na mtandao wa majitaka, wizara zenye dhamana, RUWASA na NEMC.
Taarifa ya EWURA ya utendaji wa mamlaka  hizo kwa mwaka 2022/23, inaonesha ni mamlaka 21 tu kati ya 85 sawa na asilimia 24.7 ndizo  zenye miundombinu ya kutibu majitaka na tope kinyesi kwa kipindi hicho.
Aidha, taarifa  za Wizara ya Maji zinaonesha hadi Aprili, 2024 mtandao wa majitaka nchini ulikuwa kilometa 1455.93 ikilingalishwa na kilometa 1416.9 za Aprili, 2023. Idadi ya maunganisho katika mtandao, usafirishaji na kutibu majitaka umefikia kilometa 58,650 kutoka 56, 923 kwa kipindi kama hicho kwa mwaka uliopita.
“Yatupasa kufahamu kuwa ajenda ya usafi wa mazingira ni mtambuka na ndio maana hata sera zetu za afya, maji na mazingira zote  zinasisitiza suala hili la usafi wa mazingira, nina Imani kongamano hili litaitendea haki ajenda ya usafi wa mazingira kwa kuja na mawazo chanya yenye lengo la kuboresha usafi wa mazingira nchini ili kuchochea maendeleo ya watu,” amesema
Naye, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso ameipongeza EWURA kwa kuwakutanisha wadau mbalimbali kujadili namna ya kuimarisha masuala ya usimamizi wa mazingira kwa kwamba  kuzinduliwa kwa mwongozo itazisaidia mamlaka za maji na wadau mbalimbali katika usimamizi wa huduma za usafi wa mazingira na tope kinyesi kuongeza ufanisi zaidi
Mhe. Aweso amezikumbusha Mamlaka za Maji nchini kuzingatia mwongozo huo ambao umeweka misingi,mipaka, wajibu na majukumu ya utoaji huduma za usimamizi wa tope kinyesi zinazofanywa na mamlaka hizo.
“Ni vyema mnyororo wa huduma za usafi wa mazingira kuanzia kukusanya, usafirishaji na matumizi ya tope kinyesi ukazingatiwa ili kulinda afya za wananchi,” amesema
Awali Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt. James Andilile, amesema kuwa  tathmini na tafiti zilizofanywa toka karne ya 19, zilibainisha kuwa watu wanapokaa kwenye mazingira safi, afya zinakuwa imara na ni njia ya kujikinga na magonjwa mengi.
“Tumeona tukusanyike na tutafakari na kupanga mikakati ya pamoja ya kuboresha usafi wa mazingira.”
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA, Victoria Elangwa alisema katika kongamano hilo kutakuwa na mawasilisho mbambali yatakayosaida wataalam kuchakata namna bora ya kutunza mazingira na kuahidi kwamba Bodi hiyo itayasimamia.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. William Lukuvi,akizungumza wakati akifungua kongamano la Kitaifa la Usafi wa Mazingira lililoandaliwa na  Mamlaka  ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)  kwa niaba ya Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe, Dkt. Doto Mashaka Biteko  leo Agosti 24,2024 jijini Dodoma.
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso,akizungumza wakati wa kongamano la Kitaifa la Usafi wa Mazingira lililoandaliwa na  Mamlaka  ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) lililofanyika leo Agosti 24,2024 jijini Dodoma.
KATIBU  Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Cyprian Luhemeja,akizungumza wakati wa kongamano la Kitaifa la Usafi wa Mazingira lililoandaliwa na  Mamlaka  ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) lililofanyika leo Agosti 24,2024 jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt. James Andilile,akizungumza wakati wa kongamano la Kitaifa la Usafi wa Mazingira lililoandaliwa na  Mamlaka  ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) lililofanyika leo Agosti 24,2024 jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) Ndg. Omar Ali Yussuf ,akizungumza wakati wa kongamano la Kitaifa la Usafi wa Mazingira lililoandaliwa na  Mamlaka  ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) lililofanyika leo Agosti 24,2024 jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe.William Lukuvi,akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt. James Andilile, wakati wa kongamano la Kitaifa la Usafi wa Mazingira lililoandaliwa na  Mamlaka  ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)  leo Agosti 24,2024 jijini Dodoma.
SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. William Lukuvi (hayupo pichani) wakati akisoma hotuba kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe, Dkt. Doto Mashaka Biteko  wakati wa kongamano la Kitaifa la Usafi wa Mazingira lililoandaliwa na  Mamlaka  ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)  leo Agosti 24,2024 jijini Dodoma.

About the author

mzalendo