Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet giriş

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

betmarino

kulisbet

maxwin, maxwin giriş

maxwin, maxwin giriş

deneme bonusu

casibom giriş

betwoon

paşacasino

interbahis

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

pusulabet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat güncel giriş

meritking

jojobet

pusulabet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

betpas

jojobet

timebet

jojobet

kavbet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

holiganbet güncel giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

maxwin

maxwin

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

betkolik

jojobet

casibom

jojobet

kalebet

casibom

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

avrupabet

jojobet

betpark

meritking giriş

vdcasino

jojobet

kingroyal

Featured Kitaifa

SERIKALI YATANGAZA SIKU YA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA 2024

Written by mzalendo

WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa,akizungumza  wakati akitoa tangazo la uchaguzi wa serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 lililoambatana na uzinduzi wa nembo itakayatumika kwenye uchaguzi pamoja na utolewaji wa muongozo wa uchaguzi huo,hafla iliyofanyika leo Agosti 15,2024 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Ndg. Juma Ali Khatibu,akizungumza  wakati wa kutangazwa kwa  tangazo la uchaguzi wa serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 lililoambatana na uzinduzi wa nembo itakayatumika kwenye uchaguzi pamoja na utolewaji wa muongozo wa uchaguzi huo,hafla iliyofanyika leo Agosti 15,2024 jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Wakuu wa Mikoa  Mhe.Martin Shigella,akizungumza  wakatiwa kutangazwa kwa  tangazo la uchaguzi wa serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 lililoambatana na uzinduzi wa nembo itakayatumika kwenye uchaguzi pamoja na utolewaji wa muongozo wa uchaguzi huo,hafla iliyofanyika leo Agosti 15,2024 jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa (hayupo pichani) ,akizungumza  wakati akitoa tangazo la uchaguzi wa serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 lililoambatana na uzinduzi wa nembo itakayatumika kwenye uchaguzi pamoja na utolewaji wa muongozo wa uchaguzi huo,hafla iliyofanyika leo Agosti 15,2024 jijini Dodoma.


WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa,akizindua nembo itakayatumika kwenye uchaguzi wa serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 ,hafla iliyofanyika leo Agosti 15,2024 jijini Dodoma.

WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutoa  tangazo la uchaguzi wa serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 lililoambatana na uzinduzi wa nembo itakayatumika kwenye uchaguzi pamoja na utolewaji wa muongozo wa uchaguzi huo,hafla iliyofanyika leo Agosti 15,2024 jijini Dodoma.

Na.Gideon Gregory -DODOMA

SERIKALI imetangaza Novemba 27 mwaka huu kuwa siku rasmi ambayo uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika na Upigaji wa kura utaanza saa mbili kamili asubuhi na kumalizika saa kumi kamili jioni.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohammed Mchengerwa,ametangaza   tarehe rasmi ya uchaguzi huo leo Agosti 15,2024 jijini Dodoma, mbele ya viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa na wadau wengine wa maendeleo.

“Nafasi zitakazogombewa katika uchaguzi huu ni Mwenyekiti wa kijiji, wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji (kundi mchanganyiko la wanaume na wanawake), wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji (kundi la wanawake) na wenyeviti wa vitongoji katika Mamlaka za Wilaya.Kwa nafasi hizo,uchaguzi utaendeshwa kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za Mwaka
2024 (Tangazo la Serikali Na. 571 la Mwaka 2024), nyingine ni Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Miji Midogo.

Kwa nafasi hiyo, uchaguzi utaendeshwa kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Miji Midogo za Mwaka 2024 (Tangazo la Serikali Na. 572 la Mwaka 2024),

Nakuongeza kuwa “nafasi nyingine ni Mwenyekiti wa kijiji, wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji (kundi mchanganyiko la wanaume na wanawake), wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji (kundi la wanawake) na wenyeviti wa vitongoji katika Mamlaka za Miji.

Kwa nafasi hizo, uchaguzi utaendeshwa kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024 (Tangazo la Serikali Na.573 la Mwaka 2024) na Mwenyekiti wa mtaa na wajumbe wa kamati ya mtaa (Kundi Mchanganyiko la Wanaume na Wanawake) na wajumbe wa kamati ya mtaa (Kundi la Wanawake) katika Mamlaka za Miji.

Kwa nafasi hizo, uchaguzi utaendeshwa kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024 (Tangazo la Serikali Na. 574 la Mwaka 2024), ” ameeleza Mchengerwa

Aidha, katika hatua nyingine Mchengerwa amezitaka Taasisi zinazotaka kutoa elimu ya mpiga kura kufanya maombi maalumu kupitia kwa Katibu Mkuu wa ofisi ya Rais TAMISEMI ili wapate kibali cha kutoa elimu hiyo kwa kuzingatia miongozo iliyotolewa.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Ndg. Juma Ali Khatibu amesema wao kama Baraza la Vyama vya Siasa hawategemei kuona migogoro baada ya Uchaguzi kwani kuna maisha mengine yataendelea baada ya Uchaguzi.

Pia ametoa wito kwa watendaji wa TAMISEMI watakaohusika katika usimamizi wa mchakato wa uchaguzi huo kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa haki na weledi na kuzingatia Taaluma zao na misingi ya Haki ili kutimiza zile 4R za Rais Samia.

Naye Mwenyekiti wa Wakuu wa Mikoa Martin Shigella amesema ushiriki wa Viongozi wa vyama vya siasa katika mchakato wa leo unakwenda kuongeza hari na hamasa kwa wananchi kushiriki katika uchaguzi huo.


“Hata sisi kule mikoani tuna viongozi wa vyama vya siasa na tunashirikiana nao Sana katika kuhakikisha uchaguzi huu una kuwa wa haki na uhuru ili kuhakikisha wanapatikana viongozi bora ambao watatanguliza maslahi ya Taifa mbele,” ameeleza Shigella

Kampeni za UCHAGUZI wa serikali za mitaa 2024 zitafanyika siku saba kabla ya siku ya uchaguzi. Aidha, Kanuni zinaelekeza, kila Chama cha Siasa kinachoshiriki uchaguzi kitawasilisha ratiba yake ya mikutano ya kampeni ya uchaguzi kwa Msimamizi wa Uchaguzi si chini ya siku saba kabla ya kuanza kwa kampeni.

About the author

mzalendo