Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betpark güncel giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betpark

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ATETA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA – HAVANA

Written by mzalendo

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes  Mesa kabla ya mazungumzo yaliyofanyika Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes  Mesa, Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake (kushoto) akizungumza na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes  Mesa, Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024 . Kulia kwa Waziri Mkuu ni Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi  Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes  Mesa zawadi ya picha inayoonyesha nyumbu wanaovuka mto Mara kaaika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, baada ya mazungumzo yaliyofanyika Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes  Mesa, Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024.  Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA

*Aahidi kuendeleza ushirikiano baina ya nchi hizo.

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali za Tanzania na Cuba zitaendelea kushirikiana katika sekta za Elimu, Afya, Kilimo, Utalii na Masuala ya Teknolojia. 

 Ameeleza hayo baada ya mazungumzo na  Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa yaliyofanyika Revolutionary Square, Havana nchini  Agosti 13, 2024.

Mheshimiwa Majaliwa ambaye yuko nchini Cuba kwa Ziara Maalum ya siku mbili kwa ajili ya kuboresha mahusiano baina ya Tanzania Cuba, amesema kuwa Wizara za Elimu za Tanzania na Cuba zinaendelea kutekeleza makubaliano ya muda mrefu ambapo Watanzania wengi wamesoma na wanaendelea kusomea udaktari nchini Cuba.

Aidha, ameeleza kuwa Wizara ya Afya Tanzania imekuwa ikiwaalika Madaktari Bingwa kutoka Cuba  kuja Tanzania  kushirkiana na  Madaktari wa Kitanzania kutoa huduma ya matibabu ya kibingwa kwa Watanzania katika maeneo mbalimbali nchini.

“Tumeshuhudia mara kadhaa Madaktari kutoka Cuba wakija Tanzania  kufanya kazi katika hospitali  kama vile Muhimbili, Mloganzila, Bugando, KCMC na Dodoma na wakati wote wamefanya kazi zao kwa bidii na uzalendo. Nimemuhakikishia Mheshimiwa Makamu wa Rais kuwa tuendelea kuuenzi ushirikiano huo wa kidugu”

Kuhusu Sekta ya Utalii, Waziri Mkuu amesema Tanzania inayo mengi ya kujifunza kutoka Cuba kwani nchi hiyo imefanikiwa sana kukuza utalii wa fukwe baada ya kuwa imejenga hoteli za kitalii, miundombinu ya barabara, viwanja vya ndege na kuwa na utaratibu mzuri wa magari ya kubeba watalii.

“Wacuba wanapokea watalii wengi sana, upo umuhimu mkubwa kwetu kujifunza mbinu wanazotumia  kuvutia watalii wengi kutoka sehemu mabalimbali duniani.”

Vilevile katika kikao hicho, suala la kukuza lugha ya Kiswahili lilijadiliwa ambapo Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba ukiongozwa na Balozi Humphrey Polepole umejitwika jukumu la kusimamia mchakato mzima wa kufundisha na kuifanya lugha ya Kiswahili izungumzwe na kusambaa nchini Cuba  na katika nchi za Latin Amerika.

“Hivi sasa Kiswahili kinafundishwa katika Vyuo Vikuu nchini Cuba na wanachuo wengi wanajitokeza kujifunza”

Naye Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole amesema ziara ya Waziri Mkuu nchini Cuba imekusudia  kukuza uhusiano wa kisiasa, kiuchumi, kibayoyotekinolojia na  katika  maeneo ya taaluma kwa faida ya nchi mbili hizo. 

Kuhusu Kiswahili, Balozi Polepole amesema kuwa Waziri Mkuu ameuelekeza ubalozi wa Tanzania nchini Cuba kuwa uendelee na maandalizi  ya Kongamano la Kimataifa la Kiswahili linalotarajiwa kufanyika Havana nchini Cuba Novemba 7-9, 2024. Mgeni rasmi katika Kongamano hilo anatarajiwa kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

About the author

mzalendo