Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

meritbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

Featured Michezo

MAJALIWA:ENDELEENI KUWAHAMASISHA WANANCHI WAEPUKE TABIA ZEMBE

Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi walioshiriiki katika mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika jijini Dodoma. Julai 28, 2024.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

……….

WAZIRI Mkuu  Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Afya iendelee kuwahamasisha wananchi wabadili mitindo ya maisha ili kuepuka tabia zembe zinazochochea ongezeko la magonjwa yasiyoambukizwa.

“Wizara ya Afya iendelee kushirikiana na wadau kuhamasisha Watanzania kubadili mwenendo wa maisha kwa kuepuka tabia zembe zinazochochea ongezeko la magonjwa yasiyoambukizwa. Tuendelee kuzingatia mazoezi ili kuimarisha afya zetu na kuipunguzia Serikali mzigo wa kugharamia tiba ya magonjwa yasiyoambukizwa,” amesema.

Akizungumza na viongozi, wananchi na wadau mbalimbali walioshiriki mbio za NBC Dodoma Marathon za mwaka 2024 kabla ya kutoa tuzo na zawadi kwenye uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma, leo (Jumapili, Julai 28, 2024), Waziri Mkuu amesema takwimu za Wizara ya Afya zinaonesha kuwa idadi ya watu wenye magonjwa yasiyoambukiza imeongezeka.

Amesema magonjwa yasiyoambukiza ambayo yanaongoza nchini ni pamoja na kisukari, moyo, figo na afya ya akili na akatumia fursa hiyo kuwapongeza wananchi walioshiriki mbio za hisani za NBC Dodoma Marathon za mwaka 2024. “Kujitokeza kwenu kwa wingi leo, maana yake ni kwamba mmetambua kuwa kukaa bwete ni kukaribisha magonjwa yasiyoambukiza,” amesisitiza.

Waziri Mkuu pia ameitaka Benki ya NBC iendelee kuweka mikakati ya kuhakikisha mashindano hayo yanakuwa endelevu na yanaendelea kugusa maisha ya Watanzania wengi zaidi.

Vilevile, amezitaka taasisi na asasi zisizo za Serikali zijitokeze kuunga mkono jitihada za Serikali kwa kuandaa matukio kama hayo ili wananchi waanze kuzoea kufanya mazoezi. “Tulishatoa maelekezo kwa Waheshimiwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya ili wawakusanye wananchi na kufanya mazoezi kama hivi,” amesema.

Amesema Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuhakikisha ustawi na afya ya mtoto zikiwemo kutekeleza Mpango wa Mama Samia Mentorship ambao ni mahsusi kwa utoaji mafunzo ya muda mfupi kazini kwa madaktari bingwa na wakunga. “Hadi kufikia Juni 2024, halmashauri 184 zilishafikiwa na mpango huo na idadi ya wanufaika ni watumishi 4,796,” amesema. 

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma alisema benki ya NBC ni wadau wakubwa katika sekta ya michezo kwa kudhamini ligi ya soka ya Tanzania yaani NBC Premier League, kamati ya hamasa inayochangia timu za Taifa na pia ni wadau wakubwa katika mfuko wa utamaduni wenye lengo la kukopesha miradi ya kazi za sanaa nchini. Pia wanaendesha marathon ambayo fedha zake hutumika kuchangia huduma za afya

Amesema kuwa mbali na mbio hizo kutumika kuimarisha afya na kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza, pia zinatumika kama sehemu ya kuibua vipaji kwa wanamichezo hasa wanariadha ambao wamekuwa wakitumika katika michezo mbalimbali ya kitaifa na kimataifa.

Mapema, akitoa taarifa kuhusu mbio hizo, Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi, alisema hii ni mara ya tano kwa mbio hizo kufanyika Dodoma huku lengo likiwa ni kutangaza utalii wa Dodoma.

Alisema kwa mara ya kwanza mbio hizo zilifanyika Novemba 11, 2020 zikiwa na washiriki 1,944 na waliweza kukusanya sh. milioni 100 lakini mwaka huu zimeweza kupata washiriki 8,000 ambapo wameweza kukusanya sh. milioni 300.

Amesema makusanyo ya mwaka huu yatatumika kwenye ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa taaluma ya ukunga kwa kushirikiana na Taasisi ya Benjamin Mkapa; pia watasaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake ambayo itakabidhiwa kwa taasisi ya Saratani ya Ocean Road.

“Pia fedha nyingine itatumika kuchangia ujenzi wa chumba cha upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,” alisema.

Washiriki wa mbio hizo walikuwa ni wa km.5, km.10, km.21 na km.42

About the author

mzalendo