slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

holiganbet giriş

NervEase

https://r10.net/

hardcore porn

https://r10.net

pusulabet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

galabet

betasus

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

marsbahis

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

perabet giriş

klasbahis

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

rinabet, rinabet giriş

aresbet, aresbet giriş

alobet, alobet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

jojobet

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

royalbet

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

jojobet

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet güncel giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

norabahis

madridbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

betpark giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

jojobet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

mislibet giriş

artemisbet

kavbet

kavbet

artemisbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

jojobet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

superbetin

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

imajbet

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

royalbet giriş

jojobet

bets10

bets10

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli giriş

slot siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

casibom

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

grandpashabet

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

casibom giriş

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

casibom

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

royalbet

tarafbet

güvenilir slot siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

lunabet

betgar, betgar giriş

grandpashabet

lunabet

lunabet

casibom

dental implants turkey

where to buy fentanyl canada

meritking

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

holiganbet giriş

holiganbet

deneme bonusu

grandpashabet

pusulabet

matbet

vdcasino giriş

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

Hacklink panel

Casibom

holiganbet

grandpashabet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

pusulabet

Featured Kitaifa

WORLD VISION TANZANIA, KIVULINI WATOA ELIMU YA LISHE, AFYA NA UKATILI WA KIJINSIA

Written by Alex Sonna
Afisa Lishe Shirika la World Vision Tanzania Jane Mushi akitoa elimu kuhusu masuala ya lishe wakati wa maadhimisho ya wiki ya afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga
Meneja wa Mradi wa GROW ENRICH (Wilaya ya Kishapu na Shinyanga) kutoka World Vision Tanzania, Shukrani Dickson akitoa elimu kuhusu masuala ya lishe na afya wakati wa maadhimisho ya wiki ya afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga katika uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga Mjini
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Shirika la World Vision Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la KIVULINI limeshiriki Maadhimisho ya Wiki ya Afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga kwa kutoa elimu kwa wananchi kuhusu masuala ya lishe na afya na madhara ya ukatili wa kijinsia.
 
Maadhimisho ya Wiki ya Afya Mkoa wa Shinyanga yamefanyika katika uwanja wa CCM Kambarage Mjini S kuanzia Julai 24 – 27,2024 yakiratibiwa na Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwa kushirikiana na wadau wa afya.
Muonekano wa sehemu ya makundi 6 ya chakula ikiwamo nafaka, vyakula vya asili ya Wanyama, vyakula jamii ya mikunde, matunda, mbogamboga na kundi la sita ni sukari , asali na mafuta.
 
 
Meneja wa Mradi wa GROW ENRICH (Wilaya ya Kishapu na Shinyanga) kutoka World Vision Tanzania, Shukrani Dickson amesema wametumia maadhimisho hayo kutoa elimu kwa wananchi kuhusu masuala ya lishe na afya na kutetea haki na kupinga ukatili wa kijinsia.
 
“Sisi World Vision Tanzania tunafanya kazi katika wilaya ya Kishapu na Shinyanga tunashughulika na masuala ya lishe na afya na kutetea haki na kupinga ukatili wa kijinsia”,amesema Shukrani.
 
Amesema katika Mkoa wa Shinyanga, Shirika la World Vision lina miradi katika wilaya za Shinyanga, Kishapu na Kahama likishirikiana na serikali na jamii kutoa huduma za jamii.
 
Ameitaja miradi hiyo kuwa ni Mpango wa Eneo Kilago uliopo Kahama, Mpango wa eneo Mwakipoya, Mpango wa eneo Lagana, Mradi wa NOURISH katika wilaya ya Kishapu na Mradi wa GROW ENRICH unaofanya kazi katika wilaya ya Kishapu na Shinyanga.
 

 

Shukrani amesema mradi wa GROW ENRICH unafadhiliwa na nchi ya Ujerumani na NOURISH unafadhiliwa na nchi ya Ireland na kwamba Miradi hiyo inafanya kazi ya kuboresha lishe, afya ya mama na mtoto, afya ya uzazi kwa vijana balehe katika wilaya za Kishapu na Shinyanga kwa kushirikiana na Shirika la KIVULINI.

 

 

Meneja wa Mradi wa GROW ENRICH kutoka World Vision Tanzania, Shukrani Dickson.

 

Katika hatua nyingine, Shukrani ameeleza kuwa World Vision imejikita kufanya kazi na watoto, familia na jamii ili kupambana na umaskini na ukosefu wa haki limeendelea kuishirikisha jamii katika uboreshaji wa huduma kupitia miradi mbalimbali ya afya, lishe, elimu, uzalishaji mali na utetezi wa kijinsia ili kuhakikisha kuna ustawi wa mtoto.
 
Kwa upande wake Afisa Lishe Shirika la World Vision Tanzania Jane Mushi amesema wametoa elimu kwa jamii kuhusu masuala ya lishe baada ya kuona tatizo lililopo kwa mkoa wa Shinyanga kwamba chakula kipo lakini kuna ukosefu wa elimu kuhusu chakula gani wanatakiwa wale, wale vipi na kwa wakati gani.
 
“Mezani kwetu hapa tumeona baadhi ya vyakula kuwakilisha makundi 6 ya chakula ikiwamo nafaka, vyakula vya asili ya Wanyama, vyakula jamii ya mikunde, matunda, mbogamboga na kundi la sita ni sukari ,asali na mafuta , makundi haya sita yanatuletea mlo kamili”,amesema Mushi.
 
“Kwa hiyo tunahimiza wanajamii kutumia vyakula vinavyojumuisha makundi haya sita ya chakula ili kuhakikisha afya zetu zinakuwa bora na kupunguza tatizo la utapiamlo”,ameongeza Mushi.
 
Naye Jane Sologo kutoka Shirika la KIVULINI amesema wametumia maadhimisho hayo kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa kuhamasisha jamii kuepukana na vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Meneja wa Mradi wa GROW ENRICH (Wilaya ya Kishapu na Shinyanga) kutoka World Vision Tanzania, Shukrani Dickson akitoa elimu kuhusu masuala ya lishe na afya wakati wa maadhimisho ya wiki ya afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga katika uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga Mjini- Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Meneja wa Mradi wa GROW ENRICH (Wilaya ya Kishapu na Shinyanga) kutoka World Vision Tanzania, Shukrani Dickson akitoa elimu kuhusu masuala ya lishe na afya wakati wa maadhimisho ya wiki ya afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga katika uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga Mjini
Afisa Lishe Shirika la World Vision Tanzania Jane Mushi akitoa elimu kuhusu masuala ya lishe wakati wa maadhimisho ya wiki ya afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga
Afisa Lishe Shirika la World Vision Tanzania Jane Mushi akitoa elimu kuhusu masuala ya lishe wakati wa maadhimisho ya wiki ya afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga
Afisa Lishe Shirika la World Vision Tanzania Jane Mushi akitoa elimu kuhusu masuala ya lishe wakati wa maadhimisho ya wiki ya afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga
Jane Sologo kutoka Shirika la KIVULINI akitoa elimu ya madhara ya ukatili wa kijinsia wakati wa maadhimisho ya wiki ya afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga
Jane Sologo kutoka Shirika la KIVULINI akitoa elimu ya madhara ya ukatili wa kijinsia wakati wa maadhimisho ya wiki ya afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga
Jane Sologo kutoka Shirika la KIVULINI akitoa elimu ya madhara ya ukatili wa kijinsia wakati wa maadhimisho ya wiki ya afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga
Elimu ya lishe na afya ikiendelea kutolewa wakati wa maadhimisho ya wiki ya afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga
Wafanyakazi wa Shirika la World Vision Tanzania na Shirika la KIVULINI wakiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga
Wafanyakazi wa Shirika la World Vision Tanzania na Shirika la KIVULINI wakiwa kwenye maadhimisho ya wiki ya afya ‘Afya Code Clinic’ Mkoa wa Shinyanga

About the author

Alex Sonna