Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

tarafbet

holiganbet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

holiganbet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

Featured Kitaifa

PROF. SHEMDOE: MAAZIMIO YA MKUTANO WA KIMATAIFA WA SAYANSI WA TAASISI YA NELSON MANDELA YAWEKWE KATIKA   DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO  2050.

Written by mzalendo

 

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe akiongea na washiriki wa  Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Upeo wa Kitropiki Uendelevu wa kilimo, mazingira na teknolojia ulioandaliwa na Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano huo Julai 17,2024 katika Hoteli ya Mount Meru Arusha.

Washiriki Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Upeo wa Kitropiki Uendelevu wa kilimo, mazingira na teknolojia ulioandaliwa na Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela ambao ni Watafiti na Wanataaluma wa masuala ya kilimo,mazingira na teknolojia wakimsikiliza mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa mkutano huo Julai 17,2024 katika Hoteli ya Mount Meru Arusha.

 Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe(Katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa  Mkutano Mkuu wa Kimataifa wa Upeo wa Kitropiki Uendelevu wa kilimo, mazingira na teknolojia ulioandaliwa na Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela.

…….

Na.Mwandishi Wetu _Arusha

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe amewataka washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Sayansi wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela wenye kauli mbiu ya Uendelevu wa kilimo, mazingira na teknolojia kuhakikisha maazimio ya mkutano huo yanaingia katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kuleta matokeo chanya katika  kilimo, mazingira na teknolojia nchini. 

Prof. Shemdoe ameyasema hayo Julai 17, 2024 wakati akifungua mkutano huo wa siku tatu katika Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha, uliowakutanisha wadau na wataalamu wa sekta hizo kutoka ndani na nje ya nchi, lengo ikiwa ni kujadili matokeo ya tafiti za kilimo, mazingira na teknolojia ili kuendeleza sekta hizo.

 “Kupitia maazimio ya mkutano huu wa kujadili matokeo ya tafiti zilizofanyika  yatasaidi na kuwawezesha watunga sera, kutunga sera zenye kuleta mabadiliko kwa ajili kuleta  maendeleo kwa mwananchi mmoja mmoja na kukuza uchumi wa nchi” amesema Prof. Shemdoe.

Kwa upande wake Naibu Makamu Mkuu wa Taasisi upande wa Taaluma, Utafiti na Ubunifu Prof. Anthony Mshandete kwa niaba ya Makamu Mkuu wa Taasisi ameeleza kuwa, maazimio ya mkutano huo yatagusa nyanja mbalimbali ikiwemo viwanda, wakulima na wadau wa mazingira ili kutoka na andiko litakalotoa mchango wa namna ya kuendeleza kilimo, utunzaji mazingira na matumizi ya teknolojia katika dira ya taifa ya 2050 ili kuvirithisha vizazi vijavyo.

Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano huo ambaye ni Profesa Mshiriki katika Taasisi hiyo Prof. Linus Munishi ameeleza kuwa, mkutano huo ni wa kwanza kufanyika, lengo ikiwa ni kutoa matokeo ya utafiti kutoka kwa wataalamu kwa ajili ya wadau ili kuweza kutatua changamoto zitokanazo na maendeleo ya kijamii, kiuchumi na utunzaji wa mazingira.

Mkutano wa Kimataifa wa Sayansi wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela umefanyika kwa mara ya kwanza ukihusisha wadau wa sekta mbalimbali za kitaaluma kwa kushirikisha wadau wa kilimo, mazingira na teknolojia ili kwa pamoja kuweza kuunganisha matokeo ya kiutafiti kwa kuyaweka katika machapisho yatakayosomwa na wadau wa maendeleo katika kutatua changamoto zinazowakabili.

About the author

mzalendo