Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI IBADA JIMBONI KIGOMA

Written by mzalendo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakishiriki Ibada ya Asubuhi ya kawaida katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mshindaji Jimbo Kuu Katoliki Kigoma tarehe 13 Julai 2024.

About the author

mzalendo