Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU AWAJULIA HALI WAGONJWA MUHIMBILI

Written by mzalendo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Felista Swebe, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam kwa matibabu, wakati alipokwenda katika hospitali hiyo kuwajulia wagonjwa, Julai 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Rose Job, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam kwa matibabu, wakati alipokwenda katika hospitali hiyo kuwajulia wagonjwa, Julai 10.2024. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohammed Janabi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Rose Job, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam kwa matibabu, wakati alipokwenda katika hospitali hiyo kuwajulia wagonjwa, Julai 10.2024. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa  Mohammed Janabi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Mama Mwakalukwa Mateu, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam kwa matibabu, wakati alipokwenda katika hospitali hiyo kuwajulia wagonjwa, Julai 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Shinuna Suleiman, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam kwa matibabu, wakati alipokwenda katika hospitali hiyo kuwajulia wagonjwa, Julai 10.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendo