Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet

robinbet

robinbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

betwoon

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

avrupabet giriş

kingroyal

avrupabet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

padişahbet giriş

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet giriş

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

imajbet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

imajbet

betface

betface

imajbet giriş

casibom

Featured Kitaifa

JAFO AHIMIZA SEKTA YA VIWANDA KUUNGWA MKONO KUFANIKISHA JITIHADA ZA RAIS KATIKA UWEKEZAJI WA VIWANDA NCHINI

Written by mzalendo

WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Dkt. Selemani Jafo,akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi wa Kiufundi wa Kiwanda cha Intracom , Mhandisi Victor Ngendazi (aliyeshika Maiki) wakati akikagua maendeleo ya  Kiwanda ya cha Intracom kilichopo Nala jijini Dodoma Jana Julai 8,2024.

Na Alex Sonna, DODOMA
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo ameonesha kutofurahishwa na kiwango kidogo cha watanzania kutumia mbolea ya Kiwanda ya cha Intracom kilichopo Nala jijini Dodoma ambacho kimetokana na matunda  ya ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa nchini Burundi.
Akizungumza leo Julai 8, 2024 alipofanya ziara kwenye kiwanda hicho, Waziri Jafo amesema kina uwezo wa  kuzalisha tani milioni Moja kwa Mwaka na mahitaji ya Mbolea kwa mujibu wa wizara ya kilimo ni tani 700,000 na kwamba kiwango kilichozalishwa kwasasa takwimu kinaonesha kiwango kidogo kimeuzwa nchini.
“Kwenye taarifa nimeona kuna uzalishaji uliofanyika wa tani 76000 na kati ya hizo tani 60,000 ziliuzwa na zilizouzwa hapa nchini pekee ni tani 4000, sijafurahishwa na hali hii kama Rais amehangaika hadi kuleta kiwanda hiki nchini Mimi nikiwa Waziri wa Viwanda sitakubali hata kidogo juhudi zake zipotee,”amesema.
Dkt. Jafo ameongeza kwa “Sijafurahishwa na mwenendo huu, tunafanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya kilimo Rais ameongeza bajeti ya kilimo kutoka Sh.Bilioni 294 hadi Sh.Trilioni 1.2 ni wazi Rais ana matamanio makubwa sana, niwaombe watanzania kutumia mbolea ya kiwanda hichi,”amesema.
Amebainisha kuwa  kiwanda hicho kwasasa tayari uwekezaji wake ni zaidi ya Sh.Bilioni 500 na ujenzi bado unaendelea maeneo mengine na inatarajiwa uwekezaji uwe zaidi ya Sh.Trilioni moja.
Amesema matumizi ya Mbolea nchini yanapaswa kuendana na uzalishaji uliopo kwasasa.
“Kiwanda kwasasa kina waajiriwa 907 na zaidi ya 600 ni watanzania, na kitakapokamilika uwezo wake ni kuajiri watu 3000 Hadi 4000, haiwezekani mbolea izalishwe hapa isinunuliwe Tanzania hii ni kumkwamisha Rais, kwanini tununue mbolea maeneo mengine nje ya nchi lakini tushindwe kununua hapa nchini.”
“Mimi Waziri wa Viwanda sitakubali hata kidogo kuona viwanda vinavyojengwa Tanzania vinashindwa kuwezeshwa kufanya kazi yake hii kubwa, sisi kama serikali tutajadiliana namna ya kufanya ili viwanda vinavyojengwa nchini vifanye kazi vizuri,”amesema.
Amewahakikishia wawekezaji kuwa atasimamia kuhakikisha viwanda vilivyowekezwa nchini vinakidhi matarajio ya Rais.
“Tutavilinda viwanda vyetu hapa nchini vifanye kazi vizuri na  vijana wetu wapate ajira na dhamira ya Rais Samia ya kuhangaika kutafuta wawekezaji lazima itimie,”amesema.
Naye, Mkurugenzi wa Kiufundi wa Kiwanda hicho, Mhandisi Victor Ngendazi, amesema kiwanda hicho kilianza kujengwa Julai 2021 na lengo lilikuwa kutengeneza mbolea tani 600,000 lakini kutokana na maombi ya serikali ya Tanzania wameongeza hadi tani milioni moja.
“Kwasasa ujenzi unaendelea kwenye maeneo yaliyosalia tunataka eneo hili tuwe na viwanda vitano na tayari vitatu vinafanya kazi na uzalishaji kwa ujumla utaanza mwezi Agosti Mwaka huu baada ya kukamilisha majaribio ya mitambo ya viwanda viwili,”amesema.
Amesema wamekuwa wakishirikiana na serikali kutatua changamoto zilizokuwapo zikiwakabili na kusisitiza uwezo wa uzalishaji upo wa kutosha.
“Changamoto tunayopata ni wakati wa mauzo, Tanzania kwenye tani zilizozalishwa tumeuza tani 4000 wakati Kenya wamenunua tani 52,000 na Burundi tani 10,000 unaweza kuona kwa Tanzania tupo nyuma sana, tunaomba katika mikakati ya Serikali ya kulinda viwanda vya ndani ruzuku isiende sana kwenye mbolea za kutoka nje ije kwenye viwanda vilivyowekezwa hapa nchini,”amesema. 
Amesema uwezo wa Kiwanda ni mkubwa na kama wataendelea kukosa soko watasimamisha uzalishaji.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo,akiangalia mbolea inayozalishwa na  Kiwanda ya cha Intracom kilichopo Nala jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya kiwanda hicho leo Julai 8,2024.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo,akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiufundi wa Kiwanda cha Intracom kilichopo Nala jijini Dodoma, Mhandisi Victor Ngendazi, wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya kiwanda hicho leo Julai 8,2024.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo,akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiufundi wa Kiwanda cha Intracom kilichopo Nala jijini Dodoma, Mhandisi Victor Ngendazi, wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya kiwanda hicho leo Julai 8,2024.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo,akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiufundi wa Kiwanda cha Intracom kilichopo Nala jijini Dodoma, Mhandisi Victor Ngendazi, wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya kiwanda hicho leo Julai 8,2024.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara,Dkt. Selemani Jafo,akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi wa Kiufundi wa Kiwanda cha Intracom , Mhandisi Victor Ngendazi (aliyeshika Maiki) wakati akikagua maendeleo ya  Kiwanda ya cha Intracom kilichopo Nala jijini Dodoma Jana Julai 8,2024

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufanya ziara yake katika  Kiwanda ya cha Intracom kilichopo Nala jijini Dodoma ili kujionea  maendeleo ya kiwanda hicho leo Julai 8,2024.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo,akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe.Jabir Shekimweri wakati wa ziara ya Waziri katika  Kiwanda ya cha Intracom kilichopo Nala jijini Dodoma ili kujionea  maendeleo ya kiwanda hicho leo Julai 8,2024.

Mkurugenzi wa Kiufundi wa Kiwanda cha Intracom kilichopo Nala jijini Dodoma, Mhandisi Victor Ngendazi,akimpongeza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo (hayupo pichani) kwa kufanya ziara katika kiwanda hicho leo Julai 8,2024.

 

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya  kufanya ziara yake katika  Kiwanda ya cha Intracom kilichopo Nala jijini Dodoma ili kujionea  maendeleo ya kiwanda hicho leo Julai 8,2024.

(PICHA NA ALEX SONNA)

About the author

mzalendo